mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Natumaini ni wazima,
kuna ka research ninafanya, kwahiyo ningependa kupata ushirikiano kutoka kwenu ndugu zangu
kama wewe ni dada, je ulishawahi kutoa mimba? kama ndio ni mara napi? sababu gani ilisibabisha kufanya maamuzi hayo?
kama wewe ni mwanaume, je ulishawahi kumshauri girlfriend/wife yako kutoa mimba? kwanini?
ASANTENI