Je Mwanaume wa ukweli yukoje?

Je Mwanaume wa ukweli yukoje?

Hahahahaaaa Mr Rocky nini tena aisee mbona sina hatia?
Au kwa kummendea Yummy ?

Una hatia ya kutoonekana kwa muda wa mwezi mzima katika vijiwe vya wanywa castle lite kisa umefulia
Una hatia ya kutowasiliana na members wenzio baada ya kunyangg'anywa simu na baba mkwe
Una kesi ya kufulia na hujatoa taarifa
Una kesi ya kupigwa ngumi kwa mromboo wakati ukimmendea cacico na BADILI TABIA
Una kesi ya kumdanganya Amyner kuwa umeenda kwenye semina kumbe uko guest house na The secretary eti mnawahubiria wakaao guest house waokoke
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom