PreGE2025 Je, Mbowe kuchagua Heshima au Tamaa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Asichotaka kuangalia kwa mapana ni kuwa hakuna aliyewahi kumtukana Mbowe na kumuumiza zaidi kuliko CCM, Sasa tunashangaa kuwa leo anataka kuiua CHADEMA badala ya kuunganisha nguvu na wanaCHADEMA wengine kuimaliza CCM.
Pamoja na malawama mengine yooote yaliyomwangukia Mbowe kabla ya uchaguzi; na tatizo la "UAMINI" kwamba kweli ya nyuma kaamua kuyaacha huko nyuma, akaonyesha jitihada za kufanya kazi na viongozi wapya; lingekuwa ni swala la muda tu Mbowe angeanza tena kuaminiwa na kuendelea na juhudi za kukijenga chama ili kwa kazi ya haraka kuingia madarakani ikamilike.
Hadi sasa hivi sioni tofauti za kiitikadi mpya zilizoingia ndani ya chama hicho; kwamba labda ndizo zinakwamisha 'rehabilitation' ya Mbowe ndani ya chama.
Mambo wanayosigana ni mataputapu tu yanayotokana na kuvurugwa na CCM tu! angeamua hapo hapo mara tu baada ya uchaguzi kusimama na chama na viongozi wapya kushiriki kwa dhati kuacha yote nyuma na kuthamini chama alichokitumikia kwa muda mrefu, kwa nia ya kushika madaraka, sioni kwa nini ingeshindikana viongozi wapya kushirikiana naye katika juhudi hiyo.
 
"...cult...". Hili umelitowa wapi wewe!
Tatizo lako toka mwanzo mkuu 'Fundi', huna kumbukumbu yoyote unapoandika humu na kupanga makundi kichwani mwako.
Itakuchukua muda mfupi sana ukijaribu kutazama tu kilicho andikwa huko nyuma, humu humu JF; na kujiridhisha mwenyewe juu ya misimamo ya baadhi ya watu humu.
Hata siwezi kueleza ni 'likes' ngapi tulizogawana kati yetu wewe na mimi miaka miwili mitatu tu iliyopita. Leo hii tayari unatuweka kwenye "cult..."?
Wewe ulikuwa kwenye 'cult' wakati huo; na bado unaendelea na hiyo ya kwenu?
Sasa ni hivi, mkuu, nimalizane na wewe juu ya hili la kurusha rusha tu tope hovyo:
Ukitaka kujuwa "cult" inayo nihusu mimi, hiyo moja tu, inayohusu maslahi ya nchi yetu Tanzania na wananchi wake, basi. Hakuna "cult" nyingine yoyote zaidi ya hapo.

Nenda kamwambie Samia na genge lake lote. Akibadilika leo na kuwapa waTanzania haki ya kuwachagua viongozi wanaowataka wenyewe; na achaguliwe yeye na akaacha ushetani mwingine aliozoea, njoo hapa uniite kuwa ni mfuasi wa "cult" anayoiendesha Samia!

Sasa kama bado hunielewi maelezo yangu haya, sijui nijieleze vipi tena uweze kuelewa.
Cult ni cult, Mkuu. Haijalishi tumegawana "likes" ngapi. Mnavyokataa Lissu kukosolewa kwa namna yeyote ni dhahiri kuwa mko kwenye cult. Hamna tofauti na MAGA wa Trump.

Amandla...
 
Fundi anampenda Mbowe zaidi kuliko taasisi ya CHADEMA.
Mimi sijawahi kuwa mfuasi wa Chadema. Mimi ninachokitaka ni haki ifanyike.
Yeye anaamini Mbowe katukanwa sana kwa hiyo ni sahihi atoboe mtumbwi mzima wa chama.
Katoboa vipi mtumbwi? Amekaa pembeni lakini bado mnataka kumuingiza katika matatizo mliosababisha wenyewe. Let him be.
Asichotaka kuangalia kwa mapana ni kuwa hakuna aliyewahi kumtukana Mbowe na kumuumiza zaidi kuliko CCM,
Usichoelewa ni kuwa hata wafanye nini CCM hawawezi kumuumiza Mbowe kama ambavyo wale aliokuwa nao katika mahandaki wanavyoweza. CCM ni adui zake siku zote kwa hiyo wakimuumiza hashangai. Lakini watu aliokuwa nao katika mahandaki watamuumiza kuliko CCM maana anaamini wanamjua vizuri. Lazima aumie anapoona watu kama Lissu, Heche na Lema wakiangalia tu wakati vijana wao wakimbaghaza. Mtu kama Heche ambae alifungwa nae gerezani na alimuona akikataa kutoka mpaka wale wote waliofungwa nae wanatoka. Mtu kama Lissu ambae alimpigania aende Nairobi pale alipopigwa risasi. Mtu kama Lema ambae alikuwa anapokelewa kama ndugu nyumbani kwake. Samia hata afanye nini hawezi kumuumiza kama walivyofanya hawa jamaa. Humu ndani kuna watu walikuwa wakiimba " mwamba tuvushe" leo ndio wako mstari wa mbele kumpiga madongo. Kweli shukrani ya punda ni mateke.
Sasa tunashangaa kuwa leo anataka kuiua CHADEMA badala ya kuunganisha nguvu na wanaCHADEMA wengine kuimaliza CCM.
Mbona unakuwa ndumila kuwili? Mmemuita king'ang'anizi ambae amekuwa kuwadi wa CCM. Mmesema miaka yote ya uongozi wake hawajafanyia lolote la maana ukiondoa kuwaibia hela za ruzuku. Na mkaendelea na shutuma hizo hata baada ya kukubali kushindwa katika uchaguzi na kumpisha mtu wenu. Baada ya yote hayo unamlaumu kuwa hataki kuunganisha nguvu na wale waliomkataa na kumsimanga! Unbelievable.

Kaka yake Lissu alimshauri kuwa awe magnanimous katika ushindi wake lakini hakumsikiza. Au mlitaka total capitulation? Hiyo haitatokea hata siku moja. Hiki ni chama cha Lissu na wenzake sio cha Mbowe.

Amandla...
 
Pamoja na malawama mengine yooote yaliyomwangukia Mbowe kabla ya uchaguzi; na tatizo la "UAMINI" kwamba kweli ya nyuma kaamua kuyaacha huko nyuma, akaonyesha jitihada za kufanya kazi na viongozi wapya; lingekuwa ni swala la muda tu Mbowe angeanza tena kuaminiwa na kuendelea na juhudi za kukijenga chama ili kwa kazi ya haraka kuingia madarakani ikamilike.
Mlitegemea amwangukie Lissu? Yeye ameshindwa uchaguzi, busara inasema asijipeleke kimbelembele mpaka wale waliomshinda wakimkaribisha na kuonyesha kuwa bado wanamthamini. Mbowe hahitaji kuaminiwa na chama chake. Kama baada ya yote aliyo kifanyia wanaamini kuwa ni msaliti, hata akifanya nini watatumia uungwana wake kumchapa nao. Jengeni chama chenu, yeye amemaliza.
Hadi sasa hivi sioni tofauti za kiitikadi mpya zilizoingia ndani ya chama hicho; kwamba labda ndizo zinakwamisha 'rehabilitation' ya Mbowe ndani ya chama.
Unakazania rehabilitation. Rehabilitation ya nini hiyo? Mbowe amefanya nini kiasi cha kuhitaji kuwa rehabilitated?
Mambo wanayosigana ni mataputapu tu yanayotokana na kuvurugwa na CCM tu! angeamua hapo hapo mara tu baada ya uchaguzi kusimama na chama na viongozi wapya kushiriki kwa dhati kuacha yote nyuma na kuthamini chama alichokitumikia kwa muda mrefu, kwa nia ya kushika madaraka, sioni kwa nini ingeshindikana viongozi wapya kushirikiana naye katika juhudi hiyo.
Mbowe alikuwa na uwezo wa kupinga matokeo ya uchaguzi lakini hakufanya hivyo. Alipotangazwa mshindi alimpa pongezi akaondoka. Hamna cha kuvurugwa na CCM wala nini. Wote tunajua kuwa CCM inafurahia yanayoendelea CDM. Wenye wajibu wa kuyaponya majeraha na kuunganisha chama ni uongozi uliopo madarakani na sio mwingine.

Lakini badala ya kufanya hivyo wameendekeza visasi na kutaka wasujudiwe. Hao vijana wa CDM wanapata wapi uthubutu wa kuwatukana watu kama Ruge, Mwalimu, Kigaila,Mrema n.k.? Wanapata wapi uthubutu wa kumtukana matusi ya nguoni Mbowe? Badala ya kuwaambia waache, mnataka Mbowe awaangukie! Kwa kweli nyie ni watu wa ajabu sana.

Amandla...
 
Inasikitisha sana. Mbowe amekuwa mhanga wa mafanikio yake makubwa (a victim of his own momentous success).

Amejenga chama imara cha upinzani ambacho nguvu zake za upinzani zimekua kuzidi matarajio yake kiasi cha kumtikisa mwenyewe katika uongozi wake. Imefikia hatua ambapo malengo yake katika chama hicho yanatiliwa mashaka na kuandamwa na tuhuma kadhaa.

Ninaamini kabisa kuwa hata Mbowe kama alitetereka baadaye, lakini alianza na nia ya dhati kabisa ya kujenga upinzani wa maana utakaokomboa taifa hili toka kwenye udikteta wa kidola unaokwamisha maendeleo na ufanisi wa taifa hili.

Inawezekana sana baada ya CHADEMA kujengeka na kuimarika kiasi cha kuwa tishio, akapewa wazo (baya) la kuutumia mtaji huo kuvuna mafao - kabla ya mambo kuharibika. Wajasiriamali wanaita cashing in on a ripe investment. Na hii huenda ni kutokana na kuamini kuwa upinzani hautawezi kufanikiwa nchini hasa kipindi cha awamu ya nne kilichokatisha tamaa sana na kuzusha uvumi wa mtu kuwa "rais wa maisha" aliyeazimia kuua upinzani nchini.

Yawezekana yote haya ni uzushi usio maana.

Yote kwa yote, legacy ya Mbowe kwenye siasa na ujenzi wa upinzani Tanzania ni kubwa sana. Itadumu kwenye historia ya taifa hili. He remains a political giant in this godforsaken country.
 
