Je, Shetani & Ibilisi anahusikaje kwenye vitendo vya Magicians (Wanamazingaombwe)?

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
669
Points
1,000

Damaso

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
669 1,000
Hebu nipe mzee niongeze maarifa
Kwa ajili yako ngoja nikupe Maarifa tu mkuu. Dunia ina mambo ya ajabu sana, wakati wanaigiza filamu pamoja na miendelezo ya filamu za Harry Potter kuanzia zile Harry Potter And Half Blood Princes, Harry Potter And Secret Chamber na zingine, watu pamoja na dunia zilibaki na Dhana kuwa magic haifundishi mubashara.
Kwa faida ya Jf nitaelezea Chuo kimoja kinachotoa elimu hii kinangananga.
Grey Schools of Wizardry ni chuo kinachofundisha kila mbinu ya kufanya magic pamoja na kufanya suppressing za spells (ndumba). Kilianzishwa na Bwana mmoja anayeitwa Oberon Zell Ravenheart ambaye pia ni mwanzilishi wa dini ya Makanisa ya Dunia yote (Church of All Worlds). Niko ndo chuo kikubwa kinachotambulika kutoka elimu ya Magics. Hapa kunafundishwa zaidi ya madarasa 450 kwenye idara zaidi ya 16. Mtu akimaliza elimu hupata tunzo ya kuitwa Journeyman Wizards. Kumaanisha kuwa amefuzu mafunzo ya chuo. Lakini chuo hiki hutoa mafunzo ya muda mfupi yaan short trainings kwa wale world top magicians pamoja na upcoming kwenye sophisticated models of magics....
Ngoja niishie hapa mkuu...
Nipo....
 

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
287
Points
250

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
287 250
Hakuna uchawi,hakuna uchawi narudia tena hakuna uchawi wowote ule ni tricks plus mind games ndio kinachofanyika mi nna mjomba wangu anaweza kufanya vyote hivyo bila uchawi wala nini hata Mimi kuna vichache naweza kufanya mfano kujimwagia petrol na kujichoma moto na siungui,kuipoteza shilingi mkononi,kutoa chura mdomon from nowhere,kumeza jambia n.k
 

Mathenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Messages
778
Points
500

Mathenge

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2013
778 500
Daah tulikua tunakusanywa shuleni miaka ya 80'huko jamaa anamkata mwanafunzi.kichwa harafu anakiingiza kwenye chupa hatari sana ahahahha
 

Ravalomanana

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2018
Messages
419
Points
250

Ravalomanana

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2018
419 250
Ila wakwenye swimming pools haoo wako na access flani flani ivi na sio kila mtu anaweza kupata kama unavo sema eti kutoa damu sijui kujiunga na chama na shetani. Shetani hataki vilaza hao unao waona wamedevelopiwa uwezo wao kwa kitumia nguvu za giza lakin walikuwa nazo angalau kidogo ukitka kujua fuatilia maisha au historia yao tangu wadogo walikuwa na mambo flani sio ya kawaida sana
Hakuna nguvu za Giza mkuu ingia you tube search "breaking magician code" utaujua ukweli na hiyo trick ya kutembea juu ya maji hutumia glass block ambazo mhusika anatembea juu yake
 

Ravalomanana

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2018
Messages
419
Points
250

Ravalomanana

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2018
419 250
Asante sana kwa dukuduku hili nitajaribu kukujibu kwa uwezo wangu na uelewa wangu.
1. Umeuliza kuhusu uhakika wangu kuwa shetani ndo mhusika Wa mazingaombwe haya. Jibu ni hili:
Katika utendaji Wa binadamu kuna aina mbili za uelewaji au ufahamu Wa matendo haya.
Utendaji ulio Wa kawaida na utendaji wenye kuleta hisia tofauti. Ukisema utendaji Wa Kawaida ndo tunapozungumzia normal tricks mfano: Kubashiria karata au some of the mathematics guessing. Lakini upande Wa pili ndo Yale matendo ambayo yanaacha maswali mazito kwa watu. (Nashukuru sana kwa mmoja Wa watoa hoja kasema kuwa YouTube kuna hadi behind the scene, ni vizuri na vyema kwa manufaa ukiweka link ya video hiyo.) Lakini cha kujiuliza je wakati Chris Angles anatembea kwenye swimming pools juu ilikuwepo behind the scene pale. Tuchukulie ilikuwepo basi, lakini kivipi tena Bwana Chris anatembea kwenye maji bila kuzama na pembeni na hata mbele yake kuna watu wanaogelea bila shida.
Je wakati Dynamo the magician impossible alipofanya levitation pale kwenye sanamu la Yesu katika nchi ya Brazil, kuna behind the scene pale, na je watu zaidi ya 100 wote walikuwa ni sehemu ya Mchezo Wa kuigiza?
Hiyo ya Chris angel kutembea juu ya maji nimeiona behind the scene ,kuna glass bar maalum zimewekwa kwenye maji so mhusika hutembea juu yake na kuhusu hao waogeleaji ni miongoni mwa team yake wanajua kila kitu ndivyo ilivyoelezewa kwenye you tube
 

Ravalomanana

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2018
Messages
419
Points
250

Ravalomanana

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2018
419 250
Mkuu soma comment yangu namba 59 utaelewa msimamo wangu,mimi siseme kuwa magic ni trick tu ijapokuwa najua trick zipo hata hiyo kutembea kwenye maji wanaweza kuweka kioo kwa juu na kikawa na uwazi kwa chini hivyo wakati mtu anatembea juu watu wakawa wanaogelea kwa kupita chini,nimeona hivi youtube ila mazingira yake yalikuwa kwenye swimming pool.
Lakini tunapokuja kwenye suala la Dynamo kutembea kwenye mto(nimeona) mbele ya umati wa watu vile ni ngumu kusema kuna trick imefanywa pale na ndiyo maana mie pamoja na kuona hizo magic trick ila bado haijanishawishi kusema hao magicians kama akina Dynamo na wengine kuwa hufanya trick tu.
Suala la dynamo kutembea kwenye MTO pia ni trick ya kuweka bock glass,angalia kwa makini jinsi anavyoingia taratibu ndani ya maji na anatembea kwenye line moja kama MTU anaelenga kukanyaga kitu Fulani,kama sio trick ya kawaida angejirusha tu ndani ya maji na kutembea bila mpangilio
 

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
669
Points
1,000

Damaso

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
669 1,000
Suala la dynamo kutembea kwenye MTO pia ni trick ya kuweka bock glass,angalia kwa makini jinsi anavyoingia taratibu ndani ya maji na anatembea kwenye line moja kama MTU anaelenga kukanyaga kitu Fulani,kama sio trick ya kawaida angejirusha tu ndani ya maji na kutembea bila mpangilio
Sikatai hoja yako lakin principles za Hawa Jamaa ziko open kote????
Je kila stunt au kitendo basi kina behind the scene!????
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
7,230
Points
2,000

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
7,230 2,000
Suala la dynamo kutembea kwenye MTO pia ni trick ya kuweka bock glass,angalia kwa makini jinsi anavyoingia taratibu ndani ya maji na anatembea kwenye line moja kama MTU anaelenga kukanyaga kitu Fulani,kama sio trick ya kawaida angejirusha tu ndani ya maji na kutembea bila mpangilio
Mkuu huko youtube watu wanajaribu sana kuelezea tricks anazotumia huyo jamaa ila maelezo yao yanakuwa na makosa mbambali,hata mimi natamani kujua hasa jamaa anafanyaje. Unataka kusema hata huo umati wa watu hawajagundua hicho kitu na pia aliwashirikisha hadi polisi maana mwishoni walikuja polisi kumtoa.

Screenshot_2019-10-06-08-42-12.jpeg
Screenshot_2019-10-06-08-44-06.jpeg
Screenshot_2019-10-06-08-42-59.jpeg
Screenshot_2019-10-06-08-43-45.jpeg
 

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
669
Points
1,000

Damaso

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
669 1,000
Nimefuatilia channels nyingi sana huko YouTube lakin ukienda kufanya comments za kuhoji zaidi namna kina Blain pamoja na Dynamo wanachokifanya wanakutukana sana au kukukandia.
YouTube huko wanaingiza pesa kutokana na viewers pamoja na subscribers..
Fuatilia historia za Hawa Jamaa kwa ukaribu utaona: kuna baadhi ya stunts ni ngumu sana kufanya bila msaada kubali au ukatae...
Levitation au kutembea a very long distance on water unadai kuna transparent glass!!? Vp mbona Cris Angels hakulowashina nguo hapo nako kuna transparent nn???
 

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Messages
5,017
Points
2,000

magnifico

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2013
5,017 2,000
Hakuna uchawi,hakuna uchawi narudia tena hakuna uchawi wowote ule ni tricks plus mind games ndio kinachofanyika mi nna mjomba wangu anaweza kufanya vyote hivyo bila uchawi wala nini hata Mimi kuna vichache naweza kufanya mfano kujimwagia petrol na kujichoma moto na siungui,kuipoteza shilingi mkononi,kutoa chura mdomon from nowhere,kumeza jambia n.k
Mjomba wako anaweza kutembea kwenye swimming pool na waogeleaji wakamshika miguu?!
 

Forum statistics

Threads 1,343,294
Members 515,003
Posts 32,779,496
Top