ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #461
Mola ameweka kila kitu
mola ameweka kila kitu kwa dalili na ushahidi mfano amesema miongoni mwa alama zangu ama uwepo wangu ni kuwepo kwa jua na mwezi usiku na mchana uwepo wa siku ya mwisho nikushauri dada yangu soma dini vizuri
Dini ipi nisome kaka?Mola ameweka kila kitu
mola ameweka kila kitu kwa dalili na ushahidi mfano amesema miongoni mwa alama zangu ama uwepo wangu ni kuwepo kwa jua na mwezi usiku na mchana uwepo wa siku ya mwisho nikushauri dada yangu soma dini vizuri
Sasa mbona hauelezi kwa kina ni vp ulifikia hilo hitimisho la kuamini hivyo unavyoamini baada kushuhudia na kujielimisha hayo mambo?Wewe unadhani sipendi kujielimisha?
Nasoma Bible na Qur’an
Hata hivyo vifungu sijavichukua kwa AI nimesoma hivyo vitabu viwili
Baada ya hapo nimefikia kuamini hivyo ninavyo amini
Issue za uchawi na majini
Nimeshuhudia watu wakisema wanapandisha majini
Nimeshuhudia watu wakilishwa chano nk.....
Tupe uzowefu wako kwenye suala la watu kupandisha majini, umeshuhudia wakipandisha kwa hiari yao au yanapanda tu bila hiari yao? Na ni mazingira gani ya kawaida au kwa mganga?Wewe unadhani sipendi kujielimisha?
Nasoma Bible na Qur’an
Hata hivyo vifungu sijavichukua kwa AI nimesoma hivyo vitabu viwili
Baada ya hapo nimefikia kuamini hivyo ninavyo amini
Issue za uchawi na majini
Nimeshuhudia watu wakisema wanapandisha majini
Nimeshuhudia watu wakilishwa chano nk.....
Kaka hii ni mada nyingineSasa mbona hauelezi kwa kina ni vp ulifikia hilo hitimisho la kuamini hivyo unavyoamini baada kushuhudia na kujielimisha hayo mambo?
Hapa mwenye kufanya huo uchawi ndiyo mwenye majibu na si mimiNdio maana nikauliza hapo kwa mtu ambaye yeye mwenyewe ndio anafanya huo uchawi je huyu nae saikolojia inakaaje kwa upande wake? Maana mtu huyu baada ya kufanya aliyoyafanya anategemea kuona matokeo ya kile alichokifanya.
Sio kwa watu wengine mimi mwenyewe niliwahi kuambiwa nina majini 😂😂Tupe uzowefu wako kwenye suala la watu kupandisha majini, umeshuhudia wakipandisha kwa hiari yao au yanapanda tu bila hiari yao? Na ni mazingira gani ya kawaida au kwa mganga?
Lakini wewe si ndio mwenye kusema uchawi ni saikolojia na umefikia kusema hivyo baada kushuhudia na kujielimisha mambo kama hayo?Kaka hii ni mada nyingine nimeweka kisa kifupi kama kuweka mfano ila yapo mambo mengine mengi
Hapa mwenye kufanya huo uchawi ndiyo mwenye majibu na si mimi
Sawa ila niliyokuuliza hayajalenga hilo tukio lako binafsi tu.Sio kwa watu wengine mimi mwenyewe niliwahi kuambiwa nina majini 😂😂
Nikaambiwa yatapandishwa
But ni story ndefu tutaindikia uzi makhususi na nita ku tag bro
Sijui kwanini hunielewi broLakini wewe si ndio mwenye kusema uchawi ni saikolojia na umefikia kusema hivyo baada kushuhudia na kujielimisha mambo kama hayo?
Kama sio tukio langu binafsi basi mi sijuiSawa ila niliyokuuliza hayajalenga hilo tukio lako binafsi tu.
Sawa mkuu.Sijui kwanini hunielewi bro
Sijui hutaki tu kunielewa au sieleweki kwako
Sawa.Kama sio tukio langu binafsi basi mi sijui
Shukran asante kwa muda wako!Sawa mkuu.
Sijamaanisha kwamba IMANI ni nzuri au ni mbaya…….. nimejaribu kufafanua Imani ni NINI.Ahaa sawa
So kua na imani ni vibaya?
Yes, Mwanzo ulikua HUJUI kama Nyoka yupo au hayupo……….. utakapo JUA yupo then IMANI inakwisha inabaki FACT kwamba nyoka yupo na sio ninaamini nyoka yupo.Lakini mwanzoni ulisema unaamini kwanza sio?
Then baadae ndiyo ukathibitisha ukasema nyoka yupo baada ya kumuona right?
Niambie kuhusu neno (Imani) kama hutojali bro
Ahaa sawaSijamaanisha kwamba IMANI ni nzuri au ni mbaya…….. nimejaribu kufafanua Imani ni NINI.
Kwa maana hii usipoamini uchawi huwezi kuuona ukifanya kazi?Yes, Mwanzo ulikua HUJUI kama Nyoka yupo au hayupo……….. utakapo JUA yupo then IMANI inakwisha inabaki FACT kwamba nyoka yupo na sio ninaamini nyoka yupo.
IMANI ni kukubali jambo bila UTHIBITISHO
IMANI ni jambo ambalo HALIPO au HALINA UHAKIKA kama lipo ila wewe una train ubongo wako kukubali kwa dhati kwamba lipo
Mkuu kinacho tatiza kwenye Imani ya UCHAWI ni UTHIBITISHO kwamba uchawi ndio umefanya kazi kwa sababu hiyo inayo aminiwa imefanyika huwa ndio matokeo ya kawaida kutokeaAhaa sawa
Kwa maana hii usipoamini uchawi huwezi kuuona ukifanya kazi?
Mimi sikubaliani na hii dhana ya uchawiMkuu kinacho tatiza kwenye Imani ya UCHAWI ni UTHIBITISHO kwamba uchawi ndio umefanya kazi kwa sababu hiyo inayo aminiwa imefanyika huwa ndio matokeo ya kawaida kutokea
Labda uwe specific jambo gani wewe umethibitisha ni matokeo ya uchawi
Kipi sasa kinachofanya mtu achague cha kuamini na kipi akatae kuamini?Sijamaanisha kwamba IMANI ni nzuri au ni mbaya…….. nimejaribu kufafanua Imani ni NINI.
Yes, Mwanzo ulikua HUJUI kama Nyoka yupo au hayupo……….. utakapo JUA yupo then IMANI inakwisha inabaki FACT kwamba nyoka yupo na sio ninaamini nyoka yupo.
IMANI ni kukubali jambo bila UTHIBITISHO
IMANI ni jambo ambalo HALIPO au HALINA UHAKIKA kama lipo ila wewe una train ubongo wako kukubali kwa dhati kwamba lipo
Nadhani kama anaweza kukusudia apate matokeo fulani endapo akufanya hiko anachosema ni uchawi na kweli baada ya kufanya yakapatikana hayo matokeo, je hilo halitoshi kuthibitisha?Mkuu kinacho tatiza kwenye Imani ya UCHAWI ni UTHIBITISHO kwamba uchawi ndio umefanya kazi kwa sababu hiyo inayo aminiwa imefanyika huwa ndio matokeo ya kawaida kutokea
Labda uwe specific jambo gani wewe umethibitisha ni matokeo ya uchawi
Sio jambo moja mkuu.Kipi sasa kinachofanya mtu achague cha kuamini na kipi akatae kuamini?
Ungekua specific ni jambo gani hilo la kichawi limetoa hayo matokeo tungejadili vizuriNadhani kama anaweza kukusudia apate matokeo fulani endapo akufanya hiko anachosema ni uchawi na kweli baada ya kufanya yakapatikana hayo matokeo, je hilo halitoshi kuthibitisha?