Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Binafsi siwezi kufanya utoto wa kumsusia mke kama wafanyavyo wale mnaowaona watakatifu! You will need to really grow. Biashara ya kujinunisha kimya mwezi mzima ili ujue kuwa ulichofanya sikupenda huo utoto sifanyi! Nakupa kavu na makofi juu!
Yes nakazia, that's is the spirit huezi niletea mapicha picha ya tamthilia za kifilipino afu utegemee dimplomasia kama ya BUK utapigwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubali tunakosea lkn adhabu sio kutupiga

Nyie mkikosea mnapigwaga kwani?
Asipoelewa si umuache
Tatizo la kavu kuna wale vichwa nati! Unasema jambo hilo hilo kila siku, siku mbili kaacha ya tatu karudia utoto ule ule! Vipi nikashtakie ukweni baada ya hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera

Umewaona waume tulionao Afrika yaani wanatamba na kujisifu kutupiga

Ila wananifurahisha sana hawasemi adhabu zinazowakabili baada ya hivyo vipigo,,, wacha nizidi kuboresha adhabu yangu


Sent using Jamii Forums mobile app
Adhabu tunazopata ni heshima na adabu kurejea katika mstari wake! The rest ni mke kujichosha tu maana haina maana!
 
Back
Top Bottom