Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 56
Hii frustration ndiyo itapelekea mabadiliko makubwa au watu kukata tamaa na kuwaachia kina Lowasa waendelee na wizi na ufisadi. Haya yote mimi nayaweka kwa mkulu wa nchi - Kikwete ndiye anawajibika hapa kwa vile bado ana nguvu na uwezo wa kufanya haki akitaka au akiona inamshinda, amwachie mwingine wa kuendeleza nchi.