CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,100
- 41,382
Chacha alikuwa na ugomvi na dola, na ni dola ndiyo ilimuua.Kwani Mbowe alikuwa na ugomvi na Chacha?

Mbowe ni dhaifu sana, kuanzia kushindwa uenyekiti ilikuwa udhafu mkubwa sana. Anachotakiwa kufanya siyo kuua Chdema ni kurudisha chama mikononi kwake. Mbona ni simple tu, km vp tuwasiliane kisiri tumpe ushauri. Lipumba ni mwanaume ajifunze kwake. Mbowe ni km alipinduliwa. Lissu yuko mahabusu ningekuwa mm kabla hajatoka nimesharudisha chama changu. Mwanaume unakuwaje dhaifu hivyo?Mwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja.
Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza upinzani nchini.
Leo tunaambiwa kuwa yeye ndiye kiongozi anayeogoza genge la kukihujumu chama chake cha CHADEMA, Chama alichokijenga kwa jasho kubwa. Hii hali siyo kwamba inasikitisha na kuhuzunisha lakini kwa kiwango kikubwa inamharibia sifa na Legacy yake.
Pengine nitumie fursa hii kumueleza Mbowe mambo yafuatayo:
1. Je anachagua kuua mtoto wake mwenyewe (CHADEMA) ili kufuata masharti ya mganga (CCM)?
Kama nilivyoeleza, CHADEMA ina jasho jingi tu la Mbowe, itakuwa ni ajabu Mbowe kula njama za kuitoa kafara CHADEMA kwa ajili ya kupata utajiri wa kafara. Kwa kweli Jamii ya Watanzania itahuzunishwa, itachukizwa na kwa kweli itamuondolea heshima kubwa aliyojijengea kwa maka zaidi ya 30 kwenye medani ya siasa za mabadiliko nchini. Move ya kuiua CHADEMA itahesabika kama tamaa na ubinafsi uliopitiliza na kwa kweli Mbowe hatopata heshima kwa kula njama za kuia CHADEMA.
2. Iwapo Mbowe atashiriki kuiua CHADEMA ni kweli atapata fedha lakini atakuwa amewadhulumu watanzania kwa kiwango kikubwa sana.
Nimjulishe tu Mbowe kuwa kujaribu kuidhoofisha CHADEMA kweli kunaweza kumpa yeye pesa , lakini ajue tu kuwa pesa hizo kimsingi zitatokana na pesa zilizokwapuliwa na mafisadi kutoka kwa Watanzania, ama kupitia kodi zao, au kutokana na hongo mafisadi waliyopata kutokana na wao kuuza rasilimali za nchi yetu kwa mikataba ya kilaghai (kama kuuza bandari zetu kwa mikataba mibovu). Hiyo itakuwa ni dhambi kubwa na kwa kweli Mbowe atajibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa ulaghai na kushiriki kuwahujumu Watanzania kwa maslahi binafsi.
3. Mbowe akumbuke tu watu waliomwaga damu zao kwa ajili ya Mabadiliko na CHADEMA. Je yuko tayari kuwasaliti wote hawa kwa ajili ya vipande 30 vya fedha za mafisadi?
Kuna watu wamemwaga damu zaokwa ajili ya mabadiliko nchini hususana kwa ajili ya ustawi wa CHADEMA. Orodha ni ndefu, lakini hebu twambie, Mbowe atamueleza nini Alphonse Mawazo, Elias Michael, Ben Saanane, Deusdedith Soka, Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na wengine wengi tu waliotekwa na kupotezwa kwa kudai haki na mabadiliko ya kweli nchini wakiwa ni wanachamama wa CHADEMA, iwapo Mbowe atakuwa msitari wa mbele kukisaliti chama chake yeye mwenyewe?.
4. Mbowe ajue tu kuwa Wachumia tumbo waliokuwa wanakula kwa mgongo wake bado wanataka kumtumia ili waendelee kula kupitia yeye, astuke!.
Wachumia tumbo wote aliowapa vyeo ndani ya sekretariat ya CHADEMA, waliowekwa pembeni na uongozi mpya, njaa zao zimeanza kuchachamaa zaidi. Walizoea pesa laini laini za kujichotea ndani ya chama, na kwa kuwa Mbowe hakuwa mkali juu yao, au aliwakingia kifua basi leo dili zimekata na hivyo wanatafuuta namna nyingine ya kupata hela rahisi. Hivyo wachumia tumbo hawa bado wanataka kumtumia Mbowe, wanajaribu kutumia star power yake ili iwe kama ngazi ya kuendelea kula pesa za CCM. Mbowe inabidi astuke, asitumike kama nyavu ya kuwavulia hawa wachumia tumbo samaki za kushibisha matumbo yao.
5. Mbowe afahamu tu kuwa, dignity is better than silver and gold.
Mwalimu Nyerere laiti angetaka kuendelea kutawala hadi kufia madarakani angeweza, kama angetaka ubilionea angeweza, lakini alichagua dignity, maana dignity ni bora kuliko vipande vya fedha. Je Mbowe anadhani hana role ya kuplay ktk nchi hii mpaka awe katika nafasi za uongozi au cheo?, la hasha, huyuni mtu mwenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa mbele ya umma, sasa kwa nini ashawishiwe au kushawishika kuiharibu dignity yake kwa sababu ya maslahi binafsi?
6. Kabla Mbowe hajawaza kuisaliti CHADEMA akumbuke tu ni nani alimuweka jela, je ni wanachadema au CCM?
Hii kitu ndugu Mbowe lazima ajitafakari sana. Je ni nani alimpa heshima kwa miaka zaidi ya 30, Je ni wanaCCM au wanaCHADEMA?. Je ni nani alimpigania kila kukicha kwenye kupaza sauti ili atoke jela, je ni CCM auni CHADEMA?. Sasa inakuwaje leo anataka kuiumiza CHADEMA na kuipa unafuu wa kisiasa CCM?.
MWISHO:
Mimi nataka nimkumbushe tu ndugu Mbowe kuwa , Mwenyezi Mungu kupitia vitabu vitakatifu ameonya vikali kuhusu usaliti, hongo, hila na hali ya kurudi nyuma katika mapambano ya kuodoa udhalimu. Amana ambayo Watanzania wameiweka kwa Mbowe kwa miaka 30 ni kubwa sana, Mwenyezi Mungu amelishuhudia hili. Kushiriki au kula njama kuidhoofisha CHADEMA ni kuvunja amana na Mwenyezi Mungu ndiye Mlipaji,
Ndugu Mbowe kama una nia au lengo la kuweka maslahi yako binafsi juu ya taasisi ya CHADEMA kwa kufanya kitendo chochote kitakachokwamisha chama hicho basi Mwenyezi Mungu atakuhukumu kwa hukumu stahiki. Maana wanaCHADEMA walikupa imani na amana, tafadhali lifahamu hilo!
Lema Ana wivu wa maendeleo kishenzi yule ni mchaga jua hilo baada mbowe kujenga Bonge la nyumba kule moshi na Mkewe akatoswa kwenye nafasi za Ubunge wa covid ....Ana Nyongo na mbowe balaa tupuLema hakumsaliti Mbowe ila alimwambia mapema kuwa hatamuunga mkono!
Wapi ameonyesha hiyo chuki? Ni wale waliofanya mabadiliko ndio kila kukicha wanamuandama kwa maneno na shutma za ovyo. Mtu yeyote akidiriki kusema kuwa ana thamini mchango wa Mbowe anarushiwa matusi. Wengi wa wale ambao walikuwa upande wake wamelalamika kuwa wanatengwa na kubezwa. Chuki inaonyeshwa na upande wa walioshinda na sio Mbowe na watu wake.
Amandla...
Mwacheni baba ndubwi apumzikeMwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja.
Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza upinzani nchini.
Leo tunaambiwa kuwa yeye ndiye kiongozi anayeogoza genge la kukihujumu chama chake cha CHADEMA, Chama alichokijenga kwa jasho kubwa. Hii hali siyo kwamba inasikitisha na kuhuzunisha lakini kwa kiwango kikubwa inamharibia sifa na Legacy yake.
Pengine nitumie fursa hii kumueleza Mbowe mambo yafuatayo:
1. Je anachagua kuua mtoto wake mwenyewe (CHADEMA) ili kufuata masharti ya mganga (CCM)?
Kama nilivyoeleza, CHADEMA ina jasho jingi tu la Mbowe, itakuwa ni ajabu Mbowe kula njama za kuitoa kafara CHADEMA kwa ajili ya kupata utajiri wa kafara. Kwa kweli Jamii ya Watanzania itahuzunishwa, itachukizwa na kwa kweli itamuondolea heshima kubwa aliyojijengea kwa maka zaidi ya 30 kwenye medani ya siasa za mabadiliko nchini. Move ya kuiua CHADEMA itahesabika kama tamaa na ubinafsi uliopitiliza na kwa kweli Mbowe hatopata heshima kwa kula njama za kuia CHADEMA.
2. Iwapo Mbowe atashiriki kuiua CHADEMA ni kweli atapata fedha lakini atakuwa amewadhulumu watanzania kwa kiwango kikubwa sana.
Nimjulishe tu Mbowe kuwa kujaribu kuidhoofisha CHADEMA kweli kunaweza kumpa yeye pesa , lakini ajue tu kuwa pesa hizo kimsingi zitatokana na pesa zilizokwapuliwa na mafisadi kutoka kwa Watanzania, ama kupitia kodi zao, au kutokana na hongo mafisadi waliyopata kutokana na wao kuuza rasilimali za nchi yetu kwa mikataba ya kilaghai (kama kuuza bandari zetu kwa mikataba mibovu). Hiyo itakuwa ni dhambi kubwa na kwa kweli Mbowe atajibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa ulaghai na kushiriki kuwahujumu Watanzania kwa maslahi binafsi.
3. Mbowe akumbuke tu watu waliomwaga damu zao kwa ajili ya Mabadiliko na CHADEMA. Je yuko tayari kuwasaliti wote hawa kwa ajili ya vipande 30 vya fedha za mafisadi?
Kuna watu wamemwaga damu zaokwa ajili ya mabadiliko nchini hususana kwa ajili ya ustawi wa CHADEMA. Orodha ni ndefu, lakini hebu twambie, Mbowe atamueleza nini Alphonse Mawazo, Elias Michael, Ben Saanane, Deusdedith Soka, Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na wengine wengi tu waliotekwa na kupotezwa kwa kudai haki na mabadiliko ya kweli nchini wakiwa ni wanachamama wa CHADEMA, iwapo Mbowe atakuwa msitari wa mbele kukisaliti chama chake yeye mwenyewe?.
4. Mbowe ajue tu kuwa Wachumia tumbo waliokuwa wanakula kwa mgongo wake bado wanataka kumtumia ili waendelee kula kupitia yeye, astuke!.
Wachumia tumbo wote aliowapa vyeo ndani ya sekretariat ya CHADEMA, waliowekwa pembeni na uongozi mpya, njaa zao zimeanza kuchachamaa zaidi. Walizoea pesa laini laini za kujichotea ndani ya chama, na kwa kuwa Mbowe hakuwa mkali juu yao, au aliwakingia kifua basi leo dili zimekata na hivyo wanatafuuta namna nyingine ya kupata hela rahisi. Hivyo wachumia tumbo hawa bado wanataka kumtumia Mbowe, wanajaribu kutumia star power yake ili iwe kama ngazi ya kuendelea kula pesa za CCM. Mbowe inabidi astuke, asitumike kama nyavu ya kuwavulia hawa wachumia tumbo samaki za kushibisha matumbo yao.
5. Mbowe afahamu tu kuwa, dignity is better than silver and gold.
Mwalimu Nyerere laiti angetaka kuendelea kutawala hadi kufia madarakani angeweza, kama angetaka ubilionea angeweza, lakini alichagua dignity, maana dignity ni bora kuliko vipande vya fedha. Je Mbowe anadhani hana role ya kuplay ktk nchi hii mpaka awe katika nafasi za uongozi au cheo?, la hasha, huyuni mtu mwenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa mbele ya umma, sasa kwa nini ashawishiwe au kushawishika kuiharibu dignity yake kwa sababu ya maslahi binafsi?
6. Kabla Mbowe hajawaza kuisaliti CHADEMA akumbuke tu ni nani alimuweka jela, je ni wanachadema au CCM?
Hii kitu ndugu Mbowe lazima ajitafakari sana. Je ni nani alimpa heshima kwa miaka zaidi ya 30, Je ni wanaCCM au wanaCHADEMA?. Je ni nani alimpigania kila kukicha kwenye kupaza sauti ili atoke jela, je ni CCM auni CHADEMA?. Sasa inakuwaje leo anataka kuiumiza CHADEMA na kuipa unafuu wa kisiasa CCM?.
MWISHO:
Mimi nataka nimkumbushe tu ndugu Mbowe kuwa , Mwenyezi Mungu kupitia vitabu vitakatifu ameonya vikali kuhusu usaliti, hongo, hila na hali ya kurudi nyuma katika mapambano ya kuodoa udhalimu. Amana ambayo Watanzania wameiweka kwa Mbowe kwa miaka 30 ni kubwa sana, Mwenyezi Mungu amelishuhudia hili. Kushiriki au kula njama kuidhoofisha CHADEMA ni kuvunja amana na Mwenyezi Mungu ndiye Mlipaji,
Ndugu Mbowe kama una nia au lengo la kuweka maslahi yako binafsi juu ya taasisi ya CHADEMA kwa kufanya kitendo chochote kitakachokwamisha chama hicho basi Mwenyezi Mungu atakuhukumu kwa hukumu stahiki. Maana wanaCHADEMA walikupa imani na amana, tafadhali lifahamu hilo!
Mbowe hapa hajalaumiwa meku. Ila mleta mada ametoa tahadhari na maoni yake mzeehuu ni ujinga kumlaumu mbowe kwenye kila angle bila kua na ushahidi
mbowe alikua mwenyekiti baada
uchaguzi akashindwa akakaa pembeni
lakini watu wanambebesha lawama.
uhalisia ni kwamba hata kama mbowe angekua mstari wa mbele bado wangemsakama kwa kusema bado anatawala chama .
Mke wa Lema ni nani!?Mkewe akatoswa kwenye nafasi za Ubunge wa covid ....
Ni juu yako kuchunguza sio jukum langu kutaja majina ya wake za watu.Mke wa Lema ni nani!?
well saidMbowe hapa hajalaumiwa meku. Ila mleta mada ametoa tahadhari na maoni yake mzee
Ameonyesha wapi hiyo chuki wakati hajatamtaka lolote kuhusu Chadema? Humu wamejaa watu wanao onyesha wazi wazi kuwa na chuki nae. Kama angekuwa na hizo chuki mbona hajawazuia wakina Boni na Sugu kushirikiana na uongozi wa sasa. Waliosababisha kuanzishwa kwa G55 ni uongozi wa sasa ambao umeonyesha wazi kuwanyapaa wale wanaodhani bado ni Team Mbowe. Wamewapisha lakini hamjatosheka. Hizo ni dalili za uchawi.Chuki ya Mbowe kwa WanaCHADEMA waliomkataa kwenye sanduku la kura ni kwa yeye kushiriki kukihujumu chama kupitia genge la G55
Huna akili.huu ni ujinga kumlaumu mbowe kwenye kila angle bila kua na ushahidi
mbowe alikua mwenyekiti baada
uchaguzi akashindwa akakaa pembeni
lakini watu wanambebesha lawama.
uhalisia ni kwamba hata kama mbowe angekua mstari wa mbele bado wangemsakama kwa kusema bado anatawala chama .
MBOWE hajawahi kushiba helaMwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja.
Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza upinzani nchini.
Leo tunaambiwa kuwa yeye ndiye kiongozi anayeogoza genge la kukihujumu chama chake cha CHADEMA, Chama alichokijenga kwa jasho kubwa. Hii hali siyo kwamba inasikitisha na kuhuzunisha lakini kwa kiwango kikubwa inamharibia sifa na Legacy yake.
Pengine nitumie fursa hii kumueleza Mbowe mambo yafuatayo:
1. Je anachagua kuua mtoto wake mwenyewe (CHADEMA) ili kufuata masharti ya mganga (CCM)?
Kama nilivyoeleza, CHADEMA ina jasho jingi tu la Mbowe, itakuwa ni ajabu Mbowe kula njama za kuitoa kafara CHADEMA kwa ajili ya kupata utajiri wa kafara. Kwa kweli Jamii ya Watanzania itahuzunishwa, itachukizwa na kwa kweli itamuondolea heshima kubwa aliyojijengea kwa maka zaidi ya 30 kwenye medani ya siasa za mabadiliko nchini. Move ya kuiua CHADEMA itahesabika kama tamaa na ubinafsi uliopitiliza na kwa kweli Mbowe hatopata heshima kwa kula njama za kuia CHADEMA.
2. Iwapo Mbowe atashiriki kuiua CHADEMA ni kweli atapata fedha lakini atakuwa amewadhulumu watanzania kwa kiwango kikubwa sana.
Nimjulishe tu Mbowe kuwa kujaribu kuidhoofisha CHADEMA kweli kunaweza kumpa yeye pesa , lakini ajue tu kuwa pesa hizo kimsingi zitatokana na pesa zilizokwapuliwa na mafisadi kutoka kwa Watanzania, ama kupitia kodi zao, au kutokana na hongo mafisadi waliyopata kutokana na wao kuuza rasilimali za nchi yetu kwa mikataba ya kilaghai (kama kuuza bandari zetu kwa mikataba mibovu). Hiyo itakuwa ni dhambi kubwa na kwa kweli Mbowe atajibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa ulaghai na kushiriki kuwahujumu Watanzania kwa maslahi binafsi.
3. Mbowe akumbuke tu watu waliomwaga damu zao kwa ajili ya Mabadiliko na CHADEMA. Je yuko tayari kuwasaliti wote hawa kwa ajili ya vipande 30 vya fedha za mafisadi?
Kuna watu wamemwaga damu zaokwa ajili ya mabadiliko nchini hususana kwa ajili ya ustawi wa CHADEMA. Orodha ni ndefu, lakini hebu twambie, Mbowe atamueleza nini Alphonse Mawazo, Elias Michael, Ben Saanane, Deusdedith Soka, Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na wengine wengi tu waliotekwa na kupotezwa kwa kudai haki na mabadiliko ya kweli nchini wakiwa ni wanachamama wa CHADEMA, iwapo Mbowe atakuwa msitari wa mbele kukisaliti chama chake yeye mwenyewe?.
4. Mbowe ajue tu kuwa Wachumia tumbo waliokuwa wanakula kwa mgongo wake bado wanataka kumtumia ili waendelee kula kupitia yeye, astuke!.
Wachumia tumbo wote aliowapa vyeo ndani ya sekretariat ya CHADEMA, waliowekwa pembeni na uongozi mpya, njaa zao zimeanza kuchachamaa zaidi. Walizoea pesa laini laini za kujichotea ndani ya chama, na kwa kuwa Mbowe hakuwa mkali juu yao, au aliwakingia kifua basi leo dili zimekata na hivyo wanatafuuta namna nyingine ya kupata hela rahisi. Hivyo wachumia tumbo hawa bado wanataka kumtumia Mbowe, wanajaribu kutumia star power yake ili iwe kama ngazi ya kuendelea kula pesa za CCM. Mbowe inabidi astuke, asitumike kama nyavu ya kuwavulia hawa wachumia tumbo samaki za kushibisha matumbo yao.
5. Mbowe afahamu tu kuwa, dignity is better than silver and gold.
Mwalimu Nyerere laiti angetaka kuendelea kutawala hadi kufia madarakani angeweza, kama angetaka ubilionea angeweza, lakini alichagua dignity, maana dignity ni bora kuliko vipande vya fedha. Je Mbowe anadhani hana role ya kuplay ktk nchi hii mpaka awe katika nafasi za uongozi au cheo?, la hasha, huyu ni mtu mwenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa mbele ya umma, sasa kwa nini ashawishiwe au kushawishika kuiharibu dignity yake kwa sababu ya maslahi binafsi?
6. Kabla Mbowe hajawaza kuisaliti CHADEMA akumbuke tu ni nani alimuweka jela, je ni wanachadema au CCM?
Hii kitu ndugu Mbowe lazima ajitafakari sana. Je ni nani alimpa heshima kwa miaka zaidi ya 30, Je ni wanaCCM au wanaCHADEMA?. Je ni nani alimpigania kila kukicha kwenye kupaza sauti ili atoke jela, je ni CCM au ni CHADEMA?. Sasa inakuwaje leo anataka kuiumiza CHADEMA na kuipa unafuu wa kisiasa CCM?.
MWISHO:
Mimi nataka nimkumbushe tu ndugu Mbowe kuwa , Mwenyezi Mungu kupitia vitabu vitakatifu ameonya vikali kuhusu usaliti, hongo, hila na hali ya kurudi nyuma katika mapambano ya kuodoa udhalimu. Amana ambayo Watanzania wameiweka kwa Mbowe kwa miaka 30 ni kubwa sana, Mwenyezi Mungu amelishuhudia hili. Kushiriki au kula njama kuidhoofisha CHADEMA ni kuvunja amana na Mwenyezi Mungu ndiye Mlipaji,
Ndugu Mbowe kama una nia au lengo la kuweka maslahi yako binafsi juu ya taasisi ya CHADEMA kwa kufanya kitendo chochote kitakachokwamisha chama hicho basi Mwenyezi Mungu atakuhukumu kwa hukumu stahiki. Maana wanaCHADEMA walikupa imani na amana, tafadhali lifahamu hilo!
Yeye ni mjumbe wa kamati kuu na kiongozi mstaafu, kwa nini halikemei kundi lake la G55 mpaka linaleta uasi ndani ya chama?Ameonyesha wapi hiyo chuki wakati hajatamtaka lolote kuhusu Chadema? Humu wamejaa watu wanao onyesha wazi wazi kuwa na chuki nae. Kama angekuwa na hizo chuki mbona hajawazuia wakina Boni na Sugu kushirikiana na uongozi wa sasa. Waliosababisha kuanzishwa kwa G55 ni uongozi wa sasa ambao umeonyesha wazi kuwanyapaa wale wanaodhani bado ni Team Mbowe. Wamewapisha lakini hamjatosheka. Hizo ni dalili za uchawi.
Amandla...
Wakati Mbowe yuko rumande tayari wakina Lissu waliisha anza mipango ya kumpindua kwa sababu walijua hachomoki. Waliompigania ni wakina Ruge na wengine ambao walilala sana mahabusu kwa sababu ya kudai Mbowe aachiwe. Waliandamana nje ya ubalozi wa Marekani, walianzisha klabu za jogging walipozuiwa kuandamana, walijigalagala nje ya Mahakama Kuu kudai kuwa Mbowe sio gaidi. Walikuwa wanajazana Mahakamani na kutayarishia watu chai. Wakati huo wakina Lissu, Lema, Msigwa n.k. walimpigania wakiwa Clubhouse lakini huku wakipanga namna ya kuchamkia fursa. Lissu akamshutumu kwa kuiba gari la chama lakini hakufanikiwa. Mipango ya kumng'oa Mbowe hayakuanza Desemba mwaka jana.Umeshahu kuwa Mbowe alipokuwa Jela ni Lissu ndiye aliyekuwa akiongoza chama na pia Lissu hakuwa na genge la kumkwamisha Mbowe. Wanachadema wote waliungana kumtetea Mbowe na kukiunganisha chama. Tofauti na sasa ambapo genge la Mbowe wanasaliti maamuzi ya vikao vya chama huku mwenyekiti akiwa jela.
Kwa nini alikemee kama anaona wazi wanavyoonewa? Watu hawakujitoa kwenye hicho chama kwa sababu wanampenda sana Mbowe. Wametoka kutokana na matendo waliyokuwa wakifanyiwa. Ilikuwa rahisi sana kwa Mwenyekiti na Makamu wake kuwakemea kikundi ambacho kilikuwa kinatendea uovu. Wote hawa amefanya nao kazi kwa muda mrefu na anajua thika mchango wao kwa CDM. Alipataje kigugumizi katika kuwakingia kifua na kusikiliza malalamiko yao. Hili ni la kwenu, msimlaumu mtu mwingine.Yeye ni mjumbe wa kamati kuu na kiongozi mstaafu, kwa nini halikemei kundi lake la G55 mpaka linaleta uasi ndani ya chama?
Atajua mwenyewe, alafu atashangaa kama yamwayo kweliMwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja.
Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza upinzani nchini.
Leo tunaambiwa kuwa yeye ndiye kiongozi anayeogoza genge la kukihujumu chama chake cha CHADEMA, Chama alichokijenga kwa jasho kubwa. Hii hali siyo kwamba inasikitisha na kuhuzunisha lakini kwa kiwango kikubwa inamharibia sifa na Legacy yake.
Pengine nitumie fursa hii kumueleza Mbowe mambo yafuatayo:
1. Je anachagua kuua mtoto wake mwenyewe (CHADEMA) ili kufuata masharti ya mganga (CCM)?
Kama nilivyoeleza, CHADEMA ina jasho jingi tu la Mbowe, itakuwa ni ajabu Mbowe kula njama za kuitoa kafara CHADEMA kwa ajili ya kupata utajiri wa kafara. Kwa kweli Jamii ya Watanzania itahuzunishwa, itachukizwa na kwa kweli itamuondolea heshima kubwa aliyojijengea kwa maka zaidi ya 30 kwenye medani ya siasa za mabadiliko nchini. Move ya kuiua CHADEMA itahesabika kama tamaa na ubinafsi uliopitiliza na kwa kweli Mbowe hatopata heshima kwa kula njama za kuia CHADEMA.
2. Iwapo Mbowe atashiriki kuiua CHADEMA ni kweli atapata fedha lakini atakuwa amewadhulumu watanzania kwa kiwango kikubwa sana.
Nimjulishe tu Mbowe kuwa kujaribu kuidhoofisha CHADEMA kweli kunaweza kumpa yeye pesa , lakini ajue tu kuwa pesa hizo kimsingi zitatokana na pesa zilizokwapuliwa na mafisadi kutoka kwa Watanzania, ama kupitia kodi zao, au kutokana na hongo mafisadi waliyopata kutokana na wao kuuza rasilimali za nchi yetu kwa mikataba ya kilaghai (kama kuuza bandari zetu kwa mikataba mibovu). Hiyo itakuwa ni dhambi kubwa na kwa kweli Mbowe atajibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa ulaghai na kushiriki kuwahujumu Watanzania kwa maslahi binafsi.
3. Mbowe akumbuke tu watu waliomwaga damu zao kwa ajili ya Mabadiliko na CHADEMA. Je yuko tayari kuwasaliti wote hawa kwa ajili ya vipande 30 vya fedha za mafisadi?
Kuna watu wamemwaga damu zaokwa ajili ya mabadiliko nchini hususana kwa ajili ya ustawi wa CHADEMA. Orodha ni ndefu, lakini hebu twambie, Mbowe atamueleza nini Alphonse Mawazo, Elias Michael, Ben Saanane, Deusdedith Soka, Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na wengine wengi tu waliotekwa na kupotezwa kwa kudai haki na mabadiliko ya kweli nchini wakiwa ni wanachamama wa CHADEMA, iwapo Mbowe atakuwa msitari wa mbele kukisaliti chama chake yeye mwenyewe?.
4. Mbowe ajue tu kuwa Wachumia tumbo waliokuwa wanakula kwa mgongo wake bado wanataka kumtumia ili waendelee kula kupitia yeye, astuke!.
Wachumia tumbo wote aliowapa vyeo ndani ya sekretariat ya CHADEMA, waliowekwa pembeni na uongozi mpya, njaa zao zimeanza kuchachamaa zaidi. Walizoea pesa laini laini za kujichotea ndani ya chama, na kwa kuwa Mbowe hakuwa mkali juu yao, au aliwakingia kifua basi leo dili zimekata na hivyo wanatafuuta namna nyingine ya kupata hela rahisi. Hivyo wachumia tumbo hawa bado wanataka kumtumia Mbowe, wanajaribu kutumia star power yake ili iwe kama ngazi ya kuendelea kula pesa za CCM. Mbowe inabidi astuke, asitumike kama nyavu ya kuwavulia hawa wachumia tumbo samaki za kushibisha matumbo yao.
5. Mbowe afahamu tu kuwa, dignity is better than silver and gold.
Mwalimu Nyerere laiti angetaka kuendelea kutawala hadi kufia madarakani angeweza, kama angetaka ubilionea angeweza, lakini alichagua dignity, maana dignity ni bora kuliko vipande vya fedha. Je Mbowe anadhani hana role ya kuplay ktk nchi hii mpaka awe katika nafasi za uongozi au cheo?, la hasha, huyu ni mtu mwenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa mbele ya umma, sasa kwa nini ashawishiwe au kushawishika kuiharibu dignity yake kwa sababu ya maslahi binafsi?
6. Kabla Mbowe hajawaza kuisaliti CHADEMA akumbuke tu ni nani alimuweka jela, je ni wanachadema au CCM?
Hii kitu ndugu Mbowe lazima ajitafakari sana. Je ni nani alimpa heshima kwa miaka zaidi ya 30, Je ni wanaCCM au wanaCHADEMA?. Je ni nani alimpigania kila kukicha kwenye kupaza sauti ili atoke jela, je ni CCM au ni CHADEMA?. Sasa inakuwaje leo anataka kuiumiza CHADEMA na kuipa unafuu wa kisiasa CCM?.
MWISHO:
Mimi nataka nimkumbushe tu ndugu Mbowe kuwa , Mwenyezi Mungu kupitia vitabu vitakatifu ameonya vikali kuhusu usaliti, hongo, hila na hali ya kurudi nyuma katika mapambano ya kuodoa udhalimu. Amana ambayo Watanzania wameiweka kwa Mbowe kwa miaka 30 ni kubwa sana, Mwenyezi Mungu amelishuhudia hili. Kushiriki au kula njama kuidhoofisha CHADEMA ni kuvunja amana na Mwenyezi Mungu ndiye Mlipaji,
Ndugu Mbowe kama una nia au lengo la kuweka maslahi yako binafsi juu ya taasisi ya CHADEMA kwa kufanya kitendo chochote kitakachokwamisha chama hicho basi Mwenyezi Mungu atakuhukumu kwa hukumu stahiki. Maana wanaCHADEMA walikupa imani na amana, tafadhali lifahamu hilo!
Wakati Mbowe yuko rumande tayari wakina Lissu waliisha anza mipango ya kumpindua kwa sababu walijua hachomoki. Waliompigania ni wakina Ruge na wengine ambao walilala sana mahabusu kwa sababu ya kudai Mbowe aachiwe. Waliandamana nje ya ubalozi wa Marekani, walianzisha klabu za jogging walipozuiwa kuandamana, walijigalagala nje ya Mahakama Kuu kudai kuwa Mbowe sio gaidi. Walikuwa wanajazana Mahakamani na kutayarishia watu chai. Wakati huo wakina Lissu, Lema, Msigwa n.k. walimpigania wakiwa Clubhouse lakini huku wakipanga namna ya kuchamkia fursa. Lissu akamshutumu kwa kuiba gari la chama lakini hakufanikiwa. Mipango ya kumng'oa Mbowe hayakuanza Desemba mwaka jana.
Hawa unaowaita wasaliti walisema wazi kuwa hawakubaliani na mpango mzima wa NRNE elections unavyoendeshwa.
Mbona Lissu alikuwa anapinga wazi mpango wa Maridhiano wakati ulikuwa na baraka za Kamati Kuu. Alimshutumu Mwenyekiti wake wazi wazi kuwa amelamba asali. Alikataa wito wa kuhudhuria kikao cha Kamati Kuu. Alikataa kukifanyia kampeni chama chake katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Huyu hamkumuona lakini mnawaandama wale waliojitoa hadharani.
Chadema sasa ni ya Lissu na anawajibika kwa kila kitu kinachoendelea katika chama chake. Siasa za kinafik zina mwisho wake. Huu ndio mwisho wake. Kitakacho fuata ni kugeukiana wenyewe kwa wenyewe mambo yatakapoenda mrama.
Amandla...
Sasa kama hana nia ovu si ajitokeze hata kukemea utekaji? Vinginevyo tutajua tu kuwa Asali aliyolambishwa ina riho nyuma yake!huu ni ujinga kumlaumu mbowe kwenye kila angle bila kua na ushahidi
mbowe alikua mwenyekiti baada
uchaguzi akashindwa akakaa pembeni
lakini watu wanambebesha lawama.
uhalisia ni kwamba hata kama mbowe angekua mstari wa mbele bado wangemsakama kwa kusema bado anatawala chama .
Ndiko mnakokimbilia. Mbona wewe unampenda Lissu kuliko Chadema? Kwenye hili namtetea Mbowe kwa sababu hamumtendei haki. Sipendi uonevu wa aina yeyote.Wewe unampenda Mbowe kuliko CHADEMA
MTOTO ALIYEMUONA BABA YAKE SI KITU WALA CHOCHOTE WEWE UNGEMFANYEJE? MATUSI WAKATI WA KAMPENI HAMKUONA MNAVUNJIA HESHIMA KIONGOZI WENU ? LEO MNALIALIA.HAHAHAHAAA.1. Je anachagua kuua mtoto wake mwenyewe (CHADEMA) ili kufuata masharti ya mganga (CCM)?