Kila zama na kitabu chake,misamiati kama Bwanyenye,Kupe,Mirija haipo tena.
Muda unafikiri uko salama ndiyo huwa wa hatari zaidi.
Rais mstaafu Mwinyi alipozabwa makofi kwenye Baraza la Idd 2009 watu walihoji kazi ya mlinzi wake.
Vichaa wengi mno zama hizi so si Rais tu,hupaswi kutembea kama loose cargo kwenye warehouse za Silent Ocean.
dah huo ulinz hatarUsalama wa Rais tusiujadili sana.
Kikitokea chochote, utakuja kuuliza hapa hapa, walinzi walikuwa wapi; mbona hawakumlinda ipasavyo.
By the way check mazishi ya Karume uone Nyerere alivyozungukwa na mabunduki
Si unaona mpaka Mwenyekiti wa Chama anapanga Ugaidi!!Wakuu nauliza enzi zile zetu tukijipanga na kumpokea raisi tokea aiport hadi anapofikia hatukuona haya ya leo Rais anapokwenda huwaga na mambo ya kutisha .
Sina haja ya kuwachosha sana lakini tupeni ufafanuzi Je Tanzania sio salama tena,hata hatukuyaona wakati wa Nyerere,Ali Hassan,Mkapa wala Kikwete ,Yalianza wakati wa Magu na sasa yanaendelea.
Kusema kweli haipendezi, Raisi Samia ondoa hivi vitu Mwenyezi Mungu yupo na anakulinda .
View attachment 2017194
Mbona hamkusema msukuma mwenzenu aondolewe ulinzi kipindi kile,Wakuu nauliza enzi zile zetu tukijipanga na kumpokea raisi tokea aiport hadi anapofikia hatukuona haya ya leo Rais anapokwenda huwaga na mambo ya kutisha .
Sina haja ya kuwachosha sana lakini tupeni ufafanuzi Je Tanzania sio salama tena,hata hatukuyaona wakati wa Nyerere,Ali Hassan,Mkapa wala Kikwete ,Yalianza wakati wa Magu na sasa yanaendelea.
Kusema kweli haipendezi, Raisi Samia ondoa hivi vitu Mwenyezi Mungu yupo na anakulinda .
View attachment 2017194
Utadhani Afghanistan!!Wakuu nauliza enzi zile zetu tukijipanga na kumpokea raisi tokea aiport hadi anapofikia hatukuona haya ya leo Rais anapokwenda huwaga na mambo ya kutisha .
Sina haja ya kuwachosha sana lakini tupeni ufafanuzi Je Tanzania sio salama tena,hata hatukuyaona wakati wa Nyerere,Ali Hassan,Mkapa wala Kikwete ,Yalianza wakati wa Magu na sasa yanaendelea.
Kusema kweli haipendezi, Raisi Samia ondoa hivi vitu Mwenyezi Mungu yupo na anakulinda .
View attachment 2017194
UNA AKILI SAWASAWA LAKINI??Ni ushamba au ni kitu gani,kwani intelijensia katika misafara ya raisi ina faida gani,J.F.Kennedy kilichomkuta kinajulikana ,so uovu hauwezi kuzuiliwa kwa kuwekwa ulinzi wa zana nzito wazi kama tunavyozoezeshwa,ambazo zingeweza kuhifadhiwa nyuma ya pazia.Au walinzi husika wabeba zana hizo kuvaa yale makoti makubwa ya kiulinzi.
Canal Gadafi yeye alikuwa na walinzi zaidi ya mia moja,escort yake si ya kawaida ,hao ni watu wenye migogoro au migongano ya Kimataifa ,Tz tuna ugonvi na mtu ? failure ya kumlinda raisi haitokani na kutoonyesha silaha nzito ni jinsi gani mnajipanga kumlinda na sio kuzuia kitu gani kisimfike hilo ni gumu.
Hoja na matusi haviendani. Hoja hapa ni ulinzi wa Rais wetu.Wabongo bana kwa ujuaji mavi hatujambo.
Swala la ulinzi wa raisi ambalo lipo kwa mujibu wa sheria nalo unahoji.
Tafuta pesa uwaze vitu vya msingi
Usalama wa Rais tusiujadili sana.
Kikitokea chochote, utakuja kuuliza hapa hapa, walinzi walikuwa wapi; mbona hawakumlinda ipasavyo.
By the way check mazishi ya Karume uone Nyerere alivyozungukwa na mabunduki
Huu ni mfano mzuri. Hivi angekuwa amezungukwa na watu wenye silaha kama hizi halafu mmoja angeamua kufyatua risasi wangapi wangeumia au hata kupoteza maisha. Hizi silaha ni za kwenye uwanja wa vita ndio maana huzioni hata kwa Biden. Aidha, Rais hapaswi kulindwa na wanajeshi bali hua anakuwa na kikosi chake maalum cha ulinzi. Hawa ni watu wamekuwa vetted na kupewa mafunzo ya kukabiliana na tishio lolote bila kuleta madhara makubwa na kuhakikishaRais yuko salama. Kuwa na watu wengi kiasi hicho wenye silaha za kivita ni tishio kwa usalama wake maana hao hao wanaweza kumgeuka. Hakuna mtu asiyependa Rais alindwe, kinachouliziwa ni aina ya ulinzi wake. Aidha, Rais wa demokrasia hapaswi kuonekana anawaogopa raia waliomchagua. Haileti picha nzuri.
Amandla...
Hamza yupi huyo mkuu?Watanzania ni ma expert wa kila kitu. Anyways, ulinzi unaendana na mahitaji. Wewe unadhani Hamza angepata nafasi ya kudhuru viongozi wa juu asingeitumia?
Huyo huyo Hamza aliyekuwa kada mtiifu? Unadhani angetaka kumdhuru kiongozi wa juu wa chama chake angeshindwa wakati alikuwa mtu wa high table?Watanzania ni ma expert wa kila kitu. Anyways, ulinzi unaendana na mahitaji. Wewe unadhani Hamza angepata nafasi ya kudhuru viongozi wa juu asingeitumia?