Je, Tanzania sio salama? Hizi bunduki za nini?

nafikiri Raisi mwenyewe anapenda iwe kivile na huku ndiko kunakopelekea kulewa madaraka ,Mwenyezi Mungu amuepushe Raisi Samia na kulewa madaraka.
 
Wakuu nauliza enzi zile zetu tukijipanga na kumpokea raisi tokea aiport hadi anapofikia hatukuona haya ya leo Rais anapokwenda huwaga na mambo ya kutisha .

Sina haja ya kuwachosha sana lakini tupeni ufafanuzi Je Tanzania sio salama tena,hata hatukuyaona wakati wa Nyerere,Ali Hassan,Mkapa wala Kikwete ,Yalianza wakati wa Magu na sasa yanaendelea.

Kusema kweli haipendezi, Raisi Samia ondoa hivi vitu Mwenyezi Mungu yupo na anakulinda .

View attachment 2017194
Wewe kinakuuma kitu gani? Kama huo mzigo ni mzito kwani umeubeba wewe?
 
Wakuu nauliza enzi zile zetu tukijipanga na kumpokea raisi tokea aiport hadi anapofikia hatukuona haya ya leo Rais anapokwenda huwaga na mambo ya kutisha .

Sina haja ya kuwachosha sana lakini tupeni ufafanuzi Je Tanzania sio salama tena,hata hatukuyaona wakati wa Nyerere,Ali Hassan,Mkapa wala Kikwete ,Yalianza wakati wa Magu na sasa yanaendelea.

Kusema kweli haipendezi, Raisi Samia ondoa hivi vitu Mwenyezi Mungu yupo na anakulinda .

View attachment 2017194

Unayaamini je mabunduki hayo mikononi mwa watu wenye viwango vyao vya ukichaa?

Hiiiiii bagosha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom