Je, Shetani & Ibilisi anahusikaje kwenye vitendo vya Magicians (Wanamazingaombwe)?

Ukiangalia hizo trick youtube utaona wanawek glass ndio hutembea juu yake hivyo wewe huwezi kuona huishia kuona anatbea juu ya maji.
Kwahiyo unadai kuwa alipokuwa anatembea na kushikwa shikwa miguu na waogeleaji alikuwa kwenye glass?????
Uliona alichokifanya Chris Angels kwenye ile swimming pool??
Je Dynamo the magician impossible alipotembea kwenye mto kuanzia mwanzo mpaka katikati aliwekewa glass?????
 
mkuu unajichanganya. huo msaada ndo mleta mada kasema ni wa kishetani, siyo katika njia asili.
Niliposema kuwa ninavyoona ni msaada usio Wa kawaida unaotoka kwa mzee baba Shetani.
 
Kwahiyo unadai kuwa alipokuwa anatembea na kushikwa shikwa miguu na waogeleaji alikuwa kwenye glass?????
Uliona alichokifanya Chris Angels kwenye ile swimming pool??
Je Dynamo the magician impossible alipotembea kwenye mto kuanzia mwanzo mpaka katikati aliwekewa glass?????
Mkuu soma comment yangu namba 59 utaelewa msimamo wangu,mimi siseme kuwa magic ni trick tu ijapokuwa najua trick zipo hata hiyo kutembea kwenye maji wanaweza kuweka kioo kwa juu na kikawa na uwazi kwa chini hivyo wakati mtu anatembea juu watu wakawa wanaogelea kwa kupita chini,nimeona hivi youtube ila mazingira yake yalikuwa kwenye swimming pool.
Lakini tunapokuja kwenye suala la Dynamo kutembea kwenye mto(nimeona) mbele ya umati wa watu vile ni ngumu kusema kuna trick imefanywa pale na ndiyo maana mie pamoja na kuona hizo magic trick ila bado haijanishawishi kusema hao magicians kama akina Dynamo na wengine kuwa hufanya trick tu.
 
Asante kwa clarification nzuri sana mkuu.
Pia YouTube sio kila mtu anataka kupata followers au subscribers 100 tu Bali wanataka hata 200k au hata 1M sasa shida inakuja pale ambapo ni kweli kuna wale wanaofanya tricks ambazo zinawekewa na behind the scenes. Ila kuna wale walio serious kabsa mfano huyo Dynamo mpuuzi sana kwenye hill swala mkuu.
Asante sana kwa clarification iliyoshiba mzee
 
Hapa naona hatujaelewana,yaani hujanielewa vyema kabisa,mimi sijakosoa bali nataka unipe ufafanuzi juu ya hitimisho lako kwamba umetumia nini kuhitimisha kwamba chanzo cha Uchawi ni Shetani.
Sheikh Zurri naomba kukutafutia majibu
 
Levitagion imeonekana shida. Wote atakae penda chukuwa maji kwenye glass yaache yatulie then take a closer look dakika kadhaa maji yatacheza.
Nb sio wote wata notice iyo lakin atakae fanikiwa arudi atupe behind the scene
 
Naomba unipe japo magicians au illusionist wawili tu wenye kufanya hii kwa kufuata maelekezo yako
 
Hapa naona hatujaelewana,yaani hujanielewa vyema kabisa,mimi sijakosoa bali nataka unipe ufafanuzi juu ya hitimisho lako kwamba umetumia nini kuhitimisha kwamba chanzo cha Uchawi ni Shetani.
Naomba nijibu dukuduku lako sheikh wangu.
1. Tunaposema kuwa chanzo cha uchawi ni nini tunaangalia Dhana mbili.
1.1. Dhana ya kijamii inayoona kuwa ushirikiano Wa karibu katiya mapepo, majini pamoja na wachawi, kuwa ni mipango ya shetani. Nia ya shetani ni ovu na inapelekea jamii kuamini kuwa Uchawi ni zao la Mzee baba Devil.
2. Dhana ya kidini.
2.1. Upande wenu nadhani mna mtazamo tofauti kuhusu hili jambo. Kuna sheikh mmoja nilimuuliza akadai kuwa "Uchawi ulianza na ulikuwepo after Lucifer alipomuasi Mungu na kutaka kuwa juu yake. Lakini nikajiuliza kuwa vp kuhusu ishu ya kuwepo kwa uchawi na Kazi yake duniani?
Nilichokipata kutokana na udadisi wangu na purukushani za kuwauliza maswali haya masheikh pamoja na wachungaji mbalimbali nimekuja kuona kuwa baba ya uchawi ni Devil mwenyewe ndo kama administrator vile. Huwezi kuwa mchawi bila ya Devil kupata notification.
Thats all sheikh wangu zuri
Nipo
 
