Je ni kweli ntakufa 2014 April???

Je ni kweli ntakufa 2014 April???

Bujibuji labda ufe kimwili. Maana sipati picha malaika kushangilia kifo cha mtu mwenye dhambi. Na siamini kama wewe mtakatifu. Nadhani kushangilia kwa hao malaika kulikuwa kwa sababu ya kuona mwili ukifa...
 
Last edited by a moderator:
Pole ndugu. Ndoto ina utaalamu wake wa kutafsiri. Mara nyingi ukiita kitu basi geuza kinyume chake cha hyo ndoto
 
Back
Top Bottom