ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,850
App ya "Likee" hiyo inafanya vitu vyake?
Labda Rais wa Kilimanjaro! Na huyo Chief ni wa Same mkuu!!
Mchawi sio mpaka upae na ungo.Si alisema usalama wake uko hatarini? Au alikuwa anachezesha kwata wanasaccos wa Chadema ili aendelee kula ruzuku za chama huko kwa mabeberu Ubelgiji??
Si vibaya na haina shida mtu akiamua kuota ndoto mchana ni vizuri sana lakini CDM au chochote kuchukua uongozi wa Tz mbali na CCM bado saaana.
Bahati mbaya huwa mnasahau mapema. By the way, huo Urais ungekuwa unapatikana kirahisi hivyo, unafikiri Mbowe angeucha abaki chamani tu? Tia akili kichwani dogo!!!
Hii ni wakati ule alipokuja Kenya akachepuka maramoja akaja akasalimia kisha akatimua zake...
Jr
Labda Rais wa Kilimanjaro! Na huyo Chief ni wa Same mkuu!!
Kisiasa ameshindwa kweli maana kachakazwa hasa kiasi kwamba hata si Mbunge tena, Ila ki afya yeye ni mshindi. Sasa ww ulikuwa unashindana nae kisiasa au kwa afya yake? Maana wafuasi wake naona wanampongeza kwa kuishinda mauti na wewe unamshambulia kwa kushindwa kisiasa. Tuchukue nafasi hii kumpongeza kwa kupigania uhai wake na kwa uweza wa MUNGU bado yupo imara.Ni fiti kwa Saccos sisi tunamwona msaliti tu aliyeshindwa! Vitu vyote alivyokuwa anapinga tumefanikiwa kuanzia Accacia hawapotena TZ na tumefikia makubaliano na Barrick na Kampuni mpya ya Twiga imeshaanzishwa! Hapa Kazi Tu! Pia hana tena Ubunge amebaki kiongozi kwenye Saccos inayokufa baada ya October 2020.
Ni fiti kwa Saccos sisi tunamwona msaliti tu aliyeshindwa! Vitu vyote alivyokuwa anapinga tumefanikiwa kuanzia Accacia hawapotena TZ na tumefikia makubaliano na Barrick na Kampuni mpya ya Twiga imeshaanzishwa! Hapa Kazi Tu! Pia hana tena Ubunge amebaki kiongozi kwenye Saccos inayokufa baada ya October 2020.
Umeona njia ya kujipatia bundle ndio hii!Hadi sasa watu wanateseka sana na kuweweseka kisa kuona picha za mh Lissu Makamu wa mwenyekiti wa cdm.
Je tayari amesha tua hapa nchini? Tafadhali tupeane habariView attachment 1327501View attachment 1327502
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu yupo nje ya Tanzania ila karibu kabisa na Tanzania na ana ulinzi husika wa nchi aliyopo. Sasa mtu alete ujinga kama hajachapwa mchana kweupe.Hadi sasa watu wanateseka sana na kuweweseka kisa kuona picha za mh Lissu Makamu wa mwenyekiti wa cdm.
Je tayari amesha tua hapa nchini? Tafadhali tupeane habariView attachment 1327501View attachment 1327502
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweka Uzi public halafu unataka wachangie Cdm tu?Umeonaeeeeee?
Yameingia makusudi ili kuvuruga huu uzi maana habari za huyu mwamba kwao ni sawa na nyuklia
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mangumbaru huwa mnaona lissu hafikiki kabisa alipoLissu yupo nje ya Tanzania ila karibu kabisa na Tanzania na ana ulinzi husika wa nchi aliyopo. Sasa mtu alete ujinga kama hajachapwa mchana kweupe.