Cult ni cult, Mkuu. Haijalishi tumegawana "likes" ngapi. Mnavyokataa Lissu kukosolewa kwa namna yeyote ni dhahiri kuwa mko kwenye cult. Hamna tofauti na MAGA wa Trump.

Amandla...
Basi wewe huwezekani, kama bado hunielewi ninachokueleza. Baki na Mbowe wako vyovyote utakavyo mwenyewe. Afterall, hakuna anayekukataza kuwa mfuasi wake; yeye akiwa kiongozi wa 'cult' unayoisujudia wewe.

Uzuri ni mmoja, Mbowe sasa ni 'inconsequential' kwa kwenda mbele.
 
Mlitegemea amwangukie Lissu? Yeye ameshindwa uchaguzi, busara inasema asijipeleke kimbelembele mpaka wale waliomshinda wakimkaribisha na kuonyesha kuwa bado wanamthamini. Mbowe hahitaji kuaminiwa na chama chake. Kama baada ya yote aliyo kifanyia wanaamini kuwa ni msaliti, hata akifanya nini watatumia uungwana wake kumchapa nao. Jengeni chama chenu, yeye amemaliza.

Unakazania rehabilitation. Rehabilitation ya nini hiyo? Mbowe amefanya nini kiasi cha kuhitaji kuwa rehabilitated?

Mbowe alikuwa na uwezo wa kupinga matokeo ya uchaguzi lakini hakufanya hivyo. Alipotangazwa mshindi alimpa pongezi akaondoka. Hamna cha kuvurugwa na CCM wala nini. Wote tunajua kuwa CCM inafurahia yanayoendelea CDM. Wenye wajibu wa kuyaponya majeraha na kuunganisha chama ni uongozi uliopo madarakani na sio mwingine.

Lakini badala ya kufanya hivyo wameendekeza visasi na kutaka wasujudiwe. Hao vijana wa CDM wanapata wapi uthubutu wa kuwatukana watu kama Ruge, Mwalimu, Kigaila,Mrema n.k.? Wanapata wapi uthubutu wa kumtukana matusi ya nguoni Mbowe? Badala ya kuwaambia waache, mnataka Mbowe awaangukie! Kwa kweli nyie ni watu wa ajabu sana.

Amandla...
Nashawishika sana kukujibu yote haya, ambay majibu yake mazuri tu yapo., lakini nimekwisha tambua ni kazi bure kujibu lolote toka kwa mtu kama wewe amabye naona kushindwa kwa Mbowe kumekuathiri pakubwa sana.
Inaonekana ni wewe unaumia zaidi kwa Mbowe kushindwa zaidi Mbowe mwenyewe.
 
Ninaamini kabisa kuwa hata Mbowe kama alitetereka baadaye, lakini alianza na nia ya dhati kabisa ya kujenga upinzani wa maana utakaokomboa taifa hili toka kwenye udikteta wa kidola unaokwamisha maendeleo na ufanisi wa taifa hili.
Nani anao uthubutu wa kuhoji pointi ya aina hii; bila ya 'qualification' ya maneno "kama alitetereka baadae"!
Wengi wetu tuliamini hivyo, hadi hapo alipowekwa gerezani kwa mashtaka ya ajabu kabisa; na baada ya kutokaa huko hali ikageuka moja kwa moja.
Mbowe wa kabla ya kesi na gerezani na baada ya hapo ni Mbowe mwingine kabisa aliye jenga chama kama ulivyo kielezea. Yale mazungumzo ya maridhiano ilikuwa sumu mbaya sana aliyowahi kuionja Mbowe; na kwa kweli ilimmaliza kisiasa.

Hebu kwanza tuwe wakweli. Ile kesi ya ugaidi, lengo lake lilikuwa nini hasa? Hadi leo hii sijapata nafasi ya kusoma maoni yakifafanua kwa nini kesi kama ile ilimkabili Mbowe.
Sijui utofauti wa kesi ile na hii ya sasa inayomkabili Tundu Lissu.
Ni bahati mbaya sana ule mtego ulimnasa Mbowe. Sasa sijui kama hii nayo itamnasa Tundu Lissu. Hapana, siamini katika hilo hata mara moja.
 
Yote kwa yote, legacy ya Mbowe kwenye siasa na ujenzi wa upinzani Tanzania ni kubwa sana. Itadumu kwenye historia ya taifa hili. He remains a political giant in this godforsaken country.
Only if he stays clear of games designed to undermine potential political parties that can replace CCM. Otherwise he will go down as a villain.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja.

Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza upinzani nchini.

Leo tunaambiwa kuwa yeye ndiye kiongozi anayeogoza genge la kukihujumu chama chake cha CHADEMA, Chama alichokijenga kwa jasho kubwa. Hii hali siyo kwamba inasikitisha na kuhuzunisha lakini kwa kiwango kikubwa inamharibia sifa na Legacy yake.
Pengine nitumie fursa hii kumueleza Mbowe mambo yafuatayo:

1. Je anachagua kuua mtoto wake mwenyewe (CHADEMA) ili kufuata masharti ya mganga (CCM)?

Kama nilivyoeleza, CHADEMA ina jasho jingi tu la Mbowe, itakuwa ni ajabu Mbowe kula njama za kuitoa kafara CHADEMA kwa ajili ya kupata utajiri wa kafara. Kwa kweli Jamii ya Watanzania itahuzunishwa, itachukizwa na kwa kweli itamuondolea heshima kubwa aliyojijengea kwa maka zaidi ya 30 kwenye medani ya siasa za mabadiliko nchini. Move ya kuiua CHADEMA itahesabika kama tamaa na ubinafsi uliopitiliza na kwa kweli Mbowe hatopata heshima kwa kula njama za kuia CHADEMA.

2. Iwapo Mbowe atashiriki kuiua CHADEMA ni kweli atapata fedha lakini atakuwa amewadhulumu watanzania kwa kiwango kikubwa sana.

Nimjulishe tu Mbowe kuwa kujaribu kuidhoofisha CHADEMA kweli kunaweza kumpa yeye pesa , lakini ajue tu kuwa pesa hizo kimsingi zitatokana na pesa zilizokwapuliwa na mafisadi kutoka kwa Watanzania, ama kupitia kodi zao, au kutokana na hongo mafisadi waliyopata kutokana na wao kuuza rasilimali za nchi yetu kwa mikataba ya kilaghai (kama kuuza bandari zetu kwa mikataba mibovu). Hiyo itakuwa ni dhambi kubwa na kwa kweli Mbowe atajibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa ulaghai na kushiriki kuwahujumu Watanzania kwa maslahi binafsi.

3. Mbowe akumbuke tu watu waliomwaga damu zao kwa ajili ya Mabadiliko na CHADEMA. Je yuko tayari kuwasaliti wote hawa kwa ajili ya vipande 30 vya fedha za mafisadi?

Kuna watu wamemwaga damu zaokwa ajili ya mabadiliko nchini hususana kwa ajili ya ustawi wa CHADEMA. Orodha ni ndefu, lakini hebu twambie, Mbowe atamueleza nini Alphonse Mawazo, Elias Michael, Ben Saanane, Deusdedith Soka, Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na wengine wengi tu waliotekwa na kupotezwa kwa kudai haki na mabadiliko ya kweli nchini wakiwa ni wanachamama wa CHADEMA, iwapo Mbowe atakuwa msitari wa mbele kukisaliti chama chake yeye mwenyewe?.

4. Mbowe ajue tu kuwa Wachumia tumbo waliokuwa wanakula kwa mgongo wake bado wanataka kumtumia ili waendelee kula kupitia yeye, astuke!.

Wachumia tumbo wote aliowapa vyeo ndani ya sekretariat ya CHADEMA, waliowekwa pembeni na uongozi mpya, njaa zao zimeanza kuchachamaa zaidi. Walizoea pesa laini laini za kujichotea ndani ya chama, na kwa kuwa Mbowe hakuwa mkali juu yao, au aliwakingia kifua basi leo dili zimekata na hivyo wanatafuuta namna nyingine ya kupata hela rahisi. Hivyo wachumia tumbo hawa bado wanataka kumtumia Mbowe, wanajaribu kutumia star power yake ili iwe kama ngazi ya kuendelea kula pesa za CCM. Mbowe inabidi astuke, asitumike kama nyavu ya kuwavulia hawa wachumia tumbo samaki za kushibisha matumbo yao.

5. Mbowe afahamu tu kuwa, dignity is better than silver and gold.
Mwalimu Nyerere laiti angetaka kuendelea kutawala hadi kufia madarakani angeweza, kama angetaka ubilionea angeweza, lakini alichagua dignity, maana dignity ni bora kuliko vipande vya fedha. Je Mbowe anadhani hana role ya kuplay ktk nchi hii mpaka awe katika nafasi za uongozi au cheo?, la hasha, huyu ni mtu mwenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa mbele ya umma, sasa kwa nini ashawishiwe au kushawishika kuiharibu dignity yake kwa sababu ya maslahi binafsi?

6. Kabla Mbowe hajawaza kuisaliti CHADEMA akumbuke tu ni nani alimuweka jela, je ni wanachadema au CCM?
Hii kitu ndugu Mbowe lazima ajitafakari sana. Je ni nani alimpa heshima kwa miaka zaidi ya 30, Je ni wanaCCM au wanaCHADEMA?. Je ni nani alimpigania kila kukicha kwenye kupaza sauti ili atoke jela, je ni CCM au ni CHADEMA?. Sasa inakuwaje leo anataka kuiumiza CHADEMA na kuipa unafuu wa kisiasa CCM?.

