Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

Wasichana wote chuoni wana ukimwi mwanangu. Si unakumbuka njia za maambukizi? Soma nao, kula nao chakula na kucheza nao. Ila usitumie vitu vyenye ncha kali na kungonoka nao.
Shule njema
 
wewe umefuata chuo kusoma au ngono unaonekana hujapevuka ivi unadhani kuwa na ukimwi ni mwisho wa maisha kwaiyo mtu akae bila kujishughulisha kwa kifupi mimi naishi na vvu tangu 2008 na nilisoma kwa bidii nikaingia chuo adi nimemaliza na nina malengo mengi na sifi leo wala kesho

hapo unajipa moyo tu
 
Wasichana wote chuoni wana ukimwi mwanangu. Si unakumbuka njia za maambukizi? Soma nao, kula nao chakula na kucheza nao. Ila usitumie vitu vyenye ncha kali na kungonoka nao.
Shule njema

Hahahahahaa....shikamoo saaaaana
Bila shaka mwanao kakuelewa, asipokuelewa ndiyo ile wazazi tunasema sikio la kufa....?? Na asiesikia la Mkuu....???
 
We kama umepania ngono utapata gpa ya ngono kama umeenda kusoma utapata ya kusoma acha ujinga kasome ukimwi upo kila mahali
 
Dah!cdhan kama mmempa majibu aliyoyataka,mbona wengi wenu mnaponda na kukebei,sijawa na imani na majibu yenu,ingekuwa ni katiba kwa majibu haya tungepata katiba kweli?.toeni mawazo ili jamaa ajengeke kifkira imara.NAWASILISHA
 
Utashi ni nini ndugu? Unataka tumwambieje? Atumie condoms? Nani ameropoka? Unaposema be positive kwenye Kitu gani, ngono?

Sasa mnavyomwambia anapenda ngono ni nini kama si kuropoka...mapenzi ni sehemu ya maisha ya mwanadamu
 
Mi nadhani ninyi wachangiaji ndio wenye fikra mgando.....watu wanakutana misibani na wanaishia kuoana au mahusiano itakuwa chuo mpo pamoja kwa miaka 3??....msijifanye nyie wasongo sana, mapenzi ni sehemu ya maisha ya binadamu hasa watu wazima na wenye utashi kama sie......instead of mocking him ni vema mngempa ushauri mzuri au kumjibu maswali yake vizuri na kama hamjui ni vema kukaa kimya kuliko kuropoka,au mnataka kuniaminisha kuwa hao walioweka condom vyuoni ni wajinga????......be positive guyz

Kiukweli katika watu waungwana ww ni mmoja wapo, wengi wamenitukana lakini wameniangalia mimi as if wao hawajawahi kupenda n sijasema nakwenda chuo kufuata mapenzi bt mapenzi hujitokeza. hawajajibu maswali niliyouliza but poa cnc nimejifunza kwamba cc tumekalia siasa badala ya kujibu tunayotakiwa kujibu
 
inaonekana ulkuwa kdampa huko nyuma kapme uchukue hatua UKIMWI KWA XAXA NI KAWAIDA KASOME ULIOWAKUTA ENDLEA NA YAKO NA HAO WAENDLEE NA YAO
 
Mbona alishawaambia kuwa anajua anachoenda kufanya ni kusoma!? Hizi tabia za kuleta fujo humu jamvini kuna siku nitacharaza bakora maana najua bila bakora hakuna nidhamu kwa mtoto wa kiafrika hususani tanzania.
Kwani nyie koronino zenu mnaacha nyumbani mnapoenda masomoni? Au mnachoma sindano ya kuzuia matanio? Wapo wanao oana chuo, wanaanzaje au wananua tu kama pilipili wakaenda kuonja majumbani kwao?
Onyesheni tabia za kisomi, mtu akikuomba ushauri usimfanye ajute kuomba ushauri, kwani hamuoni fahari kutumia ufahamu wenu kuwasaiduia wenzenu? Tumieni elimu yenu kwa manufaa yenu na jamii yenu.
 
Jf raha kwel kwel kwan kuna vichaa wengi sana wasioelewa n nini kinaendelea. Kama ww ni mwanachuo ushaukwaa usiache na mwenzako aupate mpe reality ya maisha pindi atakapokuwa chuoni ili azid kujilinda, ukijua kuzaa ujue kutoa ushauri na kulea pia same applied ukiwa msomi ujue pia kutoa maneno ya busara na kuprovide ushauri yakinifu. Tumsaidieni huyu dogo kama kaka na dada zake na sio kuminsult.
 
Usiogope ukimwi ogopa cancer!!!!! Tahadhari, ogopa ngono nzembe, ogopa vvu, uatugua ukimwi (AIDS)!!!!!!!! Haina tiba!!!!! Ila ukiukubali utaishi kwa matumaini na utaishi miaka mingi bila kufa!!!!!
 
mmmh nmepata somo though wengi wenu humu ndani mnaleta masihara kama mnachat facebook bwana...be serious kama unajiona huna point we click LIKE then piga kimya tu
 
Back
Top Bottom