Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

Kwanini mnasema wayahudi sio wakristo wakati wanawaamini mitume ambao wapo kwenye biblia tunayoitumia wakristo
Wayahudi wanaamini MUNGU Mmoja. Wakristo wanaamini katika utatu wa MUNGU. Wayahudi wanakaribiana na uislam kwakuwa wote ni Mono. Na ukristo unakaribiana na hinduism,nk
 
Kwa mujib wa thread hii uislam ndo dini ya kweli na uhakika.
 
Broo u seem well informed, waeza nisaidia PDF original ya Quran ile kaandika Allah kabisa akamteremshia Mtume wake Muhammad!? Hata tupicha picha please nione kitu original kutoka Ahera!
Nani kakuambia mie librarian wa misikiti?
 
Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.

Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.

Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?

Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?
Yoshua 24:11
[11]Nanyi mliuvuka Yordani, mkafika Yeriko; nao watu wa Yeriko wakapigana nanyi, Mwamori, na Mperizi, na Mkanaani, na Mhiti, na Mgirgashi, na Mhivi, na Myebusi; nami nikawatia mikononi mwenu.

Hiyo Myebusi ndio mji wa Yerusalemu ambao huo ulitokana na kizazi Cha Kanaani mjukuu wa NUHU.

Sasa kwa kuwa baba yake Kanaani(HAMU) alilaaniwa na NUHU kwa kuuona uchi wake, na akasema Kanaani atakuwa mtumwa wa wajukuu wengine wa NUHU.

Hivyo, Myebusi ambaye alikuwa mtoto wa Kanaani alidondokea katika laana hiyo na mgogoro wa vita ulianzia hapa.
 
Hayo ni makao makuu ya kanisa la catholic ,ambalo makanisa mengine yanalikataa kuwa la kikristo ,ni dola na ishawahi ongozwa na mashoga ,mmoja anaitwa pope paul II ALIFALIKI AKIINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE soma hapa:
Pope Paul II - Wikipedia soma pale kwenye final years
Je wajua kanisa katoliki liliwahi kuwa linauza nafasi za kuingia mbinguni ?
Ww n **** some said aaaa tukubaliane na nani na no vyifo 3
 
Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.

Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.

Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?

Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?
Hayo mambo kaa chin nikuadithie sababu kuu ya yote hayo ni mbili moja miaka fulan israel ilisambaratika naweza kwa mihula km miwili kulikuwa hamna nch inaitw israel kwenye raman na waarabu wakajimilikisha io ardh walichofanya waarabu sio poa kabisa walivunja maeneo yenye makanisa kisha wakajenga misikiti kuna kanisa lilikuwa apo yelusalemu ili kanisa lina siri nzito sn kuhusu manabii wa kale na lina sanduku moja special ambalo musa qlikuwa akilitumia sn miaka io sasa ilo kanisa lilivunjwa na kufanya liwr msikit waosrael walijikusanya tena wakarud kwenye ardh yao nch za kiarabu zikagoma apo ndio palianza kunuka damu kuna nch palestine baada ya miaka kadhaa hii nch haitakuwepo kwa sababu siku had siku israel inatumia nguvu za kujesh kujitanua na ndio sababu jelusalenu wakaufanya mji mkuu nyuma ya yote hayo kuna mzungu akishirikiana na US na europe nzima in short naweza sema israel haitotokea ishindwr io vita kamwe mpaka yesu anarud
 
Shetani aling'ang'ania maiti ya Musa? Hii elimu mpya, hebu nisimlie kdg. Au ndo kutoka kwenye maandiko aliyoteremsha Allah?
😂😂
Mkuu sasa kama mtt akizaliwa mnambatiza ili kuifuta dhambi ya kurithi ni sawa lkn ni kwann huo utaratibu unaendelea tena baada ya mtt huyo kukua na yeye akiwa na mtt tena hulazimika kumbatiza ili kuifuta dhambi ya kurithi wakati mlishaifuta kwa wazazi wake? Hiyo dhambi inatoka wapi tena?
Hiyo dhambi wanairithi toka kwa Adam na Hawa na siyo kwa wazazi wa huyo mtoto.
 
Ni kweli mkuu pale kuna kabuli la mariamu mama yake nabii issa LAKINI Pale hakuna kaburi la Mariam mama yake Yesu kristo aliye hai maana alipalizwa mbinguni...
Ndo maana sisi wakatoriki hua tuna sherehe ya Kupalizwa kwa Bikra Maria..

Amen
Ukitaka upime uelewa wa mtu kagua maandishi tu ( kabuli)
 
Unaposema mji una historia ya uislamu kabla ya mtume muhamad unatuchanganya, maana vitabu vya kislamu vinasema mtume muhamad ndie aliyeleta uislamu, hebu toa mafafanuzi, ila mji wa yerusalem 100 ni haki ya wayahudi, maana kihistoria mji wa yerusalem ulikuwa mali ya wayahudi, ila walipokuwa wametawanyika duniani kutoka israel ndipo wapalestina wakaanza kuvamia na kuingia yerusalem kwa nguvu, thjs why Waisrael kwenye miaka ya 1943 au 1947 wakaamua kuanza kurudi kwao na kurudisha himaya ya israel hususani mji wa yerusalem, na wengi walirudi kutoka Marekani na Ujerumani baada ya kuona wanateseka na kubaguliwa kwenye hizo nchi kwa ajili ya uwezo wao kiuchumi na kiteknolojia maana ndio walikuwa vinara,, hapo ndipo mtifuano ulipoanzia mpaka sasa, vizazi vya palestina havitaki aidha kwa kujua au kutokujua kwamba mji wa yerusalem sio mali ya Palestina 100%
Hapo weka pembeni mambo ya Ukristo, Uyahudi na Uislamu, nimezungumzia uasilia wa miliki halisi ya Mji wa Yerusalem na maeneo mengine yenye mgogoro kati ya Israel na Palestina
We lofa goliath alikua ni kutoka kabila gani? Alitoka nchi ipi? Ukijibu na kutwanga lingine
 
Na nyie kwenu Makka, mpewa nchi kabisa! Achieni Jerusalem
Roma kwenye ushoga ndio mji mtakatifu kikristo na ndio maana hata papa anaishi pale jeruslem ni mali ya waislam na uthibisho ni msikiti mkongwe na mtukufu uliojengwa na ibrahim (as) upo pale aqsa
 
Hiyo Quaran iliyoandikwa na waliochanganyikiwa ilishushwa lini? Hebu tuweni logical. Hakuna kitabu kilichoshushwa toka mbinguni. Kurani iliandikwa na wapiga ramli tu kama masangoma wa upareni. Injili iliandikwa na Luka, Mathayo, Yohane na Marko, Zaburi part kubwa aliandika Daudi. Sasa hiyo injili iliyoshushwa ikoje? Nitumie PDF niione ili nijue mwandiko wa Mungu!
Unadhani ni kitabu cha mchezo mtu atume hovyo au unadhani juha kama wewe ukipewa utaweza soma? Qur'an na kitakatifu ili ukishike inabidi uwe msafi wa mwili na roho usifananishe qur'an na vitabu vya riwaya vilivyo tungwa na walