Je, Shetani & Ibilisi anahusikaje kwenye vitendo vya Magicians (Wanamazingaombwe)?

Unahitimisha ya kuwa chanzo cha Uchawi ni Shetani ? Unaweza kunipa ufafanuzi juu ya kauli hii ?
Siwezi kujibu hoja zako mkuu wakati umeshafungamana na Imani yako!!!
 
Hili swali gumu sana,na jibu sahihi ni kuwa sikumbuki.
Angekuwa mtu mwingine nimempa maelekezo kwa urahisi tatizo humu jf wengi hatujui approachability kwenye mada ya mtu. Mnaanza kufanya masahihisho kana kwamba mnajua kuliko mleta mada!!! Mada inajadiliwa kistaraabu hata kama unaipinga ila kwa hekima na heshima.
Kutukanana ndo kimbilio letu wengi
 
Msimamo wangu unaweza ukakinzana na watu wengine. Kwa namna moja au nyingine.....
Nilivyoangalia na kufuatilia makala mbalimbali za kuhusu the world top magicians au illusionists niliona ni kana kwamba wanapata msaada Wa tofauti kidogo ambao kwa ufahamu wangu Wa haraka niliona sio Wa kibinadamu.
Sijaweka conclusion kuwa Jembe Ibilisi ndo mwenye kuhusika kwenye hizi mambo...
 
Bwana Stateman unaweza ukawa sahihi sana kwenye mlengo huo....
Mimi kuleta Uzi haina maana kwamba ndo nimefunga mawazo kikubwa ni kupeana ujuzi zaidi tu mkuu.
 
Angekuwa mtu mwingine nimempa maelekezo kwa urahisi tatizo humu jf wengi hatujui approachability kwenye mada ya mtu. Mnaanza kufanya masahihisho kana kwamba mnajua kuliko mleta mada!!! Mada inajadiliwa kistaraabu hata kama unaipinga ila kwa hekima na heshima.
Kutukanana ndo kimbilio letu wengi

Hapa naona hatujaelewana,yaani hujanielewa vyema kabisa,mimi sijakosoa bali nataka unipe ufafanuzi juu ya hitimisho lako kwamba umetumia nini kuhitimisha kwamba chanzo cha Uchawi ni Shetani.
 
Hakuna cha maana...

Wanachofanya is to trick your mind in such a way that akili yako siyo rahisi kung'amua haraka haraka kwa urahisi...

Ndiyo maana wanaongea sana, kule kote ni to distract your mind and take away your concentration...

Cc: mahondaw
hujaona real magicians, unaweza rudia mara 100 but using'amue what happened.~

Angalia auditions za Shin Lim mshindi wa AGT 2018 kama sijakosea then upate huo ujasiri wa kuandika uliyoandika
 
hujaona real magicians, unaweza rudia mara 100 but using'amue what happened.~

Angalia auditions za Shin Lim mshindi wa AGT 2018 kama sijakosea then upate huo ujasiri wa kuandika uliyoandika
It was simple ...and already explained
 
hujaona real magicians, unaweza rudia mara 100 but using'amue what happened.~

Angalia auditions za Shin Lim mshindi wa AGT 2018 kama sijakosea then upate huo ujasiri wa kuandika uliyoandika
It was simple ...and already explained
 
Msimamo wangu unaweza ukakinzana na watu wengine. Kwa namna moja au nyingine.....
Nilivyoangalia na kufuatilia makala mbalimbali za kuhusu the world top magicians au illusionists niliona ni kana kwamba wanapata msaada Wa tofauti kidogo ambao kwa ufahamu wangu Wa haraka niliona sio Wa kibinadamu.
Sijaweka conclusion kuwa Jembe Ibilisi ndo mwenye kuhusika kwenye hizi mambo...
mkuu unajichanganya. huo msaada ndo mleta mada kasema ni wa kishetani, siyo katika njia asili.
 
Bado mgeni wa kutumia youtube et eeh?
Hizo magic wanazofanya mfano levitation zote ni tricks tu
mbona search humo humo YouTube wameelezea behind the scenes zote hakuna magic hapo dogo
Mkuu hata kwenye movie wanaigiza matukio(ambayo yapo kwenye maisha halisi) na kuweka behind scenes,hizo tricks huko nimeziona sana tu bado haifanyi tuishi kusema magic ni trick tu maana najaribu kuwaza kuwa inamaana hao magicians wanaposhiriki mashindano huwa wanaandaliwa mazingira ya kufanya hizo tricks na bado wanaibuka kuwa washindi?
 
labda karata,trick gani ya mtu kutembea juu ya maji
Ukiangalia hizo trick youtube utaona wanawek glass ndio hutembea juu yake hivyo wewe huwezi kuona huishia kuona anatbea juu ya maji.
 
Back
Top Bottom