Je Mwanaume wa ukweli yukoje?

Je Mwanaume wa ukweli yukoje?

Last edited by a moderator:
Kwa mamlaka niliyopewa na wake zangu Yummy, cacico na BADILI TABIA chini ya uongozi wa Kongosho. Mwnaume wa ukweli ni Yule:
1. Mascular... akiwa na athletic figure inakuwa added advantage
2. Anayejua kumlaza mwanamke kitandani vizuri sana. akalala vizuri na akaamka akitabasamu kwa kuridhika kila idara
3. Anayejua wajibu wake kwa mwanamke wake na watoto (kama wapo)
4. Ambaye kamwe hawezi kumcheat mke wake
Najiongelea mimi mwenyewe hapa.....

Ndo mana nikakukubali mume wangu, hakuna kama wewe......mi luv u mingi
 
kazi kwako Madame B, Kwa raha zako, nakwambia baada ya muda mwenyewe utaturudishia, wenzangu najua hawana hiyana, so kazi kwako.

Akha,
mbona kama staili ya kunisusia?
Nisije tenguliwa uzazi.
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwa blue naona utakua umenichoka......yaani unataka na mimi wanimwangosi?!
Wanaomwangosiwa ni waandishi wa chaneli teni. Hapo nlipokuweka ndio mwake, ukikaa kidogo unaajiriwa kurugenzi ya habari kwa mkwer.ee. Ole wake utamani dudu yake akuambukize mimba. I will it you until until my stomach get full of your meat.... IGWEEEE!!
 
Hahahahahahaha! Hehehehehehe! Hihihihihihhi....

Ngoja nkachekee nje kule mie.

Hapa mtazunguka koooote,
Lakini mwanaume wa Ukweenhe ni yule Anaejua Kuhonga Dolare.
Vibamia,Vifua,Upara,u-Handsome hzo mbwembwe na swaga tu.
 
Hapa mtazunguka koooote,
Lakini mwanaume wa Ukweenhe ni yule Anaejua Kuhonga Dolare.
Vibamia,Vifua,Upara,u-Handsome hzo mbwembwe na swapa tu.
Siku hizi mijanaume ya ukwee inahongwa na mijimama ya ukwee. Ngoma droo!!
 
Hapa mtazunguka koooote,
Lakini mwanaume wa Ukweenhe ni yule Anaejua Kuhonga Dolare.
Vibamia,Vifua,Upara,u-Handsome hzo mbwembwe na swaga tu.
Madame B heshma yako mpendwa
 
Last edited by a moderator:
BAGAH, kila mwanaume ana uzuri wake banaaa..
Anyway mwanaume wa ukweli ni yule anayenipenda kwa dhati, anayeniheshimu mimi na familia yangu, anayenijali na kunithamini, tunayesikilizana na mwenye uaminifu.....
Bila kusahau mwanaume msafi na mtafutaji....
Anayejua kuniappreciate....
Ambaye hasiti kunishika mkono na kuniongoza, mkweli na anayeniambia ukweli hata kama utaniuma........

Na anayejua kufunga zipu ya suruali yake....
mbona hujaongelea sifa ya kutwanga kinu,au sio muhimu?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom