Je ni kweli ntakufa 2014 April???

Je ni kweli ntakufa 2014 April???

Bujibuji, ahadi ya Mungu kwetu ni kuishi. Ikemee ndoto hiyo Kuwa kukiri ahadi ya Mungu Kuwa tutaishi miaka zaidi ya 120 na pia Kuwa hutakufa Bali tutaishi. Kumbuka Kuwa Sometimes the devil is a lier. Sio kila ndoto yatokakwa Bwana na pia sometimes shetani Hujifanya malaika ili akupate .

Soma Genesis 6 kuanzia mstari wa kwanza. Ila kiufupi Mungu alipunguza umri wa binadamu kuishi. Ukipita umri wa 120, basi jua una neema ya kipekee kutoka kwa Mungu muumba mbingu na nchi.
Back to the topic; Mkuu Bujibuji kama ulikuwa hauombi basi anza maombi na Mungu na kama ni Mungu mwenyewe atakudhirishia kwa mara nyingine tena ila kama ni shetani na wasaidizi wake hiyo ndoto haitakujia tena.
 
Usiogope, kufa utakufa tu, iwe leo, kesho, keshokutwa, mwezi huu, mwezi ujao , mwakani. Unatembea na mauti yako.

Chukulia kuwa hiyo ndoto ni ya kweli na unatakiwa ufanye toba za nguvu.

Bye Bujibuji, will miss you.

Usimchanganye mwenzio kihivyo
 
Pole kemea hiyo roho si kwel. BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.
Sema sitakuf bali ntaishi
 
User Name:-Bujibuji

User Title:-JF Senior Expert Member

Last Activity:-4th April 2014-19:02



Bado yupo yupo....

.
 
Hahahahahahaaaaa!
Nimeshaandaa sanda! Nikiskia kavuta tu, naipeleka!

Kwa kuwa sasa niko occupied na mambo ya Bunge la Katiba mimi mchngo wangu ni kikundi cha kulia tu msibani just in case ili kuwapa muda member wengine kubadilishana mawazo wakati shughuli za kulia zikiendelea!
 
hiyo ndoto ilikua uote fools day huenda imechelewa..ina maana hujashtuka..?
 
Kwani ikitokea kweli si lazima tutamsikia SITTA akilijulisha bunge maalum la katiba kuwa mjumbe mwenzao katangulia mbele za haki! Au hamjui Bujibuji ni nani kweli!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom