Hakuna jambo wanalolifanya hao wasaliti bila baraka za Mbowe ndg! Lkn Mbowe hatafanikiwa . Coz naamini ktk hili Mungu hayupo upande wake.huu ni ujinga kumlaumu mbowe kwenye kila angle bila kua na ushahidi
mbowe alikua mwenyekiti baada
uchaguzi akashindwa akakaa pembeni
lakini watu wanambebesha lawama.
uhalisia ni kwamba hata kama mbowe angekua mstari wa mbele bado wangemsakama kwa kusema bado anatawala chama .
Ulitakiwa kuyaandija haya kabla ya kumtimua uenyekiti. Kwa sasa mwenyekiti ni Lissu na ni wakati wake nae kujenga chama anavyoona yeye.Mwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja.
Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza upinzani nchini.
Leo tunaambiwa kuwa yeye ndiye kiongozi anayeogoza genge la kukihujumu chama chake cha CHADEMA, Chama alichokijenga kwa jasho kubwa. Hii hali siyo kwamba inasikitisha na kuhuzunisha lakini kwa kiwango kikubwa inamharibia sifa na Legacy yake.
Pengine nitumie fursa hii kumueleza Mbowe mambo yafuatayo:
1. Je anachagua kuua mtoto wake mwenyewe (CHADEMA) ili kufuata masharti ya mganga (CCM)?
Kama nilivyoeleza, CHADEMA ina jasho jingi tu la Mbowe, itakuwa ni ajabu Mbowe kula njama za kuitoa kafara CHADEMA kwa ajili ya kupata utajiri wa kafara. Kwa kweli Jamii ya Watanzania itahuzunishwa, itachukizwa na kwa kweli itamuondolea heshima kubwa aliyojijengea kwa maka zaidi ya 30 kwenye medani ya siasa za mabadiliko nchini. Move ya kuia CHADEMA itahesabika kama tamaa na ubinafsi uliopitiliza na kwa kweli Mbowe hatopata heshima kwa kula njama za kuia CHADEMA.
2. Iwapo Mbowe atashiriki kuiua CHADEMA ni kweli atapata fedha lakini atakuwa amewadhulumu watanzania kwa kiwango kikubwa sana.
Nimjulishe tu Mbowe kuwa kujaribu kuidhoofisha CHADEMA kweli kunaweza kumpa yeye pesa , lakini ajue tu kuwa pesa hizo kimsingi zitatokana na pesa zilizokwapuliwa na mafisadi kutoka kwa Watanzania, ama kupitia kodi zao, au kutokana na hongo mafisadi waliyopata kutokana na wao kuuza rasilimali za nchi yetu kwa mikataba ya kilaghai (kama kuuza bandari zetu kwa mikataba mibovu). Hiyo itakuwa ni dhambi kubwa na kwa kweli Mbowe atajibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa ulaghai na kushiriki kuwahujumu kwa maslahi binafsi.
3. Mbowe akumbuke tu watu waliomwaga damu zao kwa ajili ya Mabadiliko na CHADEMA. Je yuko tayari kuwasaliti wote hawa kwa ajili ya vipande 30 vya fedha za mafisadi?
Kuna watu wamemwaga damu zaokwa ajili ya mabadiliko nchini hususana kwa ajili ya ustawi wa CHADEMA. Orodha ni ndefu, lakini hebu twambie, Mbowe atamueleza nini Alphonse Mawazo, Elias Michael, Ben Saanane, Deusdedith Soka, Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na wengine wengi tu waliotekwa na kupotezwa kwa kudai hakina mabadiliko ya kweli nchini wakiwa ni wanachamama wa CHADEMA, iwapo Mbowe atakuwa msitari wa mbele kukisaliti chama chake yeye mwenyewe?
4. Mbowe ajue tu kuwa Wachumia tumbo waliokuwa wanakula kwa mgongo wake bado wanataka kumtumia ili waendelee kula kupitia yeye, astuke!.
Wachumia tumbo wote aliowapa vyeo ndani ya sekretariat ya CHADEMA, waliowekwa pembeni na uongozi mpya, njaa zao zimeanza kuchachamaa zaidi. Walizoea pesa laini laini za kujichotea ndani ya chama, na kwa kuwa Mbowe hakuwa mkali juu yao, au aliwakingia kifua basi leo dili zimekata na hivyo wanatafuuta namna nyingine ya kupata hela rahisi. Hivyo wachumia tumbo hawa bado wanataka kumtumia Mbowe, wanajaribu kutumia star power yake ili iwe kama ngazi ya kuendelea kula pesa za CCM. Mbowe inabidi astuke, asitumike kama nyavu ya kuwavulia hawa wachumia tumbo samaki za kushibisha matumbo yao.
5. Mbowe afahamu tu kuwa, dignity is better than silver and gold.
Mwalimu Nyerere laiti angetaka kuendelea kutawala hadi kufia madarakani angeweza, kama angetaka ubilionea angeweza, lakini alichagua dignity, maana dignity ni bora kuliko vipande vya fedha. Je Mbowe anadhani hana role ya kuplay ktk nchi hii mpaka awe katika nafasi za uongozi au cheo?, la hasha, huyuni mtu mwenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa mbele ya umma, sasa kwa nini ashawishiwe au kushawishika kuiharibu dignity yake kwa sababu ya maslahi binafsi?
6. Kabla Mbowe hajawaza kuisaliti CHADEMA akumbuke tu ni nani alimuweka jela, je ni wanachadema au CCM?
Hii kitu ndugu Mbowe lazima ajitafakari sana. Je ni nani alimpa heshima kwa miaka zaidi ya 30, Je ni wanaCCM au wanaCHADEMA?. Je ni nani alimpigania kila kukicha kwenye kupaza sauti ili atoke jela, je ni CCM auni CHADEMA?. Sasa inakuwaje leo anataka kuiumiza CHADEMA na kuipa unafuu wa kisiasa CCM?.
MWISHO:
Mimi nataka nimkumbushe tu ndugu Mbowe kuwa , Mwenyezi Mungu kupitia vitabu vitakatifu ameonya vikali kuhusu usaliti, hongo, hila na hali ya kurudi nyuma katika mapambano ya kuodoa udhalimu. Amana ambayo Watanzania wameiweka kwa Mbowe kwa miaka 30 ni kubwa sana, Mwenyezi Mungu amelishuhudia hili. Kushiriki au kula njama kuidhoofisha CHADEMA ni kuvunja amana na Mwenyezi Mungu ndiye Mlipaji,
Ndugu Mbowe kama una nia au lengo la kuweka maslahi yako binafsi juu ya taasisi ya CHADEMA kwa kufanya kitendo chochote kitakachokwamisha chama hicho basi Mwenyezi Mungu atakuhukumu kwa hukumu stahiki. Maana wanaCHADEMA walikupa imani na amana, tafadhali lifahamu hilo!
Huoni camp ya Mbowe ya G55 ilivyokuwa inahaha kukihujumu chama?Ulitakiwa kuyaandija haya kabla ya kumtimua uenyekiti. Kwa sasa mwenyekiti ni Lissu na ni wakati wake nae kujenga chama anavyoona yeye.
Kikimshinda aachie ngazi msisingizie Mbowe yeye keshafanya wakati wake mkamchoka mkamweka pembeni. Acheni chokochoko.
Huu ndo ukweli, lissu akishindwa asitafute mchawi . Mbowe kapambana sana, kawekwa gerezani miezi 7 kwa kesi ya ugaidi na chama hakikubomoka.Chama kijengwe, ikishindikana aliyeshindwa ni mwenyekiti sio anayekihujumu. Mbowe mwenyewe alipigana na hujuma, sidhani kama ilikuwa rahisi kukiongoza Chadema kwa miaka aliyokiongoza. Mambo ya sababu ni yule hayana mashiko, kama Chama kikiimarika sifa ni kwa mwenyekiti vile vile kikianguka lawama ni zake.
Chacha alikufa kifo Cha kawaida kama alivyokufa mtu wenu!Mleta uzi kasema wakumbukwe wote waliokufa wakitetea Chadema
Umeshahu kuwa Mbowe alipokuwa Jela ni Lissu ndiye aliyekuwa akiongoza chama na pia Lissu hakuwa na genge la kumkwamisha Mbowe. Wanachadema wote waliungana kumtetea Mbowe na kukiunganisha chama. Tofauti na sasa ambapo genge la Mbowe wanasaliti maamuzi ya vikao vya chama huku mwenyekiti akiwa jela.Huu ndo ukweli, lissu akishindwa asitafute mchawi . Mbowe kapambana sana, kawekwa gerezani miezi 7 kwa kesi ya ugaidi na chama hakikubomoka.