Halafu hata kama kuna the use of normal tricks. Lakini unapoingilia matumizi ya extraordinary tools au gadgets kama Ouija Boards hapo huwezi kuweka pembeni matumizi ya kichawi kwenye matendo yako.
Mtazame kwa umakini jinsi Sacred Rihanna anavyoitumia Ouija Boards tena bila shida ijapokuwa anafanya mawasiliano ya moja kwa moja na roho chafu.
 
Kuna watu akili zao huwa wanaziacha mahala kwa wakati ambao zinahitaji kutumika,

Kuna vitu ni kawaida na ambavyo si kawaida,Kwenye mazingaombwe yanayofanywa AGT yana nguvu za ziada ndani yake
Huwez kusema mtu anajichoma kwenye upanga na unashuhudia na anatoka mzima lakin ww unasema ni trick za kawaida au hakuna nguvu ya ziada
 
Ni kwamba kuna watu wanaamini au wanadai ya kuwa hakunaga uchawi na ndiyo maana linapokuja suala la magic kuwa na nguvu za ziada hujikuta kupinga kwa kusimamia misimamo yao ya kutokuwepo uchawi na hapo ndipo tatizo linapoanza,
 
Zile tricks sio za kawaida maana mpaka inawaacha watu hoi hata
 
Mi najiuliza inawezekana vp uende kwenye mashindano ya vipaji halafu watu waoneshe vipaji vyao kisha aje mtu na tricks zake na apewe ushindi.
 
Kwahiyo unadai kuwa alipokuwa anatembea na kushikwa shikwa miguu na waogeleaji alikuwa kwenye glass?????
Uliona alichokifanya Chris Angels kwenye ile swimming pool??
Je Dynamo the magician impossible alipotembea kwenye mto kuanzia mwanzo mpaka katikati aliwekewa glass?????
aloo dynamo sio mtu mambo anayofanya sio kabisa
 
Asante kwa clarification nzuri sana mkuu.
Pia YouTube sio kila mtu anataka kupata followers au subscribers 100 tu Bali wanataka hata 200k au hata 1M sasa shida inakuja pale ambapo ni kweli kuna wale wanaofanya tricks ambazo zinawekewa na behind the scenes. Ila kuna wale walio serious kabsa mfano huyo Dynamo mpuuzi sana kwenye hill swala mkuu.
Asante sana kwa clarification iliyoshiba mzee
kweli dynamo mpuuzi mnooo angalia hata ile amekuja south africa jamani uchawi au shetani yupo.
 
Ningeumia sana kimya kimya kama usingenialika kwenye huu mjadala lakini kama ingetokea nikauona bila mualiko bado nisingeacha kuchangia
Shetani na ibilisi ni kitu kimoja kwenye muktadha tofauti... Moja ni kiambishi na nyingine ni kivumishi
Ishu za AGT n so on ni mwendelezo wa vipaji asilia na vipaji vya kutengenezwa.... Kinachofanyika pale ni mwendelezo wa hivyo vipaji ambavyo along the way kuna mazingaombwe, supernatural powers na tech ya hali ya juu

Nitaendelea baada ya kusoma vizuri mada yote...
Nipo....!
Kiambiashi katika roho au isimu?
 
hujaona real magicians, unaweza rudia mara 100 but using'amue what happened.~

Angalia auditions za Shin Lim mshindi wa AGT 2018 kama sijakosea then upate huo ujasiri wa kuandika uliyoandika
Jamaa alikuwa anavitu vya kutisha kidogo
 
Back
Top Bottom