Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

ndg yangu hao watoto wapo cha msingi tuwen makin kwa kuwa na mpenzi 1, pia jaribu kumpima mpenz wako kila mnapokutana baada ya kuwa mbali kwa muda la sivyo ni majanga. pia ni vema kuachana na ngono zembe.
 
Usijione umepata mtoto mzuri,mkali wa shepu,macho mazuri,kanawili kila kona,yaani ni mtamu kuliko maelezo,kwaujumla ni mzuri wa kuvutia macho na mwenye elimu kiasi,then ukahc umeopoa mrupo,acha,tena acha,narudia tena acha kabisa.Kumbuka ulipotoka,kumbuka wanafamilia wanakutegemea nyumbani,wewe ni nguvu kazi.Usikubali kupoteza nguvu hii kwa ujinga na kukosa maarifa.KUWA MAKINI MAISHA HAYANA NAFASI YA PILI,UKIPOTEA,UMEPOTEA TU.AIDS IS AROUND YOU.
 
Daah sasa na sisi tunaotafuta wake huku vyuoni vp?Tuache wanavyuo tuende wapi? Ukimwi uko kila kona sio vyuoni tu mkubwa so umakini unatakiwa pande zote.Kuwa na mpenzi mwaminifu ndio dawa.
 
duu umeongea kwahisia sana vp yamekukuta nini mkuu?nikweli jamaa siku hizi wanafikiri akiokoa kadent basi hakajatumika sana au bikra,si kweli vident vyachuo vingi japo sio wote vimeoza kabisa !chukua like yangu kwa thread yako.
 
Daah sasa na sisi tunaotafuta wake huku vyuoni vp?Tuache wanavyuo tuende wapi? Ukimwi uko kila kona sio vyuoni tu mkubwa so umakini unatakiwa pande zote.Kuwa na mpenzi mwaminifu ndio dawa.

watoto wa mama salma wamezagaa kila chuo mzee. Unaweza kutana na mtoto mzuri mwenye around 20 years or below Na kweli ni bikira lakini Ana ngoma, hii inatokea cz wengi ni yatima na walizaliwa Na midudu!
 
watoto wa mama salma wamezagaa kila chuo mzee. Unaweza kutana na mtoto mwenye around 20 years or below Na kweli ni bikira lakini Ana ngoma, hii inatokea cz wengi ni yatima na walizaliwa Na midudu!

yaani hawa watoto wameshajitoa ufahamu,hawaoni thamani ya ubinadamu,yaani wapo verycheep.Nimekuwa natabia yakuvibandua mara kwa mara,tena vingi havitaki matumizi ya kondomu,mimi huwa nalazimisha kutumia mpira,kama demu hataki namtimua na nina mpiga marufuku kukanyaga kwangu tena.Nilipopata habari kutoka kwa wajanja wa jiji,wakaniambia kwamba,watu wakuja huwa ndo wanazuzuliwa na hawa mademu na hatimaye ndo hvyo tena.Mwenyeji huwezi kumuona anababaika na vibinti vya chuo hata siku moja.TAFUTA MWANAMKE MWENYE MAPENZI YA DHATI,NA WOTE MUWE WAAMINIFU,HYO NDIYO DAWA.VYUONI HAMNA MAPENZI YA DHATI,ILA NI KUAMBUKIZANA MARADHI KWA KWENDA MBELE.
 
duu umeongea kwahisia sana vp yamekukuta nini mkuu?nikweli jamaa siku hizi wanafikiri akiokoa kadent basi hakajatumika sana au bikra,si kweli vident vyachuo vingi japo sio wote vimeoza kabisa !chukua like yangu kwa thread yako.

yeah thanx alot,nimetoka kupima muda si mrefu,nipo fresh,sasa sitaki tena type hii,naona takataka mbele ya macho yangu.Yaani kipindi nipo chuo miaka michache iliyopita tabia hii ilikuwepo ila kwa siri,lakini sasa hvi huwezi kushangaa ukikuta demu wa chuo akipigwa mtungo na wanafunzi wenzake hostel,wanainamishana hadi mabafuni.
 
Daah sasa na sisi tunaotafuta wake huku vyuoni vp?Tuache wanavyuo tuende wapi? Ukimwi uko kila kona sio vyuoni tu mkubwa so umakini unatakiwa pande zote.Kuwa na mpenzi mwaminifu ndio dawa.

Bila shaka utakubaliana nami wanachuo ni sehemu ya jamii ambayo ina copy kila kitu toka ugenin na ni jamii ya watu wanao jaribu kwenda na wakati & mabadiriko.wakati huo huo hali ya kiuchumi sio nzuri kwa wote.njia kuu na ya mkato kwa wadada ni kupitia mapenzi.angalia simu wanazo tumia vyuoni....ni za gharama na hawana vipata halali,angalia mavazi yao,na furniture.ktk vyumba vyao.wengine wanaisho maisha ya juu.ni kweli condom zipo lakin mazoe huleta ujinga.take care
 
Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...

EBANA SAWA :
Wakat nahangaikia degree yangu ya Kwanza pale UDSM mara kibao nilikua nasikia masela wanapo piga story za MADEM, wanasema
"Angalia Mwanangu, humu kuna watoto wa mama Salma... Utaanza kupanga foleni za ARV bila kupenda!! "

in short masela wakawa wanasema kuwa kuna mabinti wanaitwa" Watoto wa mama Salma" wamesambazwa vyuo vikuu mbali mbali TZ nzima, wana HIV na Lengo lao ni kusambaza kwa masela wafunga magoli bila gloves..

SASA MAZEE :
Hawa watoto wa mama Salma ni kina nani hasa????
Kwanini wanaitwa watoto wa mama.... Anawatoa WAPI!!

Yeye ndio anawa finance!!
Je ni kweli most of them (if not all) are HIV +!!

Je ni kweli Lengo lao kusambazwa vyuoni ni kuja kusambaza DRUM!!

Ni kweli wana exist na wapo hadi vyuo vingine au ni UDSM peke yake...

Ni kweli wana exist au hii ni story ya watu wana tunga tuu!!!!

MAZEE :
Story hii ndio ilikua chanzo cha mie kubaki kuwa MPIGA MASTER mzuri tuu toka 1st year mpaka 4th year..

Sababu masela walikua wanasema kumjua huyu demu ni wa mama Salma au sio ni vgumu...

Engineer nikasema mweeeh ngoja nijitulize zangu, dettol zipo!!!!

Sasa nisha toka chuo, nipo kitaa, lakin hii habari ckupataga ukweli wake..

Kuna anaejua chochote about this college story!!!

Karibun sana....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
acha tutuwasubiri wenye kujua waje watueleze, ila hata pale IFM nilisikia wapo wengi tu Enzi hizo nikisoma.
 
Ata kama ulikua member mzuri wa CHAPUTA ukiwa UDSM, ukamaliza salama na sasa ivi uko kitaa hakuna utofauti. . . HIV iko kila sehemu

Alafu hao watoto wa mama salma wapo kila chuo

Na lengo la wao kupelekwa vyuoni ni kupata elimu kama sisi,sio kwasababu ya kusambaza DRUM
 
Back
Top Bottom