Leo huyu mwanaharakati kaongoza miezi saba tuu chama kimebomoka. Mbowe kaongoza zaidi ya miaka 20 chama kilikaa na umoja pamoja na hujuma zote za kufutiwa wagombea.
Hata Mbowe alihujumiwa sana, hakuwa salama. Sasa Lissu alihujumiwa kuna ajabu gani? Kama hana uwezo wa kupambana na hujuma basi uenyekiti hauwezi akaungane na mzee wa ubwabwa kuipongeza serikali ya CCM.Huoni camp ya Mbowe ya G55 ilivyokuwa inahaha kukihujumu chama?
Sasa kwanini Yule mchagga alifungwa jela? 😂Chacha alikufa kifo Cha kawaida kama alivyokufa mtu wenu!
Inawezekana chama hakikubomoka kwa kuwa Lissu alikitunza wakati Mbowe yupo gerezani?Huu ndo ukweli, lissu akishindwa asitafute mchawi . Mbowe kapambana sana, kawekwa gerezani miezi 7 kwa kesi ya ugaidi na chama hakikubomoka.
Leo huyu mwanaharakati kaongoza miezi saba tuu chama kimebomoka. Mbowe kaongoza zaidi ya miaka 20 chama kilikaa na umoja pamoja na hujuma zote za kufutiwa wagombea.
Hujuma ya safari hii ni kubwa zaidi, inahusisha sekretariat nzima iliyopita huku kukiwa na fedha za CCMHata Mbowe alihujumiwa sana, hakuwa salama. Sasa Lissu alihujumiwa kuna ajabu gani? Kama hana uwezo wa kupambana na hujuma basi uenyekiti hauwezi akaungane na mzee wa ubwabwa kuipongeza serikali ya CCM.
True, Lawama hazijengi chama.Huu ndo ukweli, lissu akishindwa asitafute mchawi . Mbowe kapambana sana, kawekwa gerezani miezi 7 kwa kesi ya ugaidi na chama hakikubomoka.
Leo huyu mwanaharakati kaongoza miezi saba tuu chama kimebomoka. Mbowe kaongoza zaidi ya miaka 20 chama kilikaa na umoja pamoja na hujuma zote za kufutiwa wagombea.
Mlai (Mlay) si alikuwa dereva tu. Alifungwa kutokana na uendeshaji gari kizembe.Sasa kwanini Yule mchagga alifungwa jela? 😂
Mkuu, kiongozi ni mwenyekiti hata akiwa jela. Lissu alikuwa makamu mwenyekiti na maamuzi yote yalifanyika kwa uongozi wa Mbowe.Umeshahu kuwa Mbowe alipokuwa Jela ni Lissu ndiye aliyekuwa akiongoza chama na pia Lissu hakuwa na genge la kumkwamisha Mbowe. Wanachadema wote waliungana kumtetea Mbowe na kukiunganisha chama. Tofauti na sasa ambapo genge la Mbowe wanasaliti maamuzi ya vikao vya chama huku mwenyekiti akiwa jela.
Kilaza ktk ubora wakohuu ni ujinga kumlaumu mbowe kwenye kila angle bila kua na ushahidi
mbowe alikua mwenyekiti baada
uchaguzi akashindwa akakaa pembeni
lakini watu wanambebesha lawama.
uhalisia ni kwamba hata kama mbowe angekua mstari wa mbele bado wangemsakama kwa kusema bado anatawala chama .
Kwani Mbowe alikuwa na ugomvi na Chacha?Mlai (Mlay) si alikuwa dereva tu. Alifungwa kutokana na uendeshaji gari kizembe.
Hizi hadithi za kutunga zilikuwa zina lengo la kumchafua Mbowe wakati ule!
HAPANA!Kwani Mbowe alikuwa na ugomvi na Chacha?
Lema hakumsaliti Mbowe ila alimwambia mapema kuwa hatamuunga mkono!mlimkataa Sasa mna haha kwambieni lema aliye gawanya chama kwa ftna yule alie msaliti mbowe
angali mbowe alijua huyu ni mwezangu kumbe angepigwa busu la usaliti.
mana haha maana mnajua bila mbowe hakuna Chadema.