wewe umefuata chuo kusoma au ngono unaonekana hujapevuka ivi unadhani kuwa na ukimwi ni mwisho wa maisha kwaiyo mtu akae bila kujishughulisha kwa kifupi mimi naishi na vvu tangu 2008 na nilisoma kwa bidii nikaingia chuo adi nimemaliza na nina malengo mengi na sifi leo wala kesho
Wasichana wote chuoni wana ukimwi mwanangu. Si unakumbuka njia za maambukizi? Soma nao, kula nao chakula na kucheza nao. Ila usitumie vitu vyenye ncha kali na kungonoka nao.
Shule njema
Utashi ni nini ndugu? Unataka tumwambieje? Atumie condoms? Nani ameropoka? Unaposema be positive kwenye Kitu gani, ngono?
hapo unajipa moyo tu
Mi nadhani ninyi wachangiaji ndio wenye fikra mgando.....watu wanakutana misibani na wanaishia kuoana au mahusiano itakuwa chuo mpo pamoja kwa miaka 3??....msijifanye nyie wasongo sana, mapenzi ni sehemu ya maisha ya binadamu hasa watu wazima na wenye utashi kama sie......instead of mocking him ni vema mngempa ushauri mzuri au kumjibu maswali yake vizuri na kama hamjui ni vema kukaa kimya kuliko kuropoka,au mnataka kuniaminisha kuwa hao walioweka condom vyuoni ni wajinga????......be positive guyz
Acha uji.nga, nenda kasome wewe
hapo unajipa moyo tu