Je, Lissu yupo nchini?

Je, Lissu yupo nchini?

Mimi nimekurupuka lakini mwenzangu zaidi mpaka umefungua uzi hujui vice-chairman yuko wapi.ushauri wa bure wacha kugida kangara!
Nimekuona pale lumumba ukiingia kwa mbwembwe na huku umepigilia suti yako
tapatalk_1567627458569.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si alisema usalama wake uko hatarini? Au alikuwa anachezesha kwata wanasaccos wa Chadema ili aendelee kula ruzuku za chama huko kwa mabeberu Ubelgiji??
Hata akila ruzuku inakuuma nini wewe wana uvccm? jama zenu pamoja na shetani zilishindwa
 
Back
Top Bottom