Je ni kweli ntakufa 2014 April???

Je ni kweli ntakufa 2014 April???

Mwambie Mungu ndoto hiyo na umuruhusu afanye anavyotaka yeye. kama yeye ndo kajitokeza kwa njia hiyo basi afanye kama atakavyo lakini kama ni shetani ashindwe kwa jina la aliye juu. Yote hayo yafanye ukijikabidhi mbele Za Mungu kwa kuwa tayari kwa lolote
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...[/QUOTE
 
Usiwe na wasiwasi mtoto wa mungu hata hiyo 2014 unaweza usiione kabisa,mimi nishamkabidhi mikoba mdogo wangu baada ya kuona ana busara na hekima lakini sijamkabidhi mke wangu! Tubu dhambi zako pia rejea ule wimbo "marehem mtarajiwa" wa Ndala Kasheba.
 
Duh! kifo kinatisha hasa kama maisha yako hujayaweka mikononi mwa Mungu(kuokoka) kifo kipo,hakitishi kwa mtu anayemcha Mungu ktk kweli,(asiwe magumashi) Biblia inasema na hata baada ya kifo mwanadamu huendelea kuishi(roho huishi milele) mwenye dhambi husubiri hukumu,bali mwenye haki roho yake huenda peponi,usiipuuze ndoto hiyo,pengine ni ujumbe kutoka kwa MUNGU akikutaka utubu dhambi zako mapema,Mungu anakupenda sana,he warns you to give your life to him,and if you do so,your days on earth might be added for many years to come,I assurely provide you a great truth that,our God is merciful,he forgives all sorts of sins,no matter how red they are,once forgiven,they turned into being as white as now,mrudie MUNGU,atakuongezea siku za kuishi,hutakufa april 2014,blessed be the name of my LORD amen!
 
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...

mkuu anza kuandika urithi, mie ntarithi user ID yako ya JF
 
Ni kweli
 
Are u serious kaka?
Ikabidhi ndoto ktk ulimwengu wa Roho halafu sali pia fanye toba hiyo ni Roho ya mauti inakunyemelea. . Unajua Mungu yupo na Shetani yupo.
Malaika wapo wa mungu na wa shetani. Kazi ni kutofautisha na kuelewa ni malaika wa mungu au wa shetan aliyejujia. Pili Mungu hapendi tuumie ni Shetani anapenda tuteseke na kufa ktk dhambi ili awe na ushindi.
Pray! Its only Prayers that can Save u! Mungu anamakusudi na wewe kama ni malaika wake wamekufunulia hiyo ndoto
 
kemea aisee hyo ni roho ya mauti inakufuatilia...ila kesheni mkiomba maana hamjui muda wala....
 
mkuu anza kuandika urithi, mie ntarithi user ID yako ya JF
Kweli mda siyo rafiki anzeni kuazima matrubai especially mtakao pata mirathi ya uncle Bujibuji halafu ebu tupe nasaha na maneno ya mwisho mkuu sababu hatujui kama pasaka tutakuwa wote.
 
Last edited by a moderator:
Kabla ya 2014 April utaota ndoto kwamba umefikisha miaka 100.
 
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...

Ina maana zimebaki siku 4 Bujibuji?
 
Last edited by a moderator:
parapanda italia parapanda×2 huu wimbo utakuhusu very sooooooooooon, rest in peace marehemu mtarajiwa
 
Hakuna ajuaye siku wala saa ya kufa kwake, pray its not true, endelea na maisha yako
 
Nimeota ndoto, malaika ananiambia kuwa nitakufa April 2014. Ndoto hii maana yake nini???
Usiku uliopita sikulala kabisa, nilimwa sana na tumbo, sijawahi kuumwa kiasi tangu nizaliwe, wala mi sio mtu wa kuumwa umwa, ukiona naumwa jua ni hangover..
Lakini nina zaidi ya wiki sasa sijanywa...
Nilizama kwenye vitabu maana yake nimegundua kuwa TANZANIA imeshakufa mwaka huu
kwani ipo kwenye mioyo ya viongozi na si wananchi. Hivyo ndoto yako ni ya kweli lakini
imekaa kama fumbo zaidi.
 
Back
Top Bottom