Je, ulishawahi kutoa mimba? Muwe wakweli juu ya hili

Je, ulishawahi kutoa mimba? Muwe wakweli juu ya hili

Kiufup watoa mimba katika ulimwengu huu ni weng kuliko wanaozaa na kama wakisema wote wasitoe dah huko labour watakuwa hawapumui kuna za kutoa kitaalam na uswaz kwa vijit vya kisamv na wengine wanakunywa majiv na blue ile ya kuweka kwenye mashat meupe yawe blue
 
siamini kama umewahi, niliokutana nao sababu zilikuwa hizi
1. mume wa mtu
2. mume wa mtu (2)
3. mume wa mtu na mie mke wa mtu (4)
4. Nilikuwa mdogo (17)
5.familia haimtaki (hadi leo wameoana)
6.mtoto bado mdogo sana (2)

Hata hivyo sijawahi kuwalaumu, jamii ni inahukumu sana wanawake.


ya kwako namba ngapi hapo?
 
Kuna case zifuatazo:
1) Umempa mimba mwanafunzi.
2) Umempa mimba mke wa mtu.

Hizo ni sababu kuu kwa upande wangu, otherwise I don't support abortion.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni vipi ungekuwa umepewa ngoma na mwanafunzi au mke wa mtu ungesuluhisha vipi?

Na ni hofu gani ina-justify murder?

Kuna case zifuatazo:
1) Umempa mimba mwanafunzi.
2) Umempa mimba mke wa mtu.

Hizo ni sababu kuu kwa upande wangu, otherwise I don't support abortion.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ila mimi tangu nizaliwe nimeshuhudia mke wa ndoa wa mtu na wana mtoto/watoto ametoa mimba ya mumewe, hapa unaweza kuna kuna wanawake ni mashetani.
 
Mwanaume chanzo cha mabadiliko na ninyi ndio mwasababisha zikatolewa laiti mngejua kukubali yatokanayo na kuyahudumia vyema tungekuwa kama mbwa,paka,panya na wanyama wote kuwa ikiingia inazaliwa atajua mwenywe akifka duniani.
 
Mambo mengine ni kujifunza kutokana na makosa ya wengine na ya kwetu pia.

Sio kuwa i kukumbushana mabaya, kila mtu ana mabaya yake mengi tu, na kuhesabu mabaya ya mtu mwingine hakutukufanyi kuwa watakatifu.

Mtizamo wangu tu.

ndio, nasio vizuri kukumbushana mambo ambayo sio mazuri...!
 
Mambo mengine ni kujifunza kutokana na makosa ya wengine na ya kwetu pia.

Sio kuwa i kukumbushana mabaya, kila mtu ana mabaya yake mengi tu, na kuhesabu mabaya ya mtu mwingine hakutukufanyi kuwa watakatifu.

Mtizamo wangu tu.

upo sahihi Kongosho...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom