Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Alikwepa lasivyo sijui segerea ingenihusu🙆🙆🙆
Umenikumbusha tulipangisha mpigaji home yaani haipiti wiki kipigo kwa mkewe siku hiyo tunashangaa jamaa analia kama mtoto ndani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣watu wapo dilishani wanauliza humo ndani kwema, mwanamke kimya,kumbe mwanaume kashikwa chini hafulukuti 😄😄😄😄😄
 
Kwahiyo hamna adhabu nyingine mbadala ya kumrekebisha mtu mpaka mpige?

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi siwezi kufanya utoto wa kumsusia mke kama wafanyavyo wale mnaowaona watakatifu! You will need to really grow. Biashara ya kujinunisha kimya mwezi mzima ili ujue kuwa ulichofanya sikupenda huo utoto sifanyi! Nakupa kavu na makofi juu!
 
sijawahi mpiga mpenz wangu mpya anapokosea namwambia tu kosa lake alaf tunasolve
japo ananipenda sana mm ata sijampenda kivile
maumivu niliyoyapitia kwenye mapenz
yalinifundisha kupenda kwa kutumia akili sio moyo

hata mke nitakaekuja kuoa sitampenda sana nitampenda kawaida tu kwa kumjali kama binadamu mwenzangu

Anaestahili kupendwa kutoka moyoni ni Mungu pekee maana yeye habadiliki

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mama. Alie kuleta....

am better here
 
Hahahahaha alimuweza
Umenikumbusha tulipangisha mpigaji home yaani haipiti wiki kipigo kwa mkewe siku hiyo tunashangaa jamaa analia kama mtoto ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]watu wapo dilishani wanauliza humo ndani kwema, mwanamke kimya,kumbe mwanaume kashikwa chini hafulukuti [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi siwezi kufanya utoto wa kumsusia mke kama wafanyavyo wale mnaowaona watakatifu! You will need to really grow. Biashara ya kujinunisha kimya mwezi mzima ili ujue kuwa ulichofanya sikupenda huo utoto sifanyi! Nakupa kavu na makofi juu!
Hapo nimeona adhabu mbili kavu na kipigo, hamna mbadala mwingine kabisa kwenye kamusi yako?
Hiyo kavu ni nzuri asipoelewa ni kipigo mbona zipo mbadala nyingi tu jamani!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo nimeona adhabu mbili kavu na kipigo, hamna mbadala mwingine kabisa kwenye kamusi yako?
Hiyo kavu ni nzuri asipoelewa ni kipigo mbona zipo mbadala nyingi tu jamani!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la kavu kuna wale vichwa nati! Unasema jambo hilo hilo kila siku, siku mbili kaacha ya tatu karudia utoto ule ule! Vipi nikashtakie ukweni baada ya hapo?
 
Back
Top Bottom