Je Mwanaume wa ukweli yukoje?

Je Mwanaume wa ukweli yukoje?

BAGAH mimi mwanaume awe mweusiiiiiiiii, black guys! halafu awe mascular, halafu na upara kwa kichwa, likifua la haja, awe tall, juma mgunda naye awe mashallah! uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii naweza fanya chochote juu yake,! kudos to all guys wenye hizo criterias, lol!

Hapa najua naongelewa mimi. I love you too my wife material. Mi nampenda mwanamke aliye kama wewe. PERIOD. Ndo maana nikakuoa.
BAGAH, kila mwanaume ana uzuri wake banaaa..
Anyway mwanaume wa ukweli ni yule anayenipenda kwa dhati, anayeniheshimu mimi na familia yangu, anayenijali na kunithamini, tunayesikilizana na mwenye uaminifu.....
Bila kusahau mwanaume msafi na mtafutaji....
Anayejua kuniappreciate....
Ambaye hasiti kunishika mkono na kuniongoza, mkweli na anayeniambia ukweli hata kama utaniuma........

Na anayejua kufunga zipu ya suruali yake....
Hapa najua nazungumziwa mimi. Wake zangu mnanipenda mpaka najionea wivu. Najuta kwanini sikuwaoa tangu tukiwa nasare skul

sasa kwa mume wetu, mbona tumeingia chaka?
Ayaaaaaaaaaaaaaa!!!!

tena chaka zito, limejaa miiba na nyoka mkali loh.....
Ayaaaaaaaaaa! Ayaaaaaaaaaaaa! Ayaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Kwa mamlaka niliyopewa na wake zangu Yummy, cacico na BADILI TABIA chini ya uongozi wa Kongosho. Mwnaume wa ukweli ni Yule:
1. Mascular... akiwa na athletic figure inakuwa added advantage
2. Anayejua kumlaza mwanamke kitandani vizuri sana. akalala vizuri na akaamka akitabasamu kwa kuridhika kila idara
3. Anayejua wajibu wake kwa mwanamke wake na watoto (kama wapo)
4. Ambaye hata akicheat mke/wake zake hawatajua (Msisahau infidelity is inevitable)

Afu eti mijitu mingine inafikiri najiongelea mimi mwenyewe hapa..... Khaa!
 
mwanaume wa ukwe'e according to my koliig hapa kando is the one who makes husbands jelous.....

jamani mbona wanaume wanene hawapendwi ilhali wanawake wanene wanazimikiwa balaa....?!?!?!
mie mwanaume wa ukwe'e ni awe mnene kitambi freeeesh dah....wacha tuuuu!!!
 
Hahaaaaa! Mkuu nilitumia sikulamba, zinanukia bana we namna gani?
Hewalaaaa hapo umeeleweka vizuri kabisa mwanzoni ulisema zina ladha.ila hata hivyo sio vibaya hata kama uliiramba kwani ubaya uko wapi?si ulikuwa unaitumia mwenyewe?so yote,A na B ni sawa.upo hapo Mungi???????????????
 
Last edited by a moderator:
mwanaume wa ukwe'e according to my koliig hapa kando is the one who makes husbands jelous.....

jamani mbona wanaume wanene hawapendwi ilhali wanawake wanene wanazimikiwa balaa....?!?!?!
mie mwanaume wa ukwe'e ni awe mnene kitambi freeeesh dah....wacha tuuuu!!!
Uzuri wa mwanaume kama huyo anakuwa wako peke yako. Hawamshobokei. BIG UP Paloma !!!
 
Last edited by a moderator:
Hewalaaaa hapo umeeleweka vizuri kabisa mwanzoni ulisema zina ladha.ila hata hivyo sio vibaya hata kama uliiramba kwani ubaya uko wapi?si ulikuwa unaitumia mwenyewe?so yote,A na B ni sawa.upo hapo Mungi???????????????

Hahaaaaaa Mkuu unanilazimisha niseme nimelamba!!!!!!!????
 
Hahaaaaaa Mkuu unanilazimisha niseme nimelamba!!!!!!!????

sikulazimishi.kwani si,mwenyewe tena kwa mdomo, wako ulisema ina ladha nzuri!!!!!!!!khaaaaaaa!naomba usinizingizie mtoto wa mwanamke mwenzio.
 
sikulazimishi.kwani si,mwenyewe tena kwa mdomo, wako ulisema ina ladha nzuri!!!!!!!!khaaaaaaa!naomba usinizingizie mtoto wa mwanamke mwenzio.

Kiswahili imeniuza mkuu
 
Kwa mamlaka niliyopewa na wake zangu Yummy, cacico na BADILI TABIA chini ya uongozi wa Kongosho. Mwnaume wa ukweli ni Yule:
1. Mascular... akiwa na athletic figure inakuwa added advantage
2. Anayejua kumlaza mwanamke kitandani vizuri sana. akalala vizuri na akaamka akitabasamu kwa kuridhika kila idara
3. Anayejua wajibu wake kwa mwanamke wake na watoto (kama wapo)
4. Ambaye hata akicheat mke/wake zake hawatajua (Msisahau infidelity is inevitable)

Afu eti mijitu mingine inafikiri najiongelea mimi mwenyewe hapa..... Khaa!
afu wewe!!! mbona nakupenda hivyo??? uwiiiiiii!
 
Je,mnaweza mkaniachia nae usiku mmoja ili nihakikishe kile msemacho?
kazi kwako Madame B, Kwa raha zako, nakwambia baada ya muda mwenyewe utaturudishia, wenzangu najua hawana hiyana, so kazi kwako.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom