Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
- Thread starter
- #141
Hata kuweweseka kama wewe kwako ni kazi maana lumumba wanakulipa buku 7Watanyooka tu hawa wanasaccos mkuu!! Hapa Kazi Tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kuweweseka kama wewe kwako ni kazi maana lumumba wanakulipa buku 7Watanyooka tu hawa wanasaccos mkuu!! Hapa Kazi Tu.
Kwani Kenya umesharudi? Vipi biashara yako ya bia hapo Kenya? Imebuma au?
Mimi nimekurupuka lakini mwenzangu zaidi mpaka umefungua uzi hujui vice-chairman yuko wapi.ushauri wa bure wacha kugida kangara!Naona umekurupuka kutoka kwenye matapu tapu maana leo ndiyo siku yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia sindano ikuingie upone ugonjwa wako wa kivuvuzela na huyo msaliti wako! Ungekuwa una uwezo ungenifuata ili uje ni kujambishe!!
Wewe acha wafarijiane kwa keyboards,lakini time will tell.Watanyooka tu hawa wanasaccos mkuu!! Hapa Kazi Tu.


Unalala ukijamba usiku na mchana bila bughudha,ukiwa hujui hata anayejulinda...halafu unalilia ukombozi gani mburula wewe?Kama ni kweli, tunamkaribisha nyumbani kwa mikono yote.
TAML mapambano yaendelee siku zote ukombozi una gharama zake tunakusihii usirudishe majeshi nyuma watanzania tuko nyuma yako, tuko nyuma yako kukemea udharimu ufanywao na serikali ya awamu ya tano.
Aluta Continua...
Rais wa familia yako na mkeo.
Mimi nimekurupuka lakini mwenzangu zaidi mpaka umefungua uzi hujui vice-chairman yuko wapi.ushauri wa bure wacha kugida kangara!
Usilojua.Ina maana amekuja kimya kimya? Vipi yale maandalizi ya mapokezi hapo Ufipa? Kweli Jiwe kiboko hadi 'shujaa' anarudi kwa kunyatianyatia!!!??
Unalala ukijamba usiku na mchana bila bughudha,ukiwa hujui hata anayejulinda...halafu unalilia ukombozi gani mburula wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wa familia yako na mkeo.
Mimi sio mmojawapo wa ma nyumbu.
Tuheshimiane sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wa familia yako na mkeo.
Mimi sio mmojawapo wa ma nyumbu.
Tuheshimiane sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinyesi mtupu!Utakufa na stress mkuu kunywa maji. Wewe ulitaka lazima tupate hizo $190B tu. Kwa taarifa yako benefit tulizopata kwa sasa hivi ni zaidi ya hiyo $190B ila kwa kuwa akili yako ni fupi kama ulivyo mfupi ndiyo maana huwezi elewa na huyo msaliti mwenzio Lissu. Si mlisema tutashitakiwa na hizo Miga zenu! Sasa hamna tena hoja zaidi ya propaganda zenu tu. Ngoja tusubiri uchaguzi October 2020 tuifute kabisa hii Saccos na Mwenyekiti wenu wa kudumu ameshajua kuwa saccos ina kwenda kufutika TZ ndiyo maana akakimbia haraka haraka kwenda Mwanza kwenye Sherehe za Uhuru kwenda kuomba maridhiano kwa kuwa anaona mbeleni ruzuku ina kwenda kupotea! HAPA KAZI TU!
Mkuu acha kuhangaika naye huyo nilichogundua ni kuwa aweza kuwa ni wale vijana wetu poaUtaimba sana taarabu sana hizo maana siyo ngeni kwa kuitabiria kifo cdm lkn hadi sasa kinaendelea kuwalaza na makata mbuga.
Rejea mwaka 2011 Wasira alijiapiza kuwa atahakikisha cdm inakufa kabla ya 2013 lakini yeye ndiye kafutika kwenye ramani ya kisiasa. Sasa hivi yupo kwao anaendesha kibaa kinaitwa Mirito na kuchunga mbuzi wawili. View attachment 1327607
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha kuhangaika naye huyo nilichogundua ni kuwa aweza kuwa ni wale vijana wetu poa
Sent using Jamii Forums mobile app