MWISHO:
Mimi nataka nimkumbushe tu ndugu Mbowe kuwa , Mwenyezi Mungu kupitia vitabu vitakatifu ameonya vikali kuhusu usaliti, hongo, hila na hali ya kurudi nyuma katika mapambano ya kuodoa udhalimu. Amana ambayo Watanzania wameiweka kwa Mbowe kwa miaka 30 ni kubwa sana, Mwenyezi Mungu amelishuhudia hili. Kushiriki au kula njama kuidhoofisha CHADEMA ni kuvunja amana na Mwenyezi Mungu ndiye Mlipaji,
Ndugu Mbowe kama una nia au lengo la kuweka maslahi yako binafsi juu ya taasisi ya CHADEMA kwa kufanya kitendo chochote kitakachokwamisha chama hicho basi Mwenyezi Mungu atakuhukumu kwa hukumu stahiki. Maana wanaCHADEMA walikupa imani na amana, tafadhali lifahamu hilo!
Mbowe hana heshima yoyote, siye tunayemjuwa tulishasema kitambo kuwa jamaa ni msanii tu na si mpinzani wa ukweli, yaani alikuwa anaigiza huku akijiingizia hela na kutumbua na machangu wake wa chuo Kikuu na wale waliopo ndani ya chama. hakika nimefurahi sana bada ya yeye kuangushwa na Lissu.
 
Tamaa ndiyo imemponza Mbowe, jamaa alikuwa mwizi wa wazi wazi kabisa na ndiyo maana alipoenguliwa alilia sana kwa sababu alishajuwa siri zake zitabainika. Mbowe killed chadema na ndiyo maana ilikuwa haina mvuto ila kwa sasa ile heshima itarudi chini ya Lissu.
 
Mimi sijawahi kuwa mfuasi wa Chadema. Mimi ninachokitaka ni haki ifanyike.

Katotaan vipi mtumbwi? Amekaa pembeni lakini bado mnataka kumuingiza katika matatizo mliosababisha wenyewe. Let him be.

Usichoelewa ni kuwa hata wafanye nini CCM hawawezi kumuumiza Mbowe kama ambavyo wale aliokuwa nao katika mahandaki wanavyoweza. CCM ni adui zake siku zote kwa hiyo wakimuumiza hashangai. Lakini watu aliokuwa nao katika mahandaki watamuumiza kuliko CCM maana anaamini wanamjua vizuri. Lazima aumie anapoona watu kama Lissu, Heche na Lema wakiangalia tu wakati vijana wao wakimbaghaza. Mtu kama Heche ambae alifungwa nae gerezani na alimuona akikataa kutoka mpaka wale wote waliofungwa nae wanatoka. Mtu kama Lissu ambae alimpigania aende Nairobi pale alipopigwa risasi. Mtu kama Lema ambae alikuwa anapokelewa kama ndugu nyumbani kwake. Samia hata afanye nini hawezi kumuumiza kama walivyofanya hawa jamaa. Humu ndani kuna watu walikuwa wakiimba " mwamba tuvushe" leo ndio wako mstari wa mbele kumpiga madongo. Kweli shukrani ya punda ni mateke.

Mbona unakuwa ndumila kuwili? Mmemuita king'ang'anizi ambae amekuwa kuwadi wa CCM. Mmesema miaka yote ya uongozi wake hawajafanyia lolote la maana ukiondoa kuwaibia hela za ruzuku. Na mkaendelea na shutuma hizo hata baada ya kukubali kushindwa katika uchaguzi na kumpisha mtu wenu. Baada ya yote hayo unamlaumu kuwa hataki kuunganisha nguvu na wale waliomkataa na kumsimanga! Unbelievable.

Kaka yake Lissu alimshauri kuwa awe magnanimous katika ushindi wake lakini hakumsikiza. Au mlitaka total capitulation? Hiyo haitatokea hata siku moja. Hiki ni chama cha Lissu na wenzake sio cha Mbowe.

Amandla...
Hili linashangaza kwa kweli. Mbowe akijifanya kuwa karibu na CDM kutakuwa na maneno mengi ya kuhujumu chama. Alishapewa cheo cha mzee wa chama. Anasubiri mwaliko pale atakapohitajika.
 
Basi wewe huwezekani, kama bado hunielewi ninachokueleza. Baki na Mbowe wako vyovyote utakavyo mwenyewe. Afterall, hakuna anayekukataza kuwa mfuasi wake; yeye akiwa kiongozi wa 'cult' unayoisujudia wewe.

Uzuri ni mmoja, Mbowe sasa ni 'inconsequential' kwa kwenda mbele.
Sasa kama Mbowe ni inconsequential kwa nini bado anaishi vichwani mwenu? Hajasema lolote lakini hamna dakika inayopita bila chawa wa Lissu kumtaja! Muacheni apumzike.

Amandla...
 
1746764075268.png
 
Nashawishika sana kukujibu yote haya, ambay majibu yake mazuri tu yapo., lakini nimekwisha tambua ni kazi bure kujibu lolote toka kwa mtu kama wewe amabye naona kushindwa kwa Mbowe kumekuathiri pakubwa sana.
Inaonekana ni wewe unaumia zaidi kwa Mbowe kushindwa zaidi Mbowe mwenyewe.
Hapo ndipo unapo kosea. Sina tatizo na kushindwa kwa Mbowe. Tatizo ni namna alivyoshindwa. Kulikuwa hakuna haja ya kumchafua na kumzushia uongo ili mumshinde. Wengi wetu tulimwamini sana Lissu mpaka alipoonyesha rangi yake halisi katika kampeni yake dhidi ya Mbowe. Kampeni ambayo, unfortunately, anaendelea nayo. Na members wa cult yake mnashindwa kuona tatizo kwenye hilo.

Amandla...
 
Ninafurahishwa sana na wanaCHADEMA wanavyoraruana. Mimi ninashauri Mbowe avuliwe uanachama.
Kwa mtu uliyezoea utamaduni wa “nidhamu ya chama” na kutukuza “fikra sahihi” za mwenyekiti, (mambo ya enzi za Kingunge), huwezi kuelewa yanayoendelea CHADEMA.

Mambo ya “critical analysis” na viongozi kupigwa critique ya nguvu na wadau hayawezekani CCM. Ni kama kumkosoa Kiduku wa Korea ya Kaskazini. Lazima ufurahie CHADEMA “wanavyoraruana”.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja.

Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza upinzani nchini.

Leo tunaambiwa kuwa yeye ndiye kiongozi anayeogoza genge la kukihujumu chama chake cha CHADEMA, Chama alichokijenga kwa jasho kubwa. Hii hali siyo kwamba inasikitisha na kuhuzunisha lakini kwa kiwango kikubwa inamharibia sifa na Legacy yake.
Pengine nitumie fursa hii kumueleza Mbowe mambo yafuatayo:

1. Je anachagua kuua mtoto wake mwenyewe (CHADEMA) ili kufuata masharti ya mganga (CCM)?

Kama nilivyoeleza, CHADEMA ina jasho jingi tu la Mbowe, itakuwa ni ajabu Mbowe kula njama za kuitoa kafara CHADEMA kwa ajili ya kupata utajiri wa kafara. Kwa kweli Jamii ya Watanzania itahuzunishwa, itachukizwa na kwa kweli itamuondolea heshima kubwa aliyojijengea kwa maka zaidi ya 30 kwenye medani ya siasa za mabadiliko nchini. Move ya kuiua CHADEMA itahesabika kama tamaa na ubinafsi uliopitiliza na kwa kweli Mbowe hatopata heshima kwa kula njama za kuia CHADEMA.

2. Iwapo Mbowe atashiriki kuiua CHADEMA ni kweli atapata fedha lakini atakuwa amewadhulumu watanzania kwa kiwango kikubwa sana.

Nimjulishe tu Mbowe kuwa kujaribu kuidhoofisha CHADEMA kweli kunaweza kumpa yeye pesa , lakini ajue tu kuwa pesa hizo kimsingi zitatokana na pesa zilizokwapuliwa na mafisadi kutoka kwa Watanzania, ama kupitia kodi zao, au kutokana na hongo mafisadi waliyopata kutokana na wao kuuza rasilimali za nchi yetu kwa mikataba ya kilaghai (kama kuuza bandari zetu kwa mikataba mibovu). Hiyo itakuwa ni dhambi kubwa na kwa kweli Mbowe atajibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa ulaghai na kushiriki kuwahujumu Watanzania kwa maslahi binafsi.

3. Mbowe akumbuke tu watu waliomwaga damu zao kwa ajili ya Mabadiliko na CHADEMA. Je yuko tayari kuwasaliti wote hawa kwa ajili ya vipande 30 vya fedha za mafisadi?

Kuna watu wamemwaga damu zaokwa ajili ya mabadiliko nchini hususana kwa ajili ya ustawi wa CHADEMA. Orodha ni ndefu, lakini hebu twambie, Mbowe atamueleza nini Alphonse Mawazo, Elias Michael, Ben Saanane, Deusdedith Soka, Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na wengine wengi tu waliotekwa na kupotezwa kwa kudai haki na mabadiliko ya kweli nchini wakiwa ni wanachamama wa CHADEMA, iwapo Mbowe atakuwa msitari wa mbele kukisaliti chama chake yeye mwenyewe?.

4. Mbowe ajue tu kuwa Wachumia tumbo waliokuwa wanakula kwa mgongo wake bado wanataka kumtumia ili waendelee kula kupitia yeye, astuke!.

Wachumia tumbo wote aliowapa vyeo ndani ya sekretariat ya CHADEMA, waliowekwa pembeni na uongozi mpya, njaa zao zimeanza kuchachamaa zaidi. Walizoea pesa laini laini za kujichotea ndani ya chama, na kwa kuwa Mbowe hakuwa mkali juu yao, au aliwakingia kifua basi leo dili zimekata na hivyo wanatafuuta namna nyingine ya kupata hela rahisi. Hivyo wachumia tumbo hawa bado wanataka kumtumia Mbowe, wanajaribu kutumia star power yake ili iwe kama ngazi ya kuendelea kula pesa za CCM. Mbowe inabidi astuke, asitumike kama nyavu ya kuwavulia hawa wachumia tumbo samaki za kushibisha matumbo yao.

5. Mbowe afahamu tu kuwa, dignity is better than silver and gold.
Mwalimu Nyerere laiti angetaka kuendelea kutawala hadi kufia madarakani angeweza, kama angetaka ubilionea angeweza, lakini alichagua dignity, maana dignity ni bora kuliko vipande vya fedha. Je Mbowe anadhani hana role ya kuplay ktk nchi hii mpaka awe katika nafasi za uongozi au cheo?, la hasha, huyu ni mtu mwenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa mbele ya umma, sasa kwa nini ashawishiwe au kushawishika kuiharibu dignity yake kwa sababu ya maslahi binafsi?

6. Kabla Mbowe hajawaza kuisaliti CHADEMA akumbuke tu ni nani alimuweka jela, je ni wanachadema au CCM?
Hii kitu ndugu Mbowe lazima ajitafakari sana. Je ni nani alimpa heshima kwa miaka zaidi ya 30, Je ni wanaCCM au wanaCHADEMA?. Je ni nani alimpigania kila kukicha kwenye kupaza sauti ili atoke jela, je ni CCM au ni CHADEMA?. Sasa inakuwaje leo anataka kuiumiza CHADEMA na kuipa unafuu wa kisiasa CCM?.

MWISHO:
Mimi nataka nimkumbushe tu ndugu Mbowe kuwa , Mwenyezi Mungu kupitia vitabu vitakatifu ameonya vikali kuhusu usaliti, hongo, hila na hali ya kurudi nyuma katika mapambano ya kuodoa udhalimu. Amana ambayo Watanzania wameiweka kwa Mbowe kwa miaka 30 ni kubwa sana, Mwenyezi Mungu amelishuhudia hili. Kushiriki au kula njama kuidhoofisha CHADEMA ni kuvunja amana na Mwenyezi Mungu ndiye Mlipaji,
Ndugu Mbowe kama una nia au lengo la kuweka maslahi yako binafsi juu ya taasisi ya CHADEMA kwa kufanya kitendo chochote kitakachokwamisha chama hicho basi Mwenyezi Mungu atakuhukumu kwa hukumu stahiki. Maana wanaCHADEMA walikupa imani na amana, tafadhali lifahamu hilo!
Freeman Mbowe atafuata nyayo za Lyatonga Mrema ?

Mrema baada ya kukiwasha mwaka 1995 akiwa na NCCR mageuzi baadaye alitimkia TLP. FAM atategua kitendawili hiki ?
 
Nani anao uthubutu wa kuhoji pointi ya aina hii; bila ya 'qualification' ya maneno "kama alitetereka baadae"!
Wengi wetu tuliamini hivyo, hadi hapo alipowekwa gerezani kwa mashtaka ya ajabu kabisa; na baada ya kutokaa huko hali ikageuka moja kwa moja.
Mbowe wa kabla ya kesi na gerezani na baada ya hapo ni Mbowe mwingine kabisa aliye jenga chama kama ulivyo kielezea. Yale mazungumzo ya maridhiano ilikuwa sumu mbaya sana aliyowahi kuionja Mbowe; na kwa kweli ilimmaliza kisiasa.

Hebu kwanza tuwe wakweli. Ile kesi ya ugaidi, lengo lake lilikuwa nini hasa? Hadi leo hii sijapata nafasi ya kusoma maoni yakifafanua kwa nini kesi kama ile ilimkabili Mbowe.
Sijui utofauti wa kesi ile na hii ya sasa inayomkabili Tundu Lissu.
Ni bahati mbaya sana ule mtego ulimnasa Mbowe. Sasa sijui kama hii nayo itamnasa Tundu Lissu. Hapana, siamini katika hilo hata mara moja.
Mkuu naomba nipe mwanga zaidi wa tafakuri.

Inawezekana Mbowe awe alikuwa na mpango tangu awali wa kujenga CHADEMA tishio kisha kuitumia kama bargaining chip na watawala wa CCM ili apate mafao mazito? Naona wasiompenda Mbowe wanaona alikuwa msaliti toka mwanzo! (I do not believe this).

AU njiani, miaka ilivyosonga na matumaini ya CHADEMA kushika dola kufifia kabisa, akakata tamaa na kuamua kuanza kuwasiliana na vingunge wa CCM kuona vipi atanufaika akiwasaidia kuidhibiti CHADEMA kijanja. Inawezekana alianza kidogo kidogo hata kabla ya kwenda na kutoka jela. Mimi nawaza hivyo.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja.

Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza upinzani nchini.

Leo tunaambiwa kuwa yeye ndiye kiongozi anayeogoza genge la kukihujumu chama chake cha CHADEMA, Chama alichokijenga kwa jasho kubwa. Hii hali siyo kwamba inasikitisha na kuhuzunisha lakini kwa kiwango kikubwa inamharibia sifa na Legacy yake.
Pengine nitumie fursa hii kumueleza Mbowe mambo yafuatayo:

1. Je anachagua kuua mtoto wake mwenyewe (CHADEMA) ili kufuata masharti ya mganga (CCM)?

Kama nilivyoeleza, CHADEMA ina jasho jingi tu la Mbowe, itakuwa ni ajabu Mbowe kula njama za kuitoa kafara CHADEMA kwa ajili ya kupata utajiri wa kafara. Kwa kweli Jamii ya Watanzania itahuzunishwa, itachukizwa na kwa kweli itamuondolea heshima kubwa aliyojijengea kwa maka zaidi ya 30 kwenye medani ya siasa za mabadiliko nchini. Move ya kuiua CHADEMA itahesabika kama tamaa na ubinafsi uliopitiliza na kwa kweli Mbowe hatopata heshima kwa kula njama za kuia CHADEMA.

