Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,121
- 165,987
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...