Je Mwanaume wa ukweli yukoje?

Je Mwanaume wa ukweli yukoje?

mwanaume wa ukweli ni kama mimi. kama unataka kujua mimi nikoje muulize xgirlfriend. mia
 
Last edited by a moderator:
cacico BADILI TABIA charminglady na Kongosho na wengineo naombeni majibu.

BAGAH, kila mwanaume ana uzuri wake banaaa..
Anyway mwanaume wa ukweli ni yule anayenipenda kwa dhati, anayeniheshimu mimi na familia yangu, anayenijali na kunithamini, tunayesikilizana na mwenye uaminifu.....
Bila kusahau mwanaume msafi na mtafutaji....
Anayejua kuniappreciate....
Ambaye hasiti kunishika mkono na kuniongoza, mkweli na anayeniambia ukweli hata kama utaniuma........

Na anayejua kufunga zipu ya suruali yake....
 
naona umeanza vizuri...
hapo mwisho umesemaje tena bi dada?
 
Last edited by a moderator:
Wadau
Mtajadili sana but ukweli unabaki kua
Mwanaume ni Mavumba .
 
Dume ni dume tu haijalishi yukoje hata kama akiwa kama bushoke, the man still a man. Period.
 
Arushaone angalia usichanganye mambo hapa...
ukizaliwa una mkia kwa mbele tayari ni mwanaume...
ila haikufanyi uwe mwanaume wa UKWELI...

sasa hapo ndio kina Preta na wengine wanatiririka.
 
Last edited by a moderator:
kama mimi kama hamuniamini muulizeni CUTE
 
Last edited by a moderator:
BADILI TABIA umeanza vizuri mwishoni ukaharibu kabisa maana hata hiyo inamfanya mwanaume kuwa wa ukweli
BAGAH umesema kweli aise mavumba yanaweza kukufanya kuwa mwanaume ila sio mwanaume wa ukwli aise
 
Last edited by a moderator:
naona umeanza vizuri...
hapo mwisho umesemaje tena bi dada?

BADILI TABIA umeanza vizuri mwishoni ukaharibu kabisa maana hata hiyo inamfanya mwanaume kuwa wa ukweli
BAGAH umesema kweli aise mavumba yanaweza kukufanya kuwa mwanaume ila sio mwanaume wa ukwli aise

hahahahahah wanaume nyie.....
kufunga zipu inahusu aisee

ivi mavumba yanaweza kusimamisha uume eeh?
just curious

loh, una balaa wewe, unataka kusema mwanaume "dudu" pesa makaratasi?
 
BAGAH mimi mwanaume awe mweusiiiiiiiii, black guys! halafu awe mascular, halafu na upara kwa kichwa, likifua la haja, awe tall, juma mgunda naye awe mashallah! uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii naweza fanya chochote juu yake,! kudos to all guys wenye hizo criterias, lol!
 
Last edited by a moderator:
BAGAH, kila mwanaume ana uzuri wake banaaa..
Anyway mwanaume wa ukweli ni yule anayenipenda kwa dhati, anayeniheshimu mimi na familia yangu, anayenijali na kunithamini, tunayesikilizana na mwenye uaminifu.....
Bila kusahau mwanaume msafi na mtafutaji....
Anayejua kuniappreciate....
Ambaye hasiti kunishika mkono na kuniongoza, mkweli na anayeniambia ukweli hata kama utaniuma........

Na anayejua kufunga zipu ya suruali yake....
sasa kwa mume wetu, mbona tumeingia chaka?
 
nikimuonaga djimon hounsou, huwa nawehuka! kimora is realy enjoying wallah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom