Kelele za Wabunge juu ya Kikokotoo sababu ya Uchaguzi?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,487
2,352
Inashangaza na kusikitika kuona waliopitisha KIKOKOTOO Ambao ni WABUNGE wa CCM leo Wanajifanya kukishangaa na kupaza sauti za MSHANGAO.

BUNGE chini ya SPIKA NDUGAI akisaidiwa na TULIA ndio waliousimamia MJADALA MZIMA na kumpelekea RAIS MAGUFULI kwa ili ASAINI.

Kwa kuwa tunaelekea kwenye UCHAGUZI WABUNGE hao wanajifanya KUKIKATAA hicho KIKOKOTOO kama vile KILIPITISHWA na WABUNGE WA CHADEMA wakati BUNGE ni la CHAMA KIMOJA CCM.

Watanzania sio Wajinga Ukweli tunaujua Mnapiga kelele kwa Ajili ya UCHAGUZI na wala sio kuwaonea huruma Wastaafu watarajia mbona wakati wa Kukipitisha HAMKUWAONEA HURUMA kwani HAMKUJUA MADHARA yake?
 
Hawa wabunge ni MATAPELI uliona sakata la kuuza bandari,kuuza loliondo,kuuza gesi mtwara,nk
 
Back
Top Bottom