Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
Ndio mkuuCha muhimu ni uvumilivu tu
Ndio mkuuCha muhimu ni uvumilivu tu
Usiniulize na usitegemee ntaisema popote mi ndo najua namnyooshaje!Adhabu gani hiyo...,
Huwa unalikumbushiaga kama kawaida yenu wanawake???Nilimsamehe mimi, ila kusahau lile likibao sasa ndo kazi
Yeah hilo lazma litokee japo Men tunakuwaga na approach tofauti. Wengine huchagua ku dodge ama kumsusia mke akianza wenge ila wengine ndio hivyo hutumia makofi kama afya tiba ya kuondoa wenge la mwanamke!Hahahahaaaa
Eti wangu hanipigi,dada acha kutudanganya hapa!
Hakuna mtoto mdogo hapa ujue!
Ni kwamba,kwenye lifespan ya ndoa yako kuna mahali aidha mwanzo au whatever period,ulishawahi pewa ubatizo wa moto na kuanzia hapo una displine hujawahi mtibua kabisa!
Tunaita,knowing your position!
Kama ubatizo haujawahi fanyika,it is a matter of time lazima atakuweka sawa tu na utaelewa your position!
He is keeping up with your bullshit all this time,kuna siku lazima atakuweka sawa na mapepe yote yatakuisha na utamuheshimu mia mia!
Wewe ruka ruka tu now humu JF na uongo wako...
In here people can smell lies from miles away!
Stop acting,I have stopped movie production!
Unaongea hivyo kwa sababu uko nyuma ya keyboard...Yaani nilivyoona umenikoti nilijua tu kuwa hiki ndicho umeandika, mimi sipigwi ukinipiga uwe umeandaa kabisa na talaka
Basi hapo unacheat unajiona mjanjaUsiniulize na usitegemee ntaisema popote mi ndo najua namnyooshaje!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamjawahi kukutana na wanawake jeuri nyie,utapiga mtu pasipo kutarajia.
Kabla sijaoa nilikuwa na mawazo kama yenu kwamba napigaje mtu mzima,wakati naweza kumwelewesha na akaelewa.
Nikaoa maisha yakaanza,baada kama mwaka mmoja tukapishana kidogo kwa maneno ya kujazwa na watu,narudi ndani nikiuliza kitu ananijibu dry tu,basi na mimi nakausha tu,kumbe akaona hiyo ya kunijibu dry akaona haijanitosha,siku moja nikarudi hajapika kabisa,kumuuliza akasema anaumwa,nikasema sawa nikaomba maji ya kuoga nikapanda kitandani kulala,baadye akatoka mdogomdogo kama yupo vile akaenda mtaa wa pili kula alikoenda kuna jamaa yangu akanitonya mbona shem yupo huku usiku wa saa nne au umesafiri?
Nikasema hapana nipo ila ameaga tu anakuja kucheki inshu flani hapo kwa rafiki yake(nikadanganya)
Ile anarudi karibia saa nne nikamuuliza umetoka wapi kimya,kama tano hv mtu yupo kimya na anafanya mambo yake as if hasikii kitu,sasa mtu kama huyo unamfanya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala simkumbushagi kabisaaa!
[emoji23][emoji23]una ujasiriiYaani hawa wapuuzi huwa wanaona sifa kupiga wenzao, nilimkosa kosa na stuli.
Nashukuru sijawahi kupigwa na naomba isitokee nachukia mno.Hapana boss nadhani kuitwa mwanaume kunatupumbaza wanaume wengi.,
Kuwatolea mahari, kuwapa huduma tunaona kama vile ndo Kila kitu twaweza fanya,.
Kwaniaba ya Chama cha wanaume Tanzania (CHAWATA) Nawaombeni mtuvumilie kuna factors nyingi zinazofanya Tuwapige,
Pia makuzi yanachangia Kama nimekua nikiona My mom anakula kipondo au nimelelewa na baba tuu ananijaza sumu kuwa mwanamke lazima apigwe wat du yu expekti Dear???
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wa tofauti sana mkuu .Wala simkumbushagi kabisaaa!
Sema huwa nakumbuka mwenyewe tuu kama hivi!
Sijawahi kumpiga mwanamke. Sitarajii. Nishaingilia sana ugomvi ambao mwanamke anapigwa na mwanaume.
Ni kweliUnaongea hivyo kwa sababu uko nyuma ya keyboard...
Watu kama nyie kwenye ndoa ndio mnatembezewa kibano kila siku...
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima utamnyima tu papuchiUsiniulize na usitegemee ntaisema popote mi ndo najua namnyooshaje!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sijawahi kupigwa na naomba isitokee nachukia mno.
Ha ha ha ha haUsiniulize na usitegemee ntaisema popote mi ndo najua namnyooshaje!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi unajua wana K nzuri kweli alafu mnato kweli
Hahaahaaaa eti katekistaAsante sana katekista!