Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
Hahaha hahaha hahaha
Hebu hukooo
Hahaha hahaha hahaha
Hahaha, wewe ni Mimi kabisaa[emoji23]Ujanja wangu wote mwanaume akiwa karibu siwezi kujibizana nae zaidi ya kulia ila akiwa mbali kwenye simu naweza kupiga mkwara aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa ni nomaUnapigwa na talaka unaomba kwa magoti isiandikwe!
As a woman you should know your position kwenye food chain!
Sio baba akitoa amri na wewe unaonesha pumbu!
Subutuuuu!
Haha alafu huwa sijibizani na mwanamke nakaaga kimyaEndelea kutofikiri mkuu, utapokutana na mtu kama mange mjengoni utatia akilii
Hahaha hahaha hahaha hahahaHahaha hiyo ndio ilimchanganya we jina limeandikwa barafu wangu we unasoma barafu wako lol[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah usikutane na mwanaume kama mie maana , its better unipige mkwara nikiwa karibu ukiwa mbali utaumia labda nisijue ukwapi, Nipo radhi niache kazi nikufate huko huko uubwate huo mdomo ,.Ujanja wangu wote mwanaume akiwa karibu siwezi kujibizana nae zaidi ya kulia ila akiwa mbali kwenye simu naweza kupiga mkwara aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana katekista!Mama mchungaji pooleee
[emoji23][emoji23]Ulivyompole si ulilia sana?Hahaha hahaha hahaha
Hebu hukooo
Lakini ushamsamehe , Haujaliweka moyoni hilo kweli??Asa namwachacha sababu ya kibao ama?! Sikumwacha wala, ila nililia wiki nzima!
Chanzo ni simu yake iliita nikaifuata kumchukulia, kusoma jina linasomeka barafu wangu mie nikamwambia barafu wako anakupigia simu daaahhh nilisikia tuu kibao na kile kimotorola chake ninacho mkononii nikaona mbingu inatetema, nyota zoote ziko sebleni hatimaye nikadondoka chiini! Dk tano nzima sikuelewa nini kinaendelea kabisaaa nyota zikakoma machozi yakaanza sasa!
Hiyo nguvu itoke wapi mkuu! Network zilikataNa kumwambia...I love U!
Umejitambua na unafahamu mipaka yako! Ukiona hupigwi ujue unajielewaUkiacha fimbo za walimu mara ya mwisho nimepata kipigo nikiwa na miaka 15, Kutoka kwa mlezi, na mara ya mwisho nimepigwa nilijiapiza kuanzia leo sipigwi tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwache hiyo siku atakukumbuka boss.Endelea kutofikiri mkuu, utapokutana na mtu kama mange mjengoni utatia akilii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaa uko addicted na kupiga yaani unasafiri ukapige mtu [emoji119][emoji119][emoji119]Dah usikutane na mwanaume kama mie maana , its better unipige mkwara nikiwa karibu ukiwa mbali utaumia labda nisijue ukwapi, Nipo radhi niache kazi nikufate huko huko uubwate huo mdomo ,.
Nipo radhi nitoke wilaya moko hadi nyingine nije nikubamzie alafu uamue la kuamua [emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1]Kwahyo ndio ningesema nikutokee ungeshikwa na butwaa
Hahaha hahaha hahaha
Ushawahi nyanyua mkono wako kumpiga mkeo, mpenzi,Demu??
Sababu ilikuwa nini ?
Je ni sahihi kumpiga MWANAMKE/MKEO/MPENZI??
MWANAMKE USHAWAHI KUPIGWA NA MPENZI/MUME WAKO ULIJISIKIAJE?
Kama ushawahi Kumpiga mkeo/mpenzi sababu ilikuwa nini? Na baada ya hapo ulichukua hatua gani kulimaliza hilo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimsamehe mimi, ila kusahau lile likibao sasa ndo kazi
Aiseee hivi nyinyi mkikosea huwa tunawapiga.Dah usikutane na mwanaume kama mie maana , its better unipige mkwara nikiwa karibu ukiwa mbali utaumia labda nisijue ukwapi, Nipo radhi niache kazi nikufate huko huko uubwate huo mdomo ,.
Nipo radhi nitoke wilaya moko hadi nyingine nije nikubamzie alafu uamue la kuamua [emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app