Je, Shetani & Ibilisi anahusikaje kwenye vitendo vya Magicians (Wanamazingaombwe)?

R

Range rover

Senior Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
134
Points
250
R

Range rover

Senior Member
Joined Nov 22, 2016
134 250
Nimefuatilia channels nyingi sana huko YouTube lakin ukienda kufanya comments za kuhoji zaidi namna kina Blain pamoja na Dynamo wanachokifanya wanakutukana sana au kukukandia.
YouTube huko wanaingiza pesa kutokana na viewers pamoja na subscribers..
Fuatilia historia za Hawa Jamaa kwa ukaribu utaona: kuna baadhi ya stunts ni ngumu sana kufanya bila msaada kubali au ukatae...
Levitation au kutembea a very long distance on water unadai kuna transparent glass!!? Vp mbona Cris Angels hakulowashina nguo hapo nako kuna transparent nn???
Kuna clip moja huyo jamaa anaingia kwenye kabati anasimama halafu kabati linafungwa wakati huo hapo chini kuna ile nembo ya Baphomet linachomwa moto linaungua lote then anatokea anatokea tena hapo hapo jukwaani.kati kati ya watu na nguo zilezile akiwa vilevile
 
gonamwitu

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
287
Points
250
gonamwitu

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
287 250
Mjomba wako anaweza kutembea kwenye swimming pool na waogeleaji wakamshika miguu?!
Yes kutembea kwenye swimming pool wanatumia kioo maalumu ambacho kipo transparent yaani huwezi kukiona kina kuwa placed juu ya swimming then MTU anatembea yaani una smartphone vitu km HV unashindwa hata Ku google c'mon niggah.!!
 
gonamwitu

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
287
Points
250
gonamwitu

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
287 250
Anko wake anaweza kujitoboa mbavu na kufanya levitation kwenda juu
Levitation MTU anafungwa kamba ambazo ni transparent then kuna kuwa na helicopter au winch linamnyanyua simply like that niliwahi kuwa na video zinazoelezea jinsi hayo mazingaombwe yote ya kina dynamo,Chris angel nk yanavyofanyika alinipa mjomba angu
 
gonamwitu

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
287
Points
250
gonamwitu

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
287 250
Factofusion hawa ndo manguli wa michezo hii na wameanza tangu miaka ya 70's huko hawa jamaa wanaelezea kila kitu kinachofanyika behind the scene a to z bila kumungu'unya maneno hao wakina dynamo,Chris angel wamechambuliwa wameachwa uchi hiyo ya kutembea juu ya maji ni transparent glass maalumu ndo huwa inatumika na inauzwa kwenye maduka wanayaita magic shop urefu wowote unaotaka wewe wanakuuzia pili Huyo dynamo km kweli anatembea juu maji kwanini hatembei randomly? Kwanini anaonekana km kuna mstari anaufata? Ni kwasababu ndipo hicho kioo kilipo kuwa placed watu wavivu sana kufuatilia wanagoogle x tu
 
Damaso

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
669
Points
1,000
Damaso

Damaso

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
669 1,000
Daah yaani kama ndo YouTube walionesha hivi vitu basi tutabaki nyuma sana.
Naomba unisaidie kwenye hizi hoja;
1. Levitation umesema kuwa mtu anafungwa kamba zilizo transparent na juu kuna kuwa na helicopter au winch. Sawa sikatai hoja yako ila naomba unielekeze hizi helicopter au winch huwa zinakuwa wapi wakati huo au huwa hazionekani?
Vp kuhusu vitendo vya levitation vinafanyika kwenye jukwaa la AGT AU BGT nako huwa kuna winch au helicopter????
2. Umesema kuwa kuna behind the scene za Hawa jamaa ebu weka hata moja inaonyesha wakielezea zile mind blowing stunts kama; pale David Blain alipojichoma panga kuanzia mbavu za kulia mpaka kushoto! Au ile ya Cris Angels akitoa vyura kwenye kikombe.
Nitashukuru sana ukileta majibu mkuu.
Nipo
Levitation MTU anafungwa kamba ambazo ni transparent then kuna kuwa na helicopter au winch linamnyanyua simply like that niliwahi kuwa na video zinazoelezea jinsi hayo mazingaombwe yote ya kina dynamo,Chris angel nk yanavyofanyika alinipa mjomba angu
 
gonamwitu

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
287
Points
250
gonamwitu

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
287 250
Daah yaani kama ndo YouTube walionesha hivi vitu basi tutabaki nyuma sana.
Naomba unisaidie kwenye hizi hoja;
1. Levitation umesema kuwa mtu anafungwa kamba zilizo transparent na juu kuna kuwa na helicopter au winch. Sawa sikatai hoja yako ila naomba unielekeze hizi helicopter au winch huwa zinakuwa wapi wakati huo au huwa hazionekani?
Vp kuhusu vitendo vya levitation vinafanyika kwenye jukwaa la AGT AU BGT nako huwa kuna winch au helicopter????
2. Umesema kuwa kuna behind the scene za Hawa jamaa ebu weka hata moja inaonyesha wakielezea zile mind blowing stunts kama; pale David Blain alipojichoma panga kuanzia mbavu za kulia mpaka kushoto! Au ile ya Cris Angels akitoa vyura kwenye kikombe.
Nitashukuru sana ukileta majibu mkuu.
Nipo
Yes sehemu yoyote ile ambayo hawa jamaa wanafanya levitation lazima kuwe na winchin au helicopter lazima hivi vitu viwepo ninapozungumzia winchin yapo mawinchin ya aina tofauti mkuu na mengine huwa yanatumika kwenye movie pili hawa jamaaa wanapoperfom magics zao kuna baadhi ya mazingira wanakuwa na stooges yaani watu wao ambao wamewaaandaa kuhusu suala LA Chris angels kutoa chura jamaa anammeza chura anakuwa along oesophagus na anakuwa na uwezo wa kumtapika na hili Chris Angela alilifanyia mazoezi km miezi6 had I akaweza.
 
gonamwitu

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
287
Points
250
gonamwitu

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
287 250
Daah yaani kama ndo YouTube walionesha hivi vitu basi tutabaki nyuma sana.
Naomba unisaidie kwenye hizi hoja;
1. Levitation umesema kuwa mtu anafungwa kamba zilizo transparent na juu kuna kuwa na helicopter au winch. Sawa sikatai hoja yako ila naomba unielekeze hizi helicopter au winch huwa zinakuwa wapi wakati huo au huwa hazionekani?
Vp kuhusu vitendo vya levitation vinafanyika kwenye jukwaa la AGT AU BGT nako huwa kuna winch au helicopter????
2. Umesema kuwa kuna behind the scene za Hawa jamaa ebu weka hata moja inaonyesha wakielezea zile mind blowing stunts kama; pale David Blain alipojichoma panga kuanzia mbavu za kulia mpaka kushoto! Au ile ya Cris Angels akitoa vyura kwenye kikombe.
Nitashukuru sana ukileta majibu mkuu.
Nipo
 
gonamwitu

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
287
Points
250
gonamwitu

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
287 250
Daah yaani kama ndo YouTube walionesha hivi vitu basi tutabaki nyuma sana.
Naomba unisaidie kwenye hizi hoja;
1. Levitation umesema kuwa mtu anafungwa kamba zilizo transparent na juu kuna kuwa na helicopter au winch. Sawa sikatai hoja yako ila naomba unielekeze hizi helicopter au winch huwa zinakuwa wapi wakati huo au huwa hazionekani?
Vp kuhusu vitendo vya levitation vinafanyika kwenye jukwaa la AGT AU BGT nako huwa kuna winch au helicopter????
2. Umesema kuwa kuna behind the scene za Hawa jamaa ebu weka hata moja inaonyesha wakielezea zile mind blowing stunts kama; pale David Blain alipojichoma panga kuanzia mbavu za kulia mpaka kushoto! Au ile ya Cris Angels akitoa vyura kwenye kikombe.
Nitashukuru sana ukileta majibu mkuu.
Nipo
 
Attachments:

Forum statistics

Threads 1,343,274
Members 514,998
Posts 32,778,497
Top