Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

maarufu

Member
Nov 28, 2010
63
1
Wana jf kuna siku nilikuwa napata serengeti baridi nikiwa iringa na wanafunzi fulani wa vyuo vikuu vya iringa(wanaume) wakawa wanapeana vitisho kwamba mama salma kikwete kawamwaga wasichana karibu 500 wanaoishi na vvu katika vyuo vyote vya iringa yaani 1@500. Je kuna kaukweli kokote au ni propaganda

nawasilisha
 
hahahaha,
ebwana eh,ni kweli kabisaaaa hiyo niliisikia saut mwanza pale jamaa alipo kuwa ana jivinjari na mmoja wapo bila kujua hadi siku alipo mkuta ana kunywa ARV akaenda kuji tundika!

Nilisikia style yao ni kunyoa vipara ingawa sina uhakika sana katka hili
 
Nashukuru speaker kwa hilo

sio fact hiyo,cha kutambua ni kwamba kweli wapo,....lakini wako vipi inakuwa ngumu kuwa tambua kabisaa kama ilivo vigumu kumtambua muathirika mwingine yeyote yule.

So,kuna watu wanapenda sana wanafunzi wakijua ni watoto wadogo kumbe wengi wameoza tayari,....

be careful
 
Hiyo ni kweli, hata me nilipokua cbe Dodoma, kulikua na onyo kama hilo, pia na ikatoka mpaka kwenye gazeti..
Ushahidi angalia bango hapo chuo la tahadhari,
ukiichunguza vizuri hyo picha ya wanachuo waliograduate na majoho yao, imepigwa kwenye mandhali ya Hotel ya Mama Anna Mkapa iliyopo pembeni ya ofisi za Rc Dar..
 
Wana jf kuna siku nilikuwa napata serengeti baridi nikiwa iringa na wanafunzi fulani wa vyuo vikuu vya iringa(wanaume) wakawa wanapeana vitisho kwamba mama salma kikwete kawamwaga wasichana karibu 500 wanaoishi na vvu katika vyuo vyote vya iringa yaani 1@500. Je kuna kaukweli kokote au ni propaganda

nawasilisha
MIMI HII HABAR NIMEISKIA TANGU MUDA-LAKINI AS LONG SINA VITHIBITISHO VYA 100% NAJIKUTA NAFUNGA MDOMO-NIMEKUWEPO MZUMBE UNIVERSITY FOR QUITE LONG TIME-(MAIN CAMPUS) NA HIZ HABAR ZIPO-WANAFUNZI WANAZINGUMZA-WALIMU WANAZINGUMZA-BUT INAKUWA NI KAMA A TALE FLANI HIVI WATU WANASEMA PASPO NA UHAKIKA-KUMEKUWA NA MICHAKTO YA WANFUNZ KUPIMA VVU-THOUGH ITS SECRECT-KWA MZUMBE WANAOPIMA HUTOA CONLUSION TU KUWA HALI SI NZURI-BETTER ZIP UP-KUNA BWENI LINAITWA NYERERE KWA MZUMBE NASKIA NDO WALIPOMWAGA-WATOTO WENG WA BWEN HILO KIUKWEL NI easy to carry-NAOMBA TULIFANYIE UCHUNGUZ VZURI WADAU
 
Wana jf kuna siku nilikuwa napata serengeti baridi nikiwa iringa na wanafunzi fulani wa vyuo vikuu vya iringa(wanaume) wakawa wanapeana vitisho kwamba mama salma kikwete kawamwaga wasichana karibu 500 wanaoishi na vvu katika vyuo vyote vya iringa yaani 1@500. Je kuna kaukweli kokote au ni propaganda

nawasilisha

kwa nn afanye hivo huyu mama salma? una maana ana lengo la kuwafyeka vidume wote hapa tz abaki Riz1 peke yake? watu wenye vvu kwenda kusoma siyo ishu hata kidogo ila hilo la mama jk kuwasambaza ndio bado kuna utata. pls give more facts...
 
Jamani hapa ni mahali pa interlectuals. Hii habari kuwa mama Kikwete kasambaza watu wenye virusi vya UKIMWI ni uzushi usiokuwa na kichwa wala miguu.
Hao watu wenye virusi wanapelekwa vyuoni bila kufaulu? Ndo upendeleo maalum au? Na wanapimwa saa ngapi ili wapelekwe vyuoni na mama Salma?
UKIMWI upo kila mahali ni jukumu la kila mmoja kujilinda. Kama wewe unaona wanafunzi hawana UKIMWI kwa kuangalia halafu unaparamia bila Kondomu utaenda na maji.
 
kwa nn afanye hivo huyu mama salma? una maana ana lengo la kuwafyeka vidume wote hapa tz abaki Riz1 peke yake? watu wenye vvu kwenda kusoma siyo ishu hata kidogo ila hilo la mama jk kuwasambaza ndio bado kuna utata. pls give more facts...

nasikia ana mfuko wa kulelea waathirika. Kwa hiyo katika kuwaendeleza kielimu ndio anawasomesha hadi vyuo. Sio wanawake tu hadi wanaume ingawa nasikia idadi ya wanawake ndio kubwa.
Halafu wana mishepu hao. Kazi kwenu vibeberu.
 
Wadau huo ni ukweli mtupu na ni kupitia mfuko wa mama SALMA jk kupitia TACAIDS ambao unalengo la kuwaendeleza waathirika wa UKIMWI ili waweze kujikimu kimaisha. MIMI nikiwa nasoma demu wangu alikuwa ananiambia sana kuhusu hilo akisisitiza ni siri sana, kwamba ameambiwa na WADENI ambaye alikua ndugu yake. Mimi awali nilikua siamini nikiona labda anataka ni take-care na vi-1 yr lakini moyo ulikuja kufaganzi rafiki yangu alipomtongoza nesi wa HOSP YA CHUO akamkubalia na ndipo alipompa ukweli na kumsihi atulie kwani 1st ea wengi wameoza. kwa mojibu wake,
wasichana hao wametawanywa vyuo mbalimbali kama ifuatavyo;
UDOM wako 1000 (2009/2010)
UDSM wako 700 (" " )
MZUMBE 700 "
MKWAWA 500 "
DUCE 500 "
na vingine ambavyo idadi yao ni ndogo.

Vilevile alisema wanapewa chakula (au fedha kwa ajili ya chakula), dawa na huduma nyingine binafsi.
 
Katika nchi ambayo zaidi ya watu 6 katika kila 100 wana virusi vya UKIMWI, na watu waliopima ni wachache, muone kila mtu kama ana virusi tu.
 
kwa nn afanye hivo huyu mama salma? una maana ana lengo la kuwafyeka vidume wote hapa tz abaki Riz1 peke yake? watu wenye vvu kwenda kusoma siyo ishu hata kidogo ila hilo la mama jk kuwasambaza ndio bado kuna utata. pls give more facts...
Lakini ikumbukwe kuwa hazunguki mitaani kutafuta +gals, bali yeye ni sponsor wa qualified +girls tu. So hastahili lawama yoyote ile.
 
Wazee hata kama kawasambaza waathirika nadhani nia ni kuwapatia elimu sio kuwafayeka vidume. Ukimwi mbona tunapishana nao kila siku mtaani? Ni wewe mwenyewe na nia yako tuu , kama unauhitaji unajichukulia tuu karibu na bure popote pale ulipo.
 
Hivi mlitaka mwenye VVU hata kama amefaulu asipewe sponsorship ya kwenda chuo kikuu ili kuwawekea urahisi nyinyi wanafunzi wa kiume msijikinge?!

Halafu hii jeuri ya kuwaita wenye VVU 'wameoza' umetoka wapi?

Akikuambikiza huku akijijua ana magonjwa (hata magonjwa mengine) mfungulie mashitaka udai haki yako sio kulilia mwengine anyimwe haki yake.
 
Back
Top Bottom