Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,096
Mi nlitoa kwa vile nlikuwa sina hakika na baba wa mtoto
hahahaaaaa...!$!
Mi nlitoa kwa vile nlikuwa sina hakika na baba wa mtoto
Mada nzuri kweli....binafsi natamani sana kujua zaidi kwanini watu wanatoa mimba.......ukiachilia mbali swala la matatizo ya afya kwa mhusika......zaidi ya hapo sijawahi pata sababu ya msingi ya kumfanya mtu atoe mimba......
una bahati sana.
hahahaaaaa...!$!
pyeeeeeee! hutupati ng'o. labda utangaze kila mimba moja laki.
pyeeeeeee! hutupati ng'o. labda utangaze kila mimba moja laki.
Wala sina bahati.
Ni kwamba niko makini sana na maisha yangu.
Na huo umakini si bahati. Ni jitihada za makusudi.
Trust me hutopata majibu ya kweli yani ni sawa na kuuliza kama watu walishawahi kufanya mambo mabaya kama kula ashakum, kuiba, kuvuta bhangi kuchepuka nk nk!
Of course I have.
If you were here in 2008 you would know that I was on Team Hilary before I switched camps after she didn't make it. Just check my record.
And in 2004 I was for Kerry. In 2000 I rode with George Bush. In 96 I was on Team Clinton.
Akitangaza hivyo utapata Laki ngapi?
Why should we share our dirty secrets with you?
siamini kama umewahi, niliokutana nao sababu zilikuwa hizi
1. mume wa mtu
2. mume wa mtu (2)
3. mume wa mtu na mie mke wa mtu (4)
4. Nilikuwa mdogo (17)
5.familia haimtaki (hadi leo wameoana)
6.mtoto bado mdogo sana (2)
Hata hivyo sijawahi kuwalaumu, jamii ni inahukumu sana wanawake.
mambo gani haya wengine tumeokoka....