Je Mwanaume wa ukweli yukoje?

duh, yan hao wembamba hata wakijificha nyuma ya nguzo ya umeme hawaonekani, ukimhug unazungusha mikono mara mbili lol!!!!!

So you mean kwa hii analysis wanakuwa wamejitambua kuwa they are not part of wanaume wa ukweli siyo?
 
Hahahaaaa hadi anatoboa ukuta na kuona yanayijiri ndani ya mjengo eeeeh

kwi kwi kwi...
naonekana mvuta bangi hapa counter...
kitu kinaona hata kama hujala siku tatu inatambua...pyaaaaa...
 
Kongosho tena mwambie dume za toleo jipya zile ambazo ukizifungua zinanukia balaa km pasion

Erickb52 nasikia na bei zimeshuka...
maana utafiti umeonesha wengine wameshindwa kutumia condom kwa sababu hawezi kununua...

mimi hata watoe bure,siwezi kula peremende na ganda lake...
 
Last edited by a moderator:
Yaani hizi toleo jipya unaweza ukajisahau ukaweka mdomoni!
Hahahaaaaaa kumbe Mungi ndio maana watoto wakizipata huwa wanageuza pulizo?
Lol zinavutia sana kuwekwa mdomoni
Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 nasikia na bei zimeshuka...
maana utafiti umeonesha wengine wameshindwa kutumia condom kwa sababu hawezi kununua...

mimi hata watoe bure,siwezi kula peremende na ganda lake...
Ni kweli BAGAH gonga kavu usaidie kupunguza pumba JF maana umezidi kuchafua hali ya hewa humu
Kwanza hata sensa nashangaa umehesabiwa na hapakuwa na haja
 
Last edited by a moderator:
Halafu kweli Mungi dah walifanya vile ili kwa wale akina Siogagi wakija na kaharufu kao kapotezewe mbali

hahaaa kumbe! ila haiondoi mazee! yupo mmoja aliwahi kuniharibia starehe karibu mwezi mzima harufu ya kwake, nakuambia nilikoma!
 
hahaaa kumbe! ila haiondoi mazee! yupo mmoja aliwahi kuniharibia starehe karibu mwezi mzima harufu ya kwake, nakuambia nilikoma!
Heheheheee Mungi utakuwa uliopoa beki tatu(HouseGirl) aisee lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom