Natumaini ni wazima,
kuna ka research ninafanya, kwahiyo ningependa kupata ushirikiano kutoka kwenu ndugu zangu
kama wewe ni dada, je ulishawahi kutoa mimba? kama ndio ni mara napi? sababu gani ilisibabisha kufanya maamuzi hayo?
kama wewe ni mwanaume, je ulishawahi kumshauri girlfriend/wife yako kutoa mimba? kwanini?
ASANTENI
Why should we share our dirty secrets with you?
Natumaini ni wazima,
kuna ka research ninafanya, kwahiyo ningependa kupata ushirikiano kutoka kwenu ndugu zangu
kama wewe ni dada, je ulishawahi kutoa mimba? kama ndio ni mara napi? sababu gani ilisibabisha kufanya maamuzi hayo?
kama wewe ni mwanaume, je ulishawahi kumshauri girlfriend/wife yako kutoa mimba? kwanini?
ASANTENI
waambie waku PMNatumaini ni wazima,
kuna ka research ninafanya, kwahiyo ningependa kupata ushirikiano kutoka kwenu ndugu zangu
kama wewe ni dada, je ulishawahi kutoa mimba? kama ndio ni mara napi? sababu gani ilisibabisha kufanya maamuzi hayo?
kama wewe ni mwanaume, je ulishawahi kumshauri girlfriend/wife yako kutoa mimba? kwanini?
ASANTENI
Research failed.....hatusemi hata utangaze dau!!!!!!!!
mie nadhani hii mada nimeipenda sana, kuna tatizo hapa, tena sana.
Imepelekea kuwaacha wanawake bila option zaidi ya kutoa mimba. Na si kwamba wanapenda, ila wanaogopa sana maneno ya jamii.
Never have never will.
Abortion is murder.
Republican conservative in the house
Nah...I've never been a Republican or Democrat although I am a democrat. Note the difference there...
A democrat who is fiscally conservative, socially responsible, and personally accountable.
mie nadhani hii mada nimeipenda sana, kuna tatizo hapa, tena sana.
Imepelekea kuwaacha wanawake bila option zaidi ya kutoa mimba. Na si kwamba wanapenda, ila wanaogopa sana maneno ya jamii.
Have you ever voted or rooting for a democrat party president?