Je ni kweli ntakufa 2014 April???

Je ni kweli ntakufa 2014 April???

Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...

Usiogope, kufa utakufa tu, iwe leo, kesho, keshokutwa, mwezi huu, mwezi ujao , mwakani. Unatembea na mauti yako.

Chukulia kuwa hiyo ndoto ni ya kweli na unatakiwa ufanye toba za nguvu.

Bye Bujibuji, will miss you.
 
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...

pray against spirit of death
 
Bujibuji muda una karibia nasubiri nisikie.
 
Last edited by a moderator:
Pole na hongera sana Mkuu.......maneno huumba........mara nyingi siku 40 kabla au ndani ya siku 40 mtu hajafa huwa anaonyesha ishara au kufanya mambo yasiyokuwa ya kawida au mambo ya kuashiria kuwa atakufa.......hivyo kwa imani hii Jiandae Mkuu..........
 
Bujibuji keme roho ya mauti
Lakini ukifa pia ni mpango wa Mungu, una wakati mzuri wa kutubu na kurejea kwa Mungu wako coz unajua utakufa lini
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji kama bado hujafa hebu angalia vizuri kwenye nakala ndoto yako kama kulikuwa na specific date ya kifo chako ili kama wana board tujiandae kikamilifu kwenye ushiriki wa msiba!
 
Last edited by a moderator:
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...

Je unauhakika malaika huyo alikuwa malaika wa mungu.Omba Mungu akupe uthibitisho wake mwenyewe.
 
ndoto ya pepo magirini towekaaaaaa, ushindwe kabisa. Mimi sitokufa, bali nitaishi

We jipe moyo tu mkuu,utabiri wa hali ya hewa unaonyesha kuna mwana jf atatutoka mwezi April angalia sana huenda ni wewe ati!
 
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...

Epro imefika Bujibuji ufe tu!
 
Bujibuji kama bado hujafa hebu angalia vizuri kwenye nakala ndoto yako kama kulikuwa na specific date ya kifo chako ili kama wana board tujiandae kikamilifu kwenye ushiriki wa msiba!

Hahahahahahaaaaa!
Nimeshaandaa sanda! Nikiskia kavuta tu, naipeleka!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom