Kama huwa unapenda ama unaskia au unatamani kuagiza mizigo china au nje ya nchi basi huu uzi ndio mahali yako.
Kwanza kabla sijaendelea, nikupe pole wewe uliyepatwa na hili janga la kutapeliwa huku mtandaoni juu ya kutaka kuagiziwa mizigo nje ya nchi au china, huenda ukawa bado una maumivu juu ya changamoto uliyoipata.
Sasa leo inaweza kuwa ndio mwanzo wa kufuta kilio na manunguniko yaliyojaa moyoni mwako na pengine ukafungua njia ya wewe kuanza kufanya vitu vyako wewe binafsi.
Kuna baadhi ya nyuzi nliziona huku jamii forum watu wanalalamika kuwa wametapeliwa kisa watu wa kuagiza mizigo china sana sana, wengine hadi wemeweka number za watu waliowatapeli inauma roho sema ukweli mchungu ni kwamba tayari tapeli ameshakuramba.
Na kitu kingine mtandaoni ukiwa mzembe mzembe basi kurambwa ni rahisi sana, saa zingine pia kuna hata wajanja wanarambwa vile vile . Ni kwa vile tu huwa wanavunga hawaesemi.
Kwaiyo nachotaka kusema ni hivi, kwa huku online iwe jamii forums, whatsapp, instagram au facebook usiwahi kumuamini mtu hata kama ni rafiki yako au mtu mnaheshimiana likija kwenye swala la hela tena hela nyingi.
Watu tumeumbiwa tamaa na ubinafsi sana, kwaiyo nianze na mada iliyofanya niandike huu uzi.
Kwanza kabisa nikupongeze kwa kusoma mpaka kufika hapa na imani kama ukiendelea basi kuna kitu utajifunza kupitia huu uzi.
Kwanza kabisa kila mtu anafahamu kuagiza bidhaa nchi za nje kuna unafuu fulani ukilinganisha na kununua hapa hapa nchini, ila kwa upande mwingine unaweza ukaagiza nje ya nchi ila ukapata kuna mtu yuko Kariakoo au Mwanza ana bidhaa kama yako na bei ikawa inafanana na nchi za nje.
Kwaiyo kuagiza bidhaa nje ya nchi sio kukupa guarantee ya wewe kupunguza gharama ila ni kukusaidia wewe kuwajua potential suppliers ambao mnaweza mkatengeneza bond na hata urafiki mkawa mnafanya biashara.