Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

Ata kama ulikua member mzuri wa CHAPUTA ukiwa UDSM, ukamaliza salama na sasa ivi uko kitaa hakuna utofauti. . . HIV iko kila sehemu

Alafu hao watoto wa mama salma wapo kila chuo

Na lengo la wao kupelekwa vyuoni ni kupata elimu kama sisi,sio kwasababu ya kusambaza DRUM

Thanks joanah.

Kwahiyo wanapelekwa na mama Salma ndio Maana wanaitwa hivo ama hilo jina limetokea wapi....
Je ni kweli karibu wote HIV+!!!!

Asante joanah.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
nonesense, pia kaa ukijua unyanyapaa si kitu kizuri, unaweza kufa kwa ajali,kuchinjwa n.k
 
Watoto wa mama salma ni watoto wenye HIV+ na wanalelewa na mama salma na kupatiwa elimu,kwahyo wapo vyuoni kama wanafunzi wengine wenyew tofauti yao ni kwamba wanalipiwa ada na kulelewa na mfuko wa mama salma na wameathirika kwa virusi vya ukimwi.
 
Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...

EBANA SAWA :
Wakat nahangaikia degree yangu ya Kwanza pale UDSM mara kibao nilikua nasikia masela wanapo piga story za MADEM, wanasema
"Angalia Mwanangu, humu kuna watoto wa mama Salma... Utaanza kupanga foleni za ARV bila kupenda!! "

in short masela wakawa wanasema kuwa kuna mabinti wanaitwa" Watoto wa mama Salma" wamesambazwa vyuo vikuu mbali mbali TZ nzima, wana HIV na Lengo lao ni kusambaza kwa masela wafunga magoli bila gloves..

SASA MAZEE :
Hawa watoto wa mama Salma ni kina nani hasa????
Kwanini wanaitwa watoto wa mama.... Anawatoa WAPI!!

Yeye ndio anawa finance!!
Je ni kweli most of them (if not all) are HIV +!!

Je ni kweli Lengo lao kusambazwa vyuoni ni kuja kusambaza DRUM!!

Ni kweli wana exist na wapo hadi vyuo vingine au ni UDSM peke yake...

Ni kweli wana exist au hii ni story ya watu wana tunga tuu!!!!

MAZEE :
Story hii ndio ilikua chanzo cha mie kubaki kuwa MPIGA MASTER mzuri tuu toka 1st year mpaka 4th year..

Sababu masela walikua wanasema kumjua huyu demu ni wa mama Salma au sio ni vgumu...

Engineer nikasema mweeeh ngoja nijitulize zangu, dettol zipo!!!!

Sasa nisha toka chuo, nipo kitaa, lakin hii habari ckupataga ukweli wake..

Kuna anaejua chochote about this college story!!!

Karibun sana....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Nikiwa Wazir wa Afya chuo fulan miaka ya karibun;moja ya ishu nilizokua nkizickia ni hizo so baada ya kupata huo wadhifa ilinilazim kujiridhisha mambo fulan fulan kuhusu hao watoto wa mama mpendwa Salma...
Katika huo uchunguz nilibain yafuatayo...
**Kweli wapo ila c wa mama Salma bali n jina walilopendekezwa coz kuna vit ila walikua wanafadhilia na serikal ubroad
**Pili lengo kubwa ni wao wapate elim coz weng wao wametoka ktk familia duni
Source: Document
 
Thanks joanah.

Kwahiyo wanapelekwa na mama Salma ndio Maana wanaitwa hivo ama hilo jina limetokea wapi....
Je ni kweli karibu wote HIV+!!!!

Asante joanah.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Nafikiri wanaitwa ivo sababu mdhamini ni mama salma. . .
Nilivosikia wote wana HIV
 
Habari wadau,

Leo nimekumbuka kuhusu hili jambo lililoenea sana miaka ile wakati tunasoma Sekondari na Chuo (2005/2015) kuhusu hawa waliokuwa wanaitwa "WATOTO WA MAMA SALMA" kuletwa wakitokea huko kwenye shule za WAMA.

Tetesi zilisema kuwa wengi wao walikuwa HIV positive huku vijana wengi wakishauriwa kuepuka kujiingiza kwenye masuala ya ngono ili kujiepusha na maambukizi ya VVU/UKIMWI.

Hivi hili jambo lilikuwa na ukweli ndani yake au zilikuwa story tu?
 
Pindi nipo Chuo Saut hii kitu ilivuma sana! Watu walikua wanasema Mama Salma kaleta contena!

Mimi kusema na ukweli pale chuoni nimecharaza sana dushe mademu! Wengine nilikua napigia kwenye vimbweta usiku, sasa sijui kama nilikutana na Mmoja wao ama vipi! Maana match ndo zilikua zinauzwa tu! Kuna mmoja walisema ni mgonjwa but now yupo bank,ana cheo kikubwa tu! Na hua tunapasha kipolo licha ya kwamba kaolewa na watoto 3 now

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Piga magoti hapo ulipo
Nikuungoze sala ya toba
Kwa niaba ya joseverest

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Piga magoti hapo ulipo
Nikuungoze sala ya toba
Kwa niaba ya joseverest

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu! Nishapiga tayari! Kuna siku wife pindi ana mimba kaenda clinic kaambiwa kesho yake twende wote! Mapigo ya moyo yalienda mbio kama yale magari ya langalanga ya formula one! Kumbe siku hizi ndo kawaida mke kwenda na mme wake clinic

Hiyo ni kawaida mkuu
Wanawake hawaogopagi mi siendagi ikifikiaga napangaga safari anaenda mwenyewe kuna wakati nilienda baada ya vipimo nikawa nimelowa nikapita tu home kubadili nguo sasa
Tena ilikuwa msimu wa baridi kali
Mi nililowa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom