Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Hamjawahi kukutana na wanawake jeuri nyie,utapiga mtu pasipo kutarajia.
Kabla sijaoa nilikuwa na mawazo kama yenu kwamba napigaje mtu mzima,wakati naweza kumwelewesha na akaelewa.
Nikaoa maisha yakaanza,baada kama mwaka mmoja tukapishana kidogo kwa maneno ya kujazwa na watu,narudi ndani nikiuliza kitu ananijibu dry tu,basi na mimi nakausha tu,kumbe akaona hiyo ya kunijibu dry akaona haijanitosha,siku moja nikarudi hajapika kabisa,kumuuliza akasema anaumwa,nikasema sawa nikaomba maji ya kuoga nikapanda kitandani kulala,baadye akatoka mdogomdogo kama yupo vile akaenda mtaa wa pili kula alikoenda kuna jamaa yangu akanitonya mbona shem yupo huku usiku wa saa nne au umesafiri?
Nikasema hapana nipo ila ameaga tu anakuja kucheki inshu flani hapo kwa rafiki yake(nikadanganya)
Ile anarudi karibia saa nne nikamuuliza umetoka wapi kimya,kama tano hv mtu yupo kimya na anafanya mambo yake as if hasikii kitu,sasa mtu kama huyo unamfanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha huyu alistahili
 
Mwaka 2015 sikumbuki tulipisha kiswahil gan na wife ukazuka mzozo na kama unavyojua wanawake ukishampenda na kumuheshimu na ukizingatia kama elim hatuna tofauti basi huwa wanaona kama tunawaogopa sana.

Maneno yakaanza bwana, nikatulia kimyaa sebuleni yy yuko pembeni.Kaongeeeeaaa ila mm nimetulia kimya tu.(kipindi hicho alikua na mimba ya miezi kama mi 3,sasa sijui kama ndio ilikua inamsumbua).Kumbe kukaa mm kimya kunazidi kumkera anataman tujibizane.

Nikaona isiwe tabu nikazama gheto kulala ingawa ilikua mchana sijaenda kazini.Akanifuata gheto bado anaoiga kelele.Nikatulia kimya nikaamka.Bado kelele zinaendelea.Nikanyanyuka nitoke nje kabisaa akaniwah kukaa mlangoni eti anazuia nisipite nibaki ndani.
Nikamwabia nomba kupita, eeh!!hapo ndio akanivaa mwilin et ananioiga push na kifua chake.Nikaona isiwe tabu.NILIMUWASHA KIBAO KIMOJA TU kitakatifu ,akajikuta amerushwa mpaka kitandani.Mm nikatoka nje nikatuliaaa.Na ukizangatia hii ndio ilikua mara ya kwanza na alikua ana mimba basi hichi kitendo kilinifanya nijiskie vibaya sana.Nikajua sasa maisha yatakua magumu kwa muda acha nijiandae kisaikolojia.

Eeh!Cha kushangaza kama baada ya saa moja namuona huyo anakuja nje kuniaribisha ndani nikale chakula.Nikashangaa sana.Na upendo ukaundlea kama hakuna kilichotokea.

Wanawake ni wa ajabu sana kuwaelewa.
Hio ndio inatakiwa mkuu na ndio alichokuwa anahitaji ukifanye kwa wakati huo! You proved your dominance, wanawake wana majaribu sana. Yani alitaka tu ajue we ni mwanaume kiasi gani kwake!
 
Hamjawahi kukutana na wanawake jeuri nyie,utapiga mtu pasipo kutarajia.
Kabla sijaoa nilikuwa na mawazo kama yenu kwamba napigaje mtu mzima,wakati naweza kumwelewesha na akaelewa.
Nikaoa maisha yakaanza,baada kama mwaka mmoja tukapishana kidogo kwa maneno ya kujazwa na watu,narudi ndani nikiuliza kitu ananijibu dry tu,basi na mimi nakausha tu,kumbe akaona hiyo ya kunijibu dry akaona haijanitosha,siku moja nikarudi hajapika kabisa,kumuuliza akasema anaumwa,nikasema sawa nikaomba maji ya kuoga nikapanda kitandani kulala,baadye akatoka mdogomdogo kama yupo vile akaenda mtaa wa pili kula alikoenda kuna jamaa yangu akanitonya mbona shem yupo huku usiku wa saa nne au umesafiri?
Nikasema hapana nipo ila ameaga tu anakuja kucheki inshu flani hapo kwa rafiki yake(nikadanganya)
Ile anarudi karibia saa nne nikamuuliza umetoka wapi kimya,kama tano hv mtu yupo kimya na anafanya mambo yake as if hasikii kitu,sasa mtu kama huyo unamfanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhh huyo wako mtihani aisee,
 
Aiseee hivi nyinyi mkikosea huwa tunawapiga.
Hapana boss nadhani kuitwa mwanaume kunatupumbaza wanaume wengi.,
Kuwatolea mahari, kuwapa huduma tunaona kama vile ndo Kila kitu twaweza fanya,.

Kwaniaba ya Chama cha wanaume Tanzania (CHAWATA) Nawaombeni mtuvumilie kuna factors nyingi zinazofanya Tuwapige,
Pia makuzi yanachangia Kama nimekua nikiona My mom anakula kipondo au nimelelewa na baba tuu ananijaza sumu kuwa mwanamke lazima apigwe wat du yu expekti Dear???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom