Je, Lissu yupo nchini?

Yani ukisikia shetani wa jf Ndio mtu Kama wewe kwahiyo mliompiga risasi hamna hatia ila mwenye hatia ni aliepigwa risasi na aliemuokoa doh aisee kisasi chenu kitakua kibaya Sana kwasababu kitachanganya na hasira pia maana mnawaza ushetani.
CC:Kipara Kipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msiye mpenda kaja sasa kazi kwenu wana wa shetani
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu na vigogo wengine wa chama hicho wamefanya kikao chao cha kwanza tangu Uongozi mpya uingie madarakani.

Kikao hicho kimefanyikia jijini Nairobi nchini Kenya.

Source Mwananchi!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika mungu ni mkubwa sana na daima hamfichi mnafiki sasa naona mnajitoa hadharani kuwa nyinyi ndiyo mliyo husika na mateso yake mh Lissu.
Chuma hicho hutaki kanywe sumu.
Bora shetani wa kudhuru mtu mmoja kuliko yule wa kuangamiza taifa zima na vizazi vijavyo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi sasa watu wanateseka sana na kuweweseka kisa kuona picha za mh Lissu Makamu wa mwenyekiti wa cdm.

Je tayari amesha tua hapa nchini? Tafadhali tupeane habariView attachment 1327501View attachment 1327502

Sent using Jamii Forums mobile app
Chonde chonde jamani kwa wale wanaoupenda uhai wao! Huyu haguswi tena! Hivi mjue wale walioshiriki kurusha 38 bullets wako wapi? wamekufa wote!
Hivi unajua kuwa hata jini la magogoni linaweweseka baada kujua hajafa na kupata taarifa za kufa kiaina yale mashetani yaliyotumwa?
Jini la magogoni halishirikiani tena na yule "si riziki" wa jijini kwa vile masangoma aliowaleta walimuangusha!!
Somo: Hagusiki tena! Hakuna ubishi ndiye 2020 President wa JMT.
 
Ukweli usiyo na chembe ya mashaka mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umesomeka Kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…