Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

Ndugu, nashukuru kwa mawazo yako mazuri. Kiufupi ni kwamba, baadhi ya matukio mengi kabla hayajayokea huwa nayaona.

Mara nyingi sana huwa naomba yaniepuke ... mengine hutoweka kwa huruma za Mungu na mengine hutokea kama nilivyoyaona , lakini baadae nakuwa naelewa kwanini yamenitokea.

Suala la bafuni nililiona , na sikuelewa itakuwa wapi ; Kwasababu kila siku lazima niote ndoto za matukio ya mbele au kuwa na Visions ( Nina diary huwa naziandika kila siku ) .

Hata Yesu walidhani kuwa ana msongo wa Mawazo wakati ule, lakini ukweli ni kwamba mtu yeyote akiwa karibu na Mungu lazima Awe na Sober Mind ( Sober reflection) , aishi a Righteousness life + A Godly life katika Kristo Yesu. Hatua hii si kila mtu anaweza kukuelewa because, what people don't understand they always call names , and what they know they destroy
aeba8ea223fc8040505cc913ad7f471c.jpg
Kama unajiona uko sawa, unawasha mishumaa kuombea vyeti siku nenda, siku rudi, unaona vitu vitakavyotokea na nini na nini basi sawa. Ila kuona kitu kuwa kitatokea hakiondoi uwezekano wa kuwa na msongo maana ubongo ni huo huo. Basi kila la heri kenye safari yako ya kiroho mtumishi.
 
Ngoja awashe mshumaa uangukie kwenye cheti. Teh!!
 
Huu uzi umenikumbusha mbali sana!! Usiombe ukafiwa na wazazi ukiwa mdogo alafu uishi na ndugu mwenye roho mbaya na hana huruma! anaweza kukutolea maneno ambayo hayawezi kufutika ktk ubongo wako! sitasahau nikiwa kidato cha pili niliomba ada kabla sijapewa niliambiwa maneno haya(wengine wazae wengine walee) niliumia sana siku ile nililia siku zima,anyway nawashukuru walinisomesha kwa masimango ila nimetoka huko kwa nguvu za Mungu,na sasa ninaishi kwa amani na furaha nikwa na familia yangu na watoto wangu.
Daah still Mshukuru Mungu kwa ajili ya watu hao. Hata kama ulisoma kwa masimango, mwisho wa siku umemaliza salama. Ni wengi waliotamani kusoma kama wewe, ila hawakuweza kwa sababu moja au mbili. And make sure unawasamehe, na kwa chochote Mungu atakachokujalia, usiwasahau. Usiishi kwa kinyongo wala uchungu, wapende tu.
 
Kama unajiona uko sawa, unawasha mishumaa kuombea vyeti siku nenda, siku rudi, unaona vitu vitakavyotokea na nini na nini basi sawa. Ila kuona kitu kuwa kitatokea hakiondoi uwezekano wa kuwa na msongo maana ubongo ni huo huo. Basi kila la heri kenye safari yako ya kiroho mtumishi.
Asante NDUGU; kama umesoma maelezo yangu vizuri, lengo sio kuombea vyeti.

Ni vyema ukaelewa kwanini natumia mishumaa kwa kuiwasha wakati naomba. Na pia ukaihesabu iko mingapi ; Maana yake nini?

Na je unafahamu lolote kuhusu kifaa hiki? Na siri zake za ndani?
1b06c14bb8d67a921e8d55988e05b795.jpg
 
Ngoja awashe mshumaa uangukie kwenye cheti. Teh!!
Baada ya kujifunza mambo ya ufalme wa Mungu; Nimegundua vitu vingi sana, na vyeti vyangu naviona vya kawaida sana.

Na ninaelewa kwanini Ma JEWS hupendelea kuwakazania watoto wao kuthamini Elimu ya Mungu kuliko hii tunayofundishwa Mashuleni.

Na ninaelewa kwanini wanaongoza kwa kuwa wagunduzi + wabunifu wakubwa ulimwenguni
 
hahahaaa.....
Vanity possessions.

a.k.a Chasing After the winds.

Kamwe siwezi kuweka confidence yangu kwenye vyeti. Ninayo confidence kwenye kile kichoandikwa kwenye Moyo wangu ambacho ni cha thamani kuu.
 
jamani ila kuna matatizo mengine unaweza kusema ni laana....kuna wakati nakumbuka amri ya pili ...kutoka 20:1...nawapatiliza wana maovu ya baba zao....
nikikumbka tangu nikiwa mtoto sikulelewa na mama ameniacha nikiwa na 5yrs....baba hakuwahi kuoa tena akawa ananipeleka kwa marafiki zake niliishi zaidi ya miji mitano badae akanichukua tukawa tunaishi mm na yeye ila sasa mlevi balaa
siku moja alikwata kixhwani na mpenzi wake nikawa namhudumia nikashindwa kwenda shule..yani acheni tu jamani...t
 
"Kila MTU anaweza kusema "Mungu". Kuna Mungu wengi sana. Muhimu ni kumtambua Mungu wa Kweli ( tena umtambue personally na Jina lake halisi)

Siku ukimtambua, Hakika nakwambia kweli. Jina lake lina Nguvu sana. Na ukimuita Atakuitikia! ( Jeremiah 33:3)"

Rubbish, kuna Mungu mmoja lakini kuna mungu wengi, dont post shit
 
Hayo yote uliyoyaandika , ndio nayapitia sasa. Tena yamekuwa kwa muda mrefu sana.

Ilifika mahala nikaenda SCOAN Nigeria kwa PTB Joshua kwa njia ya bara bara ( nilitumia siku 76 kufika)

Nimekuwa kiroho sana. But matatizo yapo pale pale. Na yanazidi kuongezeka mpaka kukimbiwa na watu wa karibu kabisa, uliowasomesha na kuwainua juu.

Wakwe kukuona kama mwehu, mke kukuona hufai , na kuudharau Wokovu wako.

Mara waseme sitaki Kazi, na kwamba nachagua Kazi. Wakwe wanamsisitiza mke wangu aachane na Mimi kuwa nampotezea muda, sina Kazi.

Nakuwa karibu sana na Mungu kila mara. Na ninafunga na kuomba kila mara.

Hii ni sehemu ambayo naitumia kusali mchana na Usiku..., asubuhi mchana jioni.

Usiku kabla ya saa 6 , Then saa 7-8 , na saa 9-10.

Nimetandaza vyeti vyangu vyote kuanzia chini hadi Postgraduate, na mahitaji ya watu wengine.

Natumia muda kuwaombea maadui

f077592e4c5aa05c1d2e35ac99a56ca1.jpg
 
weka iman utapona.weka iman kuu tafadhali Mungu wetu hashindwi.
 
Kama unajiona uko sawa, unawasha mishumaa kuombea vyeti siku nenda, siku rudi, unaona vitu vitakavyotokea na nini na nini basi sawa. Ila kuona kitu kuwa kitatokea hakiondoi uwezekano wa kuwa na msongo maana ubongo ni huo huo. Basi kila la heri kenye safari yako ya kiroho mtumishi.
Inaweza kuwa yuko sahihi! Unajua duniani kuna mambo mengi sana mengine ni ya ajabu sana! Baba yangu mkubwa ambaye ni "Role model" wangu kwa masuala ya imani, alifanana na huyu kwa kiasi fulani. Alipenda kusema "kama imempendeza Mungu yeye kupitia mateso,mimi inanihusu nini? " Hakupenda nisikitike kwa yeye kuteseka na magonjwa yasiyopona! Tangu napata akili yeye anaumwa tu, mpaka nafika Sekondari bado anaumwa tu! Lakini ajabu aliamini kuwa kuteseka kule ilikua ni mpango wa Mungu na alishukuru kwa ajili hiyo! Baadae sana nilielewa kwamba utukufu wa Mungu wakati mwingine huja kwa namna za ajabu! Kwamba kuna watu Mungu huwapa mateso ili jambo Fulani liwe!
Ilinichukua miaka mingi kuelewa hili!
 
Hapa nina maanisha kufirisika/kufulia kukosa uhakika wakupata angalau chai kwa siku kutengwa na ndugu. Kukosa kazi muda mrefu, kuugua na watu kukutenga, kukosa kodi ya nyumba/mahali pa kulala, kusingiziwa kwamba hutafuti kazi au kusemwa umelogwa ndugu kusema una laana.Kukatishwa tamaa kwamba Mungu kakuacha,kwamba unasali uongo
kudharauliwa na mambo kama hayo.

Je uliweza vipi kuchomoka katika hali hiyo?
nami pia kweli napita kwenye hali ngumu! mimi naishi karbu na dada yangu, hali ilikuwa mbaya sana siku moja ikabidi wife aende kwa wazazi kuchukua mahindi nikabaki na mtoto, siku hiyo sina hata kumi nikamwomba dada yangu ikifika jioni anisaidie kumwekea mtoto wangu maji ya kuoga! akanijibu sawa na nikampa nguo za mtoto za kubadilisha! huwezi amini siku hiyo nikaenda kutafuta chochote mjini nikachelewa kurudi nikamkuta dogo kalala! asubuhi nikamuuliza jana aunt alikuwekea maji ya kuoga! dogo akasema aliniambia baba ako kasahau kukuachia taulo na sabuni! jamani iliniuma sana!

nawashauri wana jamamii wenzangu! bila pesa hakuna thaman hata kwa ndugu! ila Mungu ni mwema kwa kila jambo
 
Huu uzi umenikumbusha mbali sana!! Usiombe ukafiwa na wazazi ukiwa mdogo alafu uishi na ndugu mwenye roho mbaya na hana huruma! anaweza kukutolea maneno ambayo hayawezi kufutika ktk ubongo wako! sitasahau nikiwa kidato cha pili niliomba ada kabla sijapewa niliambiwa maneno haya(wengine wazae wengine walee) niliumia sana siku ile nililia siku zima,anyway nawashukuru walinisomesha kwa masimango ila nimetoka huko kwa nguvu za Mungu,na sasa ninaishi kwa amani na furaha nikwa na familia yangu na watoto wangu.
Nimefiwa na wazazi nikiwa dalasa la nne na mdogo wangu la kwanza, mali zote zilipotelea mikononi mwa ndugu za baba, kwa kweli ni long story , ila nisicho kisahau mwaka 2000 nilikuwa naishi na wapwa zangu pamoja na shangazi, siku moja mpwa ana muuliza mama yake ambaye ni shangazi yangu, hivi mama kama huyu mtoto wa kaka yako angekuwa binti mpaka sasa angekuwa kesha kuletea wajukuu wangapi ?shangazi akajibu kama wawili hivi .yaani mimi nilikua mzigo mzito kwao, najaribu kusahau haya maneno ila nashindwa, nashukuru Mungu nina mke na watoto wawili
 
Back
Top Bottom