Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

Nikikumbuka kuna kipindi nilikata tamaa kabisa nilipomaliza chuo mwaka mzima niko mtaani halafu mbali na home. Siku nilipoumia zaidi siku nina Tzs 100 na sina ramani ya kupata pesa. Nililia sana.
Mungu ni mwema niko vizuri na familia yangu.
 
Sometimes najitahidi kuzoea but dah shida hazizoeleki...
Unapokua na matatizo makubwa tu na huwezi kufanya chochote wala huna wa kukusaidia unabaki kusubiri maajabu ya M/mungu..Wengine yanawatokea sana, Binafsi nimeyasubiri naendelea kuyasubiri...
 
Kuna mahali inafika unaona kama dunia haitaki ushirikiano nawe,unaona wote ni kama wamekutenga hakuna anaejali matatizo yako hata wale wa karibu yako hawakuoni.

Unabaki wewe na Mungu wako tu,ni kipindi kigumu kwakila mtu. Tumepita na tunaendelea kupita kwenye changamoto mbalimbali....

Muhimu ni kua karibu na mungu zaidi na atakuvusha salama.

Mungu au mungu?
 
Take heart my brother.!!! Jesus Christ is aware of your situation.

Binafsi, hali hiyo iliwahi kunipata na nilikuwa na rafiki mmoja kwenye mtandao wa kijamii.

Nakumbuka siku hiyo nilikuwa nasali nimepiga magoti kitandani. Baada ya kusali , nikafungua simu, nikaona meseji " xxxx do you have a bank account number? " ... nikamshukuru sana Mungu. Huyu mtu sikumuomba pesa . Akatuma 500USD. Baada ya mwezi tena akatuma 1000USD. Hatujawahi kuongea kwenye simu. Kila nikimpigia simu anakuwa anani avoid. Ni mtu wa Mungu sana. ( Binafsi namuona kama malaika )
Mungu ni mwema hata mimi naamini ipo siku atatenda miujiza katika maisha yangu.
 
Hiyo hali inatokea sana. Na haitakuja kutokea kuisha. Ilishawahi kunitokea aliekuja kunisaidia ni ndugu yangu wa damu. Kila rafiki ninayejaribu kumkopa ananiambia nikakope benki. Baada ya kuwa vizuri nilipunguza marafiki kwa 98%. Sikuona umuhimu wa kuwa na marafiki wa whattsap wakati ukiwa na shida anakukacha.

wewe 98% mimi 99.99% we acha tu [emoji134] [emoji134] nilikuwa natoaga ndugu/rafiki akiwa na shida but now hunichomoi hivihivi unala umekunywa maji, huna sabuni kodi[emoji3] [emoji3] [emoji3] marafiki/ ndugu huwaoni yakiisha wanakupavkadi za michango na kukuweka kwenye kamati nguvu
 
TheMeek Baada ya Kusoma post na reply zako nakuona mpambanaji was imani kama neno linavyosema ktk ufunuo kuwa wakamshinda shetani kwake ushuhuda (testimony) na damu ya mwanakondoo . sasa kwa maombi damu ( wokovu ) umeshamshinda lakini nikuombe pia umshinde kwa ushuhuda wengine pia wajue kuwa Kristo anaweza. Yote. Ktk Yote kupitia ushuhuda wako Bwana atatukuzwa si unakumbuka kufufuliwa kwake Lazaro kulivowavuta wengi kwa Yesu .ni mategemeo yangu utupe your testimony asante.
 
Mungu ni mwema ni Mwema sana!
God (YHWH) is good all the times. His Love, Grace and Mercy are Unfailing!!! He is an Awesome & Wonderful Savior. We must become less and He must become greater, forever and always, in Jesus Christ Name!!! Shalom
 
Mungu ni mwema hata mimi naamini ipo siku atatenda miujiza katika maisha yangu.
Ni kweli Ndugu, Ila unajukumu la kutumia "KANK" ili kuipata miujiza yako katika Kristo Yesu. ( Kwa wakati wa Mungu + Mapenzi yake )
 
Pole sana, amini katika imani yako. Ipo siku majaribu yatapita na yatakwisha. Mungu yupo na anatenda miujiza. Kila binadamu atapitia dhiki katika maisha haya ya duniani. Ipo siku yako utabarikiwa tu.
Amen & Shalom. I receive it , in Jesus Christ Name!!!
 
TheMeek Baada ya Kusoma post na reply zako nakuona mpambanaji was imani kama neno linavyosema ktk ufunuo kuwa wakamshinda shetani kwake ushuhuda (testimony) na damu ya mwanakondoo . sasa kwa maombi damu ( wokovu ) umeshamshinda lakini nikuombe pia umshinde kwa ushuhuda wengine pia wajue kuwa Kristo anaweza. Yote. Ktk Yote kupitia ushuhuda wako Bwana atatukuzwa si unakumbuka kufufuliwa kwake Lazaro kulivowavuta wengi kwa Yesu .ni mategemeo yangu utupe your testimony asante.
God's time is the Best. Ushuhuda wa Mwanadamu unaruhusiwa, lakini ushuhuda kutoka kwa Mungu ni Bora ZAIDI. Nina amini kwa wakati wake kila mwenye masikio atasikia na mwenye macho ataona , ili Jina la Yesu Kristo liweze kutukuzwa na kuhimidiwa milele.

" My time has not yet come " kuwa public...,
 
wacha zako binti, hiyo ni cha mtoto ... ajira kwani nini? Afya ndo kitu kikubwa sana kwa kila mtu
Kuhusu Afya, siri ni kupanda mbegu ya Neno la Mungu katika Mwili wako.

Unatakiwa uelewe kwamba, Mwili wako ni sawa na Ardhi. Kwahiyo ili uweze kuwa na Afya au Ubora ni lazima uwe na UKWELI, REHEMA na HEKIMA. Hivi vyote ni zawadi kutoka kwa Mungu kupitia Neno lake ( YESU) ambalo ni sawa na mbegu.

Namaanisha, jinsi unavyokuwa unalipanda neno katika Moyo wako, ndivyo Nafsi yako na Roho yako inakuwa Huru. Na Shetani Ambaye ndiye manufacturer mkubwa wa Magonjwa , anatoweka na Magonjwa yake. Stage hii itakufanya usiwe na mwili wa kawaida tena.

Mwili wako utakuwa kama moto uwakao. Hata Magonjwa yakikupata hayatakudhuru. Utaweza kupita kwenye moto kama wakina Shadrach, Meshach & Abednego na hautadhurika.

Utakuwa na mwili wa ajabu. Hakuna silaha itakayoweza kukudhuru. Utakuwa zaidi ya watu WANAOKWENDA kwa waganga kupata dawa ya kujikinga na risasi za moto.

Matatizo yako/ MAUMIVU yako yatakuwa tofauti na ya yule asiyemuabudu Mungu/ asiye kuwa na neno lake.

Hii ni stage ambayo watu watakuchukia ghafla pasipo sababu kwasababu ya Mwanga uliomo ndani yako. Hawatakupenda kwasababu wao ni giza na wataona kama utafichua.

Wataogopa mpaka kupishana na wewe au kumulikwa na kivuli chako; au kuwaangalia machoni mwao.

Kiufupi, Mimi ni shuhuda wa haya yote. Niliwahi kupita International Airport zenye ulinzi MKALI pasipo kukaguliwa.

Niliwahi kupita kwenye Barriers zaidi ya 90 za wanajeshi wenye ulinzi MKALI bila kukaguliwa.

Wakati wa kukaguliwa nilikuwa kama invisible; sionekani machoni mwao. Wengine walikuwa hawataki kabisa kuniangalia ukifika zamu yangu kwenye mstari wa check up, ( ni kama move but ni ukweli kabisa )
 
Kila MTU anaweza kusema "Mungu". Kuna Mungu wengi sana. Muhimu ni kumtambua Mungu wa Kweli ( tena umtambue personally na Jina lake halisi)

Siku ukimtambua, Hakika nakwambia kweli. Jina lake lina Nguvu sana. Na ukimuita Atakuitikia! ( Jeremiah 33:3)
JEHOVAH AU MWINGINE?
 
for sure tunazidi kujifunza mengi, mbona jf kama inawatu wengi ambao tunafanana lfe style guys? maana kila mtu analalama jamani.
Reason; Kazi za Shetani ( Steal, Kill, Destroy) destinies za watu + maisha yao.

Ni lazima watu watubu kikamilifu na wamrudie Muumba wao na waishi kwa kufuata mapenzi yake sio yao. ( In Jesus Christ Name)
 
Back
Top Bottom