PreGE2025 Je, Mbowe kuchagua Heshima au Tamaa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mh. Mbowe mbali na uasisi ni Mjumbe wa Kudumu wa Kamati Kuu ya CDM
Kupotoka kwa wanae hao jana si kupotoka kwa baba yao.
Bado ana heshima.kubwa sana ndani ya chama.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja.

Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza upinzani nchini.

Leo tunaambiwa kuwa yeye ndiye kiongozi anayeogoza genge la kukihujumu chama chake cha CHADEMA, Chama alichokijenga kwa jasho kubwa. Hii hali siyo kwamba inasikitisha na kuhuzunisha lakini kwa kiwango kikubwa inamharibia sifa na Legacy yake.
Pengine nitumie fursa hii kumueleza Mbowe mambo yafuatayo:

1. Je anachagua kuua mtoto wake mwenyewe (CHADEMA) ili kufuata masharti ya mganga (CCM)?

Kama nilivyoeleza, CHADEMA ina jasho jingi tu la Mbowe, itakuwa ni ajabu Mbowe kula njama za kuitoa kafara CHADEMA kwa ajili ya kupata utajiri wa kafara. Kwa kweli Jamii ya Watanzania itahuzunishwa, itachukizwa na kwa kweli itamuondolea heshima kubwa aliyojijengea kwa maka zaidi ya 30 kwenye medani ya siasa za mabadiliko nchini. Move ya kuiua CHADEMA itahesabika kama tamaa na ubinafsi uliopitiliza na kwa kweli Mbowe hatopata heshima kwa kula njama za kuia CHADEMA.

2. Iwapo Mbowe atashiriki kuiua CHADEMA ni kweli atapata fedha lakini atakuwa amewadhulumu watanzania kwa kiwango kikubwa sana.

Nimjulishe tu Mbowe kuwa kujaribu kuidhoofisha CHADEMA kweli kunaweza kumpa yeye pesa , lakini ajue tu kuwa pesa hizo kimsingi zitatokana na pesa zilizokwapuliwa na mafisadi kutoka kwa Watanzania, ama kupitia kodi zao, au kutokana na hongo mafisadi waliyopata kutokana na wao kuuza rasilimali za nchi yetu kwa mikataba ya kilaghai (kama kuuza bandari zetu kwa mikataba mibovu). Hiyo itakuwa ni dhambi kubwa na kwa kweli Mbowe atajibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa ulaghai na kushiriki kuwahujumu Watanzania kwa maslahi binafsi.

3. Mbowe akumbuke tu watu waliomwaga damu zao kwa ajili ya Mabadiliko na CHADEMA. Je yuko tayari kuwasaliti wote hawa kwa ajili ya vipande 30 vya fedha za mafisadi?

Kuna watu wamemwaga damu zaokwa ajili ya mabadiliko nchini hususana kwa ajili ya ustawi wa CHADEMA. Orodha ni ndefu, lakini hebu twambie, Mbowe atamueleza nini Alphonse Mawazo, Elias Michael, Ben Saanane, Deusdedith Soka, Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na wengine wengi tu waliotekwa na kupotezwa kwa kudai haki na mabadiliko ya kweli nchini wakiwa ni wanachamama wa CHADEMA, iwapo Mbowe atakuwa msitari wa mbele kukisaliti chama chake yeye mwenyewe?.

4. Mbowe ajue tu kuwa Wachumia tumbo waliokuwa wanakula kwa mgongo wake bado wanataka kumtumia ili waendelee kula kupitia yeye, astuke!.

Wachumia tumbo wote aliowapa vyeo ndani ya sekretariat ya CHADEMA, waliowekwa pembeni na uongozi mpya, njaa zao zimeanza kuchachamaa zaidi. Walizoea pesa laini laini za kujichotea ndani ya chama, na kwa kuwa Mbowe hakuwa mkali juu yao, au aliwakingia kifua basi leo dili zimekata na hivyo wanatafuuta namna nyingine ya kupata hela rahisi. Hivyo wachumia tumbo hawa bado wanataka kumtumia Mbowe, wanajaribu kutumia star power yake ili iwe kama ngazi ya kuendelea kula pesa za CCM. Mbowe inabidi astuke, asitumike kama nyavu ya kuwavulia hawa wachumia tumbo samaki za kushibisha matumbo yao.

5. Mbowe afahamu tu kuwa, dignity is better than silver and gold.
Mwalimu Nyerere laiti angetaka kuendelea kutawala hadi kufia madarakani angeweza, kama angetaka ubilionea angeweza, lakini alichagua dignity, maana dignity ni bora kuliko vipande vya fedha. Je Mbowe anadhani hana role ya kuplay ktk nchi hii mpaka awe katika nafasi za uongozi au cheo?, la hasha, huyu ni mtu mwenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa mbele ya umma, sasa kwa nini ashawishiwe au kushawishika kuiharibu dignity yake kwa sababu ya maslahi binafsi?

6. Kabla Mbowe hajawaza kuisaliti CHADEMA akumbuke tu ni nani alimuweka jela, je ni wanachadema au CCM?
Hii kitu ndugu Mbowe lazima ajitafakari sana. Je ni nani alimpa heshima kwa miaka zaidi ya 30, Je ni wanaCCM au wanaCHADEMA?. Je ni nani alimpigania kila kukicha kwenye kupaza sauti ili atoke jela, je ni CCM au ni CHADEMA?. Sasa inakuwaje leo anataka kuiumiza CHADEMA na kuipa unafuu wa kisiasa CCM?.

MWISHO:
Mimi nataka nimkumbushe tu ndugu Mbowe kuwa , Mwenyezi Mungu kupitia vitabu vitakatifu ameonya vikali kuhusu usaliti, hongo, hila na hali ya kurudi nyuma katika mapambano ya kuodoa udhalimu. Amana ambayo Watanzania wameiweka kwa Mbowe kwa miaka 30 ni kubwa sana, Mwenyezi Mungu amelishuhudia hili. Kushiriki au kula njama kuidhoofisha CHADEMA ni kuvunja amana na Mwenyezi Mungu ndiye Mlipaji,
Ndugu Mbowe kama una nia au lengo la kuweka maslahi yako binafsi juu ya taasisi ya CHADEMA kwa kufanya kitendo chochote kitakachokwamisha chama hicho basi Mwenyezi Mungu atakuhukumu kwa hukumu stahiki. Maana wanaCHADEMA walikupa imani na amana, tafadhali lifahamu hilo!
Hizo tuhuma za Mbowe kuihujumu Chadema kuna anayeweza kuthibitisha kweli?....Au ni kuangushiana jumba bovu tu.

Fundi Mchundo Retired
 
Wanaendeleza uchafuzi tu. Ni muendelezo wa kulamba asali, pesa za Abduli, kuiba gari na upuuzi mwingine. Sidhani kama walitegemea atakaa pembeni kiasi hiki. Watu wa ajabu sana.

Amandla...
 
Pointi namba 6 ni ya muhimu sana kwa Mbowe kuitafakari mara mbili au zaidi. Lililomtokea akiwa mwenyekiti wa CHADEMA litamtokea tu mbele ya safari hata akiwa CCM.Hivyo naungana na mwandishi kuwa Mbowe achague mwenyewe baraka au laana.
 
Sasa kama Lissu hakutaka ushauri wake? Mbowe kaenda kumtembelea gerezani, alipotoka tuu Lissu anatoa tamko kuwa hataki mambo ya giza. Mtu yeyote mwenye uelewa atajua kuwa alikuwa anamaanisha Mbowe alitaka kumpeleka gizani! Atashirikiana vipi na watu wa aina hiyo?

Amandla...
Lissu alitoa tamko akiwa gerezani? Mbona kuna ndugu yake alikwenda kumtembelea na swali kubwa alilomuuliza ni Mbowe alipomtembelea walizungumza nini au alikuwa na lengo gani, na Lissu akajibu kuwa ziara yake ilikuwa na nia ya kumjulia hali tu? Kuwa walizungumza mambo ya kawaida?
 
Wanaendeleza uchafuzi tu. Ni muendelezo wa kulamba asali, pesa za Abduli, kuiba gari na upuuzi mwingine. Sidhani kama walitegemea atakaa pembeni kiasi hiki. Watu wa ajabu sana.

Amandla...
Kwani fedha za Abdul ni jambo la uongo?
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja.

Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza upinzani nchini.

Leo tunaambiwa kuwa yeye ndiye kiongozi anayeogoza genge la kukihujumu chama chake cha CHADEMA, Chama alichokijenga kwa jasho kubwa. Hii hali siyo kwamba inasikitisha na kuhuzunisha lakini kwa kiwango kikubwa inamharibia sifa na Legacy yake.
Pengine nitumie fursa hii kumueleza Mbowe mambo yafuatayo:

1. Je anachagua kuua mtoto wake mwenyewe (CHADEMA) ili kufuata masharti ya mganga (CCM)?

Kama nilivyoeleza, CHADEMA ina jasho jingi tu la Mbowe, itakuwa ni ajabu Mbowe kula njama za kuitoa kafara CHADEMA kwa ajili ya kupata utajiri wa kafara. Kwa kweli Jamii ya Watanzania itahuzunishwa, itachukizwa na kwa kweli itamuondolea heshima kubwa aliyojijengea kwa maka zaidi ya 30 kwenye medani ya siasa za mabadiliko nchini. Move ya kuiua CHADEMA itahesabika kama tamaa na ubinafsi uliopitiliza na kwa kweli Mbowe hatopata heshima kwa kula njama za kuia CHADEMA.

2. Iwapo Mbowe atashiriki kuiua CHADEMA ni kweli atapata fedha lakini atakuwa amewadhulumu watanzania kwa kiwango kikubwa sana.

Nimjulishe tu Mbowe kuwa kujaribu kuidhoofisha CHADEMA kweli kunaweza kumpa yeye pesa , lakini ajue tu kuwa pesa hizo kimsingi zitatokana na pesa zilizokwapuliwa na mafisadi kutoka kwa Watanzania, ama kupitia kodi zao, au kutokana na hongo mafisadi waliyopata kutokana na wao kuuza rasilimali za nchi yetu kwa mikataba ya kilaghai (kama kuuza bandari zetu kwa mikataba mibovu). Hiyo itakuwa ni dhambi kubwa na kwa kweli Mbowe atajibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa ulaghai na kushiriki kuwahujumu Watanzania kwa maslahi binafsi.

3. Mbowe akumbuke tu watu waliomwaga damu zao kwa ajili ya Mabadiliko na CHADEMA. Je yuko tayari kuwasaliti wote hawa kwa ajili ya vipande 30 vya fedha za mafisadi?

Kuna watu wamemwaga damu zaokwa ajili ya mabadiliko nchini hususana kwa ajili ya ustawi wa CHADEMA. Orodha ni ndefu, lakini hebu twambie, Mbowe atamueleza nini Alphonse Mawazo, Elias Michael, Ben Saanane, Deusdedith Soka, Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na wengine wengi tu waliotekwa na kupotezwa kwa kudai haki na mabadiliko ya kweli nchini wakiwa ni wanachamama wa CHADEMA, iwapo Mbowe atakuwa msitari wa mbele kukisaliti chama chake yeye mwenyewe?.

4. Mbowe ajue tu kuwa Wachumia tumbo waliokuwa wanakula kwa mgongo wake bado wanataka kumtumia ili waendelee kula kupitia yeye, astuke!.

Wachumia tumbo wote aliowapa vyeo ndani ya sekretariat ya CHADEMA, waliowekwa pembeni na uongozi mpya, njaa zao zimeanza kuchachamaa zaidi. Walizoea pesa laini laini za kujichotea ndani ya chama, na kwa kuwa Mbowe hakuwa mkali juu yao, au aliwakingia kifua basi leo dili zimekata na hivyo wanatafuuta namna nyingine ya kupata hela rahisi. Hivyo wachumia tumbo hawa bado wanataka kumtumia Mbowe, wanajaribu kutumia star power yake ili iwe kama ngazi ya kuendelea kula pesa za CCM. Mbowe inabidi astuke, asitumike kama nyavu ya kuwavulia hawa wachumia tumbo samaki za kushibisha matumbo yao.

5. Mbowe afahamu tu kuwa, dignity is better than silver and gold.
Mwalimu Nyerere laiti angetaka kuendelea kutawala hadi kufia madarakani angeweza, kama angetaka ubilionea angeweza, lakini alichagua dignity, maana dignity ni bora kuliko vipande vya fedha. Je Mbowe anadhani hana role ya kuplay ktk nchi hii mpaka awe katika nafasi za uongozi au cheo?, la hasha, huyu ni mtu mwenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa mbele ya umma, sasa kwa nini ashawishiwe au kushawishika kuiharibu dignity yake kwa sababu ya maslahi binafsi?

6. Kabla Mbowe hajawaza kuisaliti CHADEMA akumbuke tu ni nani alimuweka jela, je ni wanachadema au CCM?
Hii kitu ndugu Mbowe lazima ajitafakari sana. Je ni nani alimpa heshima kwa miaka zaidi ya 30, Je ni wanaCCM au wanaCHADEMA?. Je ni nani alimpigania kila kukicha kwenye kupaza sauti ili atoke jela, je ni CCM au ni CHADEMA?. Sasa inakuwaje leo anataka kuiumiza CHADEMA na kuipa unafuu wa kisiasa CCM?.

MWISHO:
Mimi nataka nimkumbushe tu ndugu Mbowe kuwa , Mwenyezi Mungu kupitia vitabu vitakatifu ameonya vikali kuhusu usaliti, hongo, hila na hali ya kurudi nyuma katika mapambano ya kuodoa udhalimu. Amana ambayo Watanzania wameiweka kwa Mbowe kwa miaka 30 ni kubwa sana, Mwenyezi Mungu amelishuhudia hili. Kushiriki au kula njama kuidhoofisha CHADEMA ni kuvunja amana na Mwenyezi Mungu ndiye Mlipaji,
Ndugu Mbowe kama una nia au lengo la kuweka maslahi yako binafsi juu ya taasisi ya CHADEMA kwa kufanya kitendo chochote kitakachokwamisha chama hicho basi Mwenyezi Mungu atakuhukumu kwa hukumu stahiki. Maana wanaCHADEMA walikupa imani na amana, tafadhali lifahamu hilo!
Mbowe hajawahi kuijenga CHADEMA kwa jasho na damu. bali yeye ndiye aliyekuwa akila mema ya nchi kupitia damu na jasho la wengine. Yule ni mfanyabiasahara.
 
Mimi huwa sisomi maelekezo mareeefu, ila niulize kwanini umeandika kumbembeleza Mbowe asiondoke?
Kwani kipindi kile mnasema aondoke tu hamkujua kuwa Mbowe nae ana maamuzi yake?
 
Binafsi siamini kama FAM anaweza kuwa behind huu Ujinga Kwasbabu unaenda Kumvunjia sana Heshima yake ambayo ameijenga miaka Mingi tu

Wale kina Kigaila na Mrema njaa zimewapanda Kichwani na Mostly ugali wao walikuwa wanaupata Kupitia FAM hawaoni namna nyingine ya ku thrive kwenye hii Political space ya sasa

Waachwe wakatafute Changamoto kwingine ndio Principles za maisha izo huwezi kuwa mtawala au Kiongozi siku zote kuna usemi unasema the moment una acquire certain position ndio the Moment unapaswa Kupanga how to exist pia bila Kuwa affected kiivo sasa hawa jamaa walilewa na Regime ya FAM kwa kuwa the guy is out now ndio mana wanatapatapa nasemaga hapa Tuache kuamini Wanasiasa kabisa Kwasbabu mara zote wana Personal interest zao tu
 
huu ni ujinga kumlaumu mbowe kwenye kila angle bila kua na ushahidi

mbowe alikua mwenyekiti baada
uchaguzi akashindwa akakaa pembeni

lakini watu wanambebesha lawama.

uhalisia ni kwamba hata kama mbowe angekua mstari wa mbele bado wangemsakama kwa kusema bado anatawala chama .
Sio mwenyekiti tuu, bali Mbowe haja wahi kuwa mwanachama wa chama kingine cha siasa. Mbowe ni muasisi wa Chadema kuondoka Chadema au kujaribu kukiua chama alicho kiasisi kwangu naona kama utakuwa muujiza.. Mbowe atakaa kimya kuliko afanye usaliti.. Ila kwa hawa wana harakati mhhhhh...
 
Huna akili.
Kwa hiyo ukishindwa uchavuzi ndio uharibu chama?
Hawa G55
Ni wahuni wake kwanini ameshindwa kuwadhiboti lwa maslahi ya chama?

Mbowe muhuni tu
Mbowe tapeli la kisiasa
mnatafuta huruma kwa mbowe mbowe ni jabal la kisiasa
Sasa kama hana nia ovu si ajitokeze hata kukemea utekaji? Vinginevyo tutajua tu kuwa Asali aliyolambishwa ina riho nyuma yake!
ajitokeze kama nani sass
 
Mbowe alisha fanya uamzi siku nyingi alipokubali kuwa sehemu ya hadaa na ulaghai mwingi unaofanywa na mshirika wake katika maridhiano, Samia.

Haya yote unayo yazungumzia hapa, yote yalisha wekwa pembeni kwa kusaka lengo lile lile lililo adhimiwa kwenye maridhiano.
Hawezi sasa kuyakana na kuyarudisha ndani ya chupa, ili aonekane mwenye heshima na busara.
Sifa za heshima na busara siyo za kuigiza. Ukikiuka tu matakwa ya sifa hizo, tayari utakuwa umeondokana nazo.

Sasa kitakachokuwa kimebaki ni historia tu, ambayo haiwezi kufutika. Kwamba Mbowe alifanya au alikuwa....; kama hayo yote uliyo elezea hapo juu. hayo hayatapotea.

Hata akifanya maigizo ya kurudisha nyuma yoote; aonekane kama alivyokuwa mwanzo, jambo ambalo haliwezekani; lebo ya uigizaji haitakuwa mbali naye. Nani atamwamini tena!

Anachoweza kufanya sasa, ni kujiondoa kabisa, asijihusishe kwa njia yoyote na maswala ya vyama vya siasa.
 
Kwani fedha za Abdul ni jambo la uongo?
Lissu alipoambiwa atoe ushahidi alisema aliyemthibitishia amekufa. Alisema alitoa taarifa katika Kamati Kuu ambapo kuna waliohudhuria walisema kuwa nako alishindwa kutoa ushahidi. Sasa hivi ni zaidi ya miezi mitatu toka washike madaraka. Makabrasha yote wanayo ikiwa pamoja na minutes za vikao vya Kamati Kuu. Mpaka sasa hivi wako kimya. Mambo ya Abduli yalikuwa ni kwa ajili ya kuchafuana. Kama pesa hizo zilikuwepo basi aliyezipokea ni Msigwa maana ndie aliye hamia CCM.

Amandla...
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja.

Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza upinzani nchini.

Leo tunaambiwa kuwa yeye ndiye kiongozi anayeogoza genge la kukihujumu chama chake cha CHADEMA, Chama alichokijenga kwa jasho kubwa. Hii hali siyo kwamba inasikitisha na kuhuzunisha lakini kwa kiwango kikubwa inamharibia sifa na Legacy yake.
Pengine nitumie fursa hii kumueleza Mbowe mambo yafuatayo:

1. Je anachagua kuua mtoto wake mwenyewe (CHADEMA) ili kufuata masharti ya mganga (CCM)?

Kama nilivyoeleza, CHADEMA ina jasho jingi tu la Mbowe, itakuwa ni ajabu Mbowe kula njama za kuitoa kafara CHADEMA kwa ajili ya kupata utajiri wa kafara. Kwa kweli Jamii ya Watanzania itahuzunishwa, itachukizwa na kwa kweli itamuondolea heshima kubwa aliyojijengea kwa maka zaidi ya 30 kwenye medani ya siasa za mabadiliko nchini. Move ya kuiua CHADEMA itahesabika kama tamaa na ubinafsi uliopitiliza na kwa kweli Mbowe hatopata heshima kwa kula njama za kuia CHADEMA.

2. Iwapo Mbowe atashiriki kuiua CHADEMA ni kweli atapata fedha lakini atakuwa amewadhulumu watanzania kwa kiwango kikubwa sana.

Nimjulishe tu Mbowe kuwa kujaribu kuidhoofisha CHADEMA kweli kunaweza kumpa yeye pesa , lakini ajue tu kuwa pesa hizo kimsingi zitatokana na pesa zilizokwapuliwa na mafisadi kutoka kwa Watanzania, ama kupitia kodi zao, au kutokana na hongo mafisadi waliyopata kutokana na wao kuuza rasilimali za nchi yetu kwa mikataba ya kilaghai (kama kuuza bandari zetu kwa mikataba mibovu). Hiyo itakuwa ni dhambi kubwa na kwa kweli Mbowe atajibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa ulaghai na kushiriki kuwahujumu Watanzania kwa maslahi binafsi.

3. Mbowe akumbuke tu watu waliomwaga damu zao kwa ajili ya Mabadiliko na CHADEMA. Je yuko tayari kuwasaliti wote hawa kwa ajili ya vipande 30 vya fedha za mafisadi?

Kuna watu wamemwaga damu zaokwa ajili ya mabadiliko nchini hususana kwa ajili ya ustawi wa CHADEMA. Orodha ni ndefu, lakini hebu twambie, Mbowe atamueleza nini Alphonse Mawazo, Elias Michael, Ben Saanane, Deusdedith Soka, Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na wengine wengi tu waliotekwa na kupotezwa kwa kudai haki na mabadiliko ya kweli nchini wakiwa ni wanachamama wa CHADEMA, iwapo Mbowe atakuwa msitari wa mbele kukisaliti chama chake yeye mwenyewe?.

4. Mbowe ajue tu kuwa Wachumia tumbo waliokuwa wanakula kwa mgongo wake bado wanataka kumtumia ili waendelee kula kupitia yeye, astuke!.

Wachumia tumbo wote aliowapa vyeo ndani ya sekretariat ya CHADEMA, waliowekwa pembeni na uongozi mpya, njaa zao zimeanza kuchachamaa zaidi. Walizoea pesa laini laini za kujichotea ndani ya chama, na kwa kuwa Mbowe hakuwa mkali juu yao, au aliwakingia kifua basi leo dili zimekata na hivyo wanatafuuta namna nyingine ya kupata hela rahisi. Hivyo wachumia tumbo hawa bado wanataka kumtumia Mbowe, wanajaribu kutumia star power yake ili iwe kama ngazi ya kuendelea kula pesa za CCM. Mbowe inabidi astuke, asitumike kama nyavu ya kuwavulia hawa wachumia tumbo samaki za kushibisha matumbo yao.

5. Mbowe afahamu tu kuwa, dignity is better than silver and gold.
Mwalimu Nyerere laiti angetaka kuendelea kutawala hadi kufia madarakani angeweza, kama angetaka ubilionea angeweza, lakini alichagua dignity, maana dignity ni bora kuliko vipande vya fedha. Je Mbowe anadhani hana role ya kuplay ktk nchi hii mpaka awe katika nafasi za uongozi au cheo?, la hasha, huyu ni mtu mwenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa mbele ya umma, sasa kwa nini ashawishiwe au kushawishika kuiharibu dignity yake kwa sababu ya maslahi binafsi?

6. Kabla Mbowe hajawaza kuisaliti CHADEMA akumbuke tu ni nani alimuweka jela, je ni wanachadema au CCM?
Hii kitu ndugu Mbowe lazima ajitafakari sana. Je ni nani alimpa heshima kwa miaka zaidi ya 30, Je ni wanaCCM au wanaCHADEMA?. Je ni nani alimpigania kila kukicha kwenye kupaza sauti ili atoke jela, je ni CCM au ni CHADEMA?. Sasa inakuwaje leo anataka kuiumiza CHADEMA na kuipa unafuu wa kisiasa CCM?.

MWISHO:
Mimi nataka nimkumbushe tu ndugu Mbowe kuwa , Mwenyezi Mungu kupitia vitabu vitakatifu ameonya vikali kuhusu usaliti, hongo, hila na hali ya kurudi nyuma katika mapambano ya kuodoa udhalimu. Amana ambayo Watanzania wameiweka kwa Mbowe kwa miaka 30 ni kubwa sana, Mwenyezi Mungu amelishuhudia hili. Kushiriki au kula njama kuidhoofisha CHADEMA ni kuvunja amana na Mwenyezi Mungu ndiye Mlipaji,
Ndugu Mbowe kama una nia au lengo la kuweka maslahi yako binafsi juu ya taasisi ya CHADEMA kwa kufanya kitendo chochote kitakachokwamisha chama hicho basi Mwenyezi Mungu atakuhukumu kwa hukumu stahiki. Maana wanaCHADEMA walikupa imani na amana, tafadhali lifahamu hilo!
Muacheni mzee apumzike basi. Pambanane wenyewe, mlikuwa mnakitaka chama cha nini?
 
Hotuba ya mwisho ya Mbowe alisisitiza viongozi wapya kutibu majeraha ya wanachama na wasijidanganye kama hakuna kitu kilichotokea, wawaunganishe wawe kitu kimoja. Lakini mwisho alisema anaenda kupumzika siasa na kuendelea na biashara zake.

Haya mengine ni wajibu wa CDM kuyaweka sawa
 
Chama kijengwe, ikishindikana aliyeshindwa ni mwenyekiti sio anayekihujumu. Mbowe mwenyewe alipigana na hujuma, sidhani kama ilikuwa rahisi kukiongoza Chadema kwa miaka aliyokiongoza. Mambo ya sababu ni yule hayana mashiko, kama Chama kikiimarika sifa ni kwa mwenyekiti vile vile kikianguka lawama ni zake.
Kama ni gerezani amesota sana. Sasa huyu mwenyekiti wao wanamuonea huruma, matatizo yawe ya Mbowe halafu sifa kwa mwenyekiti, hii haiwezekani.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Lissu alitoa tamko akiwa gerezani? Mbona kuna ndugu yake alikwenda kumtembelea na swali kubwa alilomuuliza ni Mbowe alipomtembelea walizungumza nini au alikuwa na lengo gani, na Lissu akajibu kuwa ziara yake ilikuwa na nia ya kumjulia hali tu? Kuwa walizungumza mambo ya kawaida?
Lilitoka tamko kutoka waliomtembelea gerezani baada ya Mbowe kuwa Lissu amekataa mambo ya giza. Sasa kama hivyo ndivyo alivyowaambia ndugu zake( na sina sababu ya kupinga) basi wenzake wamemuangushia jumba bovu. Inabidi akitoka aweke wazi uhusiano wake na Mbowe.

Amandla...
 
Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo

Hio ndio Demokrasia mtu anahaki ya kufanya lolote kwa wakati wowote na akiona huku hapafai ana haki ya kwenda popote pale..., Upuuzi unakuja pale tu kama akianza kutukana kule alipotoka ila akitoka vizuri na kuendelea na maisha yake basi hio ni haki yake...

By the way Lowassa ambaye alikuwa anaitwa FISADI alivyokuja kwenu akawa shujaa..., Huyu hata ambaye hajahama ashaanza kuitwa mtu wa tamaa na atapoteza Heshima...

Kweli Unafiki na Siasa ni Chanda na Pete...
 
Mbowe alisha fanya uamzi siku nyingi alipokubali kuwa sehemu ya hadaa na ulaghai mwingi unaofanywa na mshirika wake katika maridhiano, Samia.

Haya yote unayo yazungumzia hapa, yote yalisha wekwa pembeni kwa kusaka lengo lile lile lililo adhimiwa kwenye maridhiano.
Hawezi sasa kuyakana na kuyarudisha ndani ya chupa, ili aonekane mwenye heshima na busara.
Sifa za heshima na busara siyo za kuigiza. Ukikiuka tu matakwa ya sifa hizo, tayari utakuwa umeondokana nazo.

Sasa kitakachokuwa kimebaki ni historia tu, ambayo haiwezi kufutika. Kwamba Mbowe alifanya au alikuwa....; kama hayo yote uliyo elezea hapo juu. hayo hayatapotea.

Hata akifanya maigizo ya kurudisha nyuma yoote; aonekane kama alivyokuwa mwanzo, jambo ambalo haliwezekani; lebo ya uigizaji haitakuwa mbali naye. Nani atamwamini tena!

Anachoweza kufanya sasa, ni kujiondoa kabisa, asijihusishe kwa njia yoyote na maswala ya vyama vya siasa.
Yote hayo mnazungumza bila ushahidi wowote. Na haitachukuwa muda mtawasema hivyo hivyo hao ambao leo mnawasifia.

Amandla...
 
Kwa Mbowe kila kila kilichotokea January mwaka huu ilikuwa ni SURPRISE, hakuwaza wala kutegemea, chama kilimpiga chini LIVE nchi yote ikitazama.

Mipango yake yote na matarijio ya wapambe wake ikafa rasmi, wao waliosema kwa kiburi hakuna mtu kuhama chama, leo ndio wakwanza kuhama.

Kama taasisi ilikuwa imedumaa, ilikuwa ni kwaajili ya kikundi cha watu wachache wenye malengo nje ya msinginwa chama.
 
Back
Top Bottom