Huyo huyo "Hamza wa CCM"Hamza yupi huyo mkuu?
Au unamzungumzia yule Hamza gaidi mwanachama wa ccm ?
Asante sana kw ataarifa mkuuHuyo huyo "Hamza wa CCM"
Wewe kinakuuma kitu gani? Kama huo mzigo ni mzito kwani umeubeba wewe?Wakuu nauliza enzi zile zetu tukijipanga na kumpokea raisi tokea aiport hadi anapofikia hatukuona haya ya leo Rais anapokwenda huwaga na mambo ya kutisha .
Sina haja ya kuwachosha sana lakini tupeni ufafanuzi Je Tanzania sio salama tena,hata hatukuyaona wakati wa Nyerere,Ali Hassan,Mkapa wala Kikwete ,Yalianza wakati wa Magu na sasa yanaendelea.
Kusema kweli haipendezi, Raisi Samia ondoa hivi vitu Mwenyezi Mungu yupo na anakulinda .
View attachment 2017194
Wakuu nauliza enzi zile zetu tukijipanga na kumpokea raisi tokea aiport hadi anapofikia hatukuona haya ya leo Rais anapokwenda huwaga na mambo ya kutisha .