2. Iwapo Mbowe atashiriki kuiua CHADEMA ni kweli atapata fedha lakini atakuwa amewadhulumu watanzania kwa kiwango kikubwa sana.

Nimjulishe tu Mbowe kuwa kujaribu kuidhoofisha CHADEMA kweli kunaweza kumpa yeye pesa , lakini ajue tu kuwa pesa hizo kimsingi zitatokana na pesa zilizokwapuliwa na mafisadi kutoka kwa Watanzania, ama kupitia kodi zao, au kutokana na hongo mafisadi waliyopata kutokana na wao kuuza rasilimali za nchi yetu kwa mikataba ya kilaghai (kama kuuza bandari zetu kwa mikataba mibovu). Hiyo itakuwa ni dhambi kubwa na kwa kweli Mbowe atajibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa ulaghai na kushiriki kuwahujumu Watanzania kwa maslahi binafsi.

3. Mbowe akumbuke tu watu waliomwaga damu zao kwa ajili ya Mabadiliko na CHADEMA. Je yuko tayari kuwasaliti wote hawa kwa ajili ya vipande 30 vya fedha za mafisadi?

Kuna watu wamemwaga damu zaokwa ajili ya mabadiliko nchini hususana kwa ajili ya ustawi wa CHADEMA. Orodha ni ndefu, lakini hebu twambie, Mbowe atamueleza nini Alphonse Mawazo, Elias Michael, Ben Saanane, Deusdedith Soka, Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na wengine wengi tu waliotekwa na kupotezwa kwa kudai haki na mabadiliko ya kweli nchini wakiwa ni wanachamama wa CHADEMA, iwapo Mbowe atakuwa msitari wa mbele kukisaliti chama chake yeye mwenyewe?.

4. Mbowe ajue tu kuwa Wachumia tumbo waliokuwa wanakula kwa mgongo wake bado wanataka kumtumia ili waendelee kula kupitia yeye, astuke!.

Wachumia tumbo wote aliowapa vyeo ndani ya sekretariat ya CHADEMA, waliowekwa pembeni na uongozi mpya, njaa zao zimeanza kuchachamaa zaidi. Walizoea pesa laini laini za kujichotea ndani ya chama, na kwa kuwa Mbowe hakuwa mkali juu yao, au aliwakingia kifua basi leo dili zimekata na hivyo wanatafuuta namna nyingine ya kupata hela rahisi. Hivyo wachumia tumbo hawa bado wanataka kumtumia Mbowe, wanajaribu kutumia star power yake ili iwe kama ngazi ya kuendelea kula pesa za CCM. Mbowe inabidi astuke, asitumike kama nyavu ya kuwavulia hawa wachumia tumbo samaki za kushibisha matumbo yao.

5. Mbowe afahamu tu kuwa, dignity is better than silver and gold.
Mwalimu Nyerere laiti angetaka kuendelea kutawala hadi kufia madarakani angeweza, kama angetaka ubilionea angeweza, lakini alichagua dignity, maana dignity ni bora kuliko vipande vya fedha. Je Mbowe anadhani hana role ya kuplay ktk nchi hii mpaka awe katika nafasi za uongozi au cheo?, la hasha, huyu ni mtu mwenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa mbele ya umma, sasa kwa nini ashawishiwe au kushawishika kuiharibu dignity yake kwa sababu ya maslahi binafsi?

6. Kabla Mbowe hajawaza kuisaliti CHADEMA akumbuke tu ni nani alimuweka jela, je ni wanachadema au CCM?
Hii kitu ndugu Mbowe lazima ajitafakari sana. Je ni nani alimpa heshima kwa miaka zaidi ya 30, Je ni wanaCCM au wanaCHADEMA?. Je ni nani alimpigania kila kukicha kwenye kupaza sauti ili atoke jela, je ni CCM au ni CHADEMA?. Sasa inakuwaje leo anataka kuiumiza CHADEMA na kuipa unafuu wa kisiasa CCM?.

MWISHO:
Mimi nataka nimkumbushe tu ndugu Mbowe kuwa , Mwenyezi Mungu kupitia vitabu vitakatifu ameonya vikali kuhusu usaliti, hongo, hila na hali ya kurudi nyuma katika mapambano ya kuodoa udhalimu. Amana ambayo Watanzania wameiweka kwa Mbowe kwa miaka 30 ni kubwa sana, Mwenyezi Mungu amelishuhudia hili. Kushiriki au kula njama kuidhoofisha CHADEMA ni kuvunja amana na Mwenyezi Mungu ndiye Mlipaji,
Ndugu Mbowe kama una nia au lengo la kuweka maslahi yako binafsi juu ya taasisi ya CHADEMA kwa kufanya kitendo chochote kitakachokwamisha chama hicho basi Mwenyezi Mungu atakuhukumu kwa hukumu stahiki. Maana wanaCHADEMA walikupa imani na amana, tafadhali lifahamu hilo!
MLIANZA OOH MBOWE HAJAENDA KUMUONA LISU----AKAENDA
SASA MMEANZA OO MBOWE ANAUA CHAMA MFYUUUUU
SI MLISHAMKATAA SASA MNALALAMA NINI MWACHENI MZEE WA WATU APUMZIKE
 
Back
Top Bottom