cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,800
njoo mtaa wa pili nikujuze, lol! mi na wewe tena?Hahahaha......wifey hebu nifafanulie huo msamiati hapo....khaa!
njoo mtaa wa pili nikujuze, lol! mi na wewe tena?Hahahaha......wifey hebu nifafanulie huo msamiati hapo....khaa!
na umehongwa sana hubby, khaaaaaaaaaa wenzio wanazitafutia hyatt, we unakuja kubunjua tu, nishaTHINK hubby nishaSTUKA! LOLSiku hizi mijanaume ya ukwee inahongwa na mijimama ya ukwee. Ngoma droo!!
nimekumiss sweetheart! Upo??
choka mbaya mwenzio,ndo navuka mto wami.Namshangaa BT anashindwa kuongelea mambo ya maana anasisitizia mambo inkonsikwensho,eti mwanaume akutimizie,akutimizie nini kama sio kukupeleleka kibo hut.Yaani weweeeeeeee...............hujambo Bishanga?
maumivu ya kichwa huanza poooole pole,ndo mwanzo wa kuachana ujue.na umehongwa sana hubby, khaaaaaaaaaa wenzio wanazitafutia hyatt, we unakuja kubunjua tu, nishaTHINK hubby nishaSTUKA! LOL
choka mbaya mwenzio,ndo navuka mto wami.Namshangaa BT anashindwa kuongelea mambo ya maana anasisitizia mambo inkonsikwensho,eti mwanaume akutimizie,akutimizie nini kama sio kukupeleleka kibo hut.
i am speechlessLol..........pole mwaego, utamkuta The secretary anakusubiri akupe massage ya ukweee uchovu wote uishe.
i am speechlessLol..........pole mwaego, utamkuta The secretary anakusubiri akupe massage ya ukweee uchovu wote uishe.
i am speechless
mwenye kifua kipana, alikwenda hewan na anayenijali internaly and externally. . .
mbona hujaongelea sifa ya kutwanga kinu,au sio muhimu?
haha...wenzio wamekariri kuwa kitambi ni dalili ya hela...
wamesahau wengine ni magonjwa na pombe ya banana...
choka mbaya mwenzio,ndo navuka mto wami.Namshangaa BT anashindwa kuongelea mambo ya maana anasisitizia mambo inkonsikwensho,eti mwanaume akutimizie,akutimizie nini kama sio kukupeleleka kibo hut.
si unaona tunamfaidi huyo juma mgunda?? haya njoo na wewe uione ngondo, ebo! nitakuja fyatanga weekend hii, nitakutafuta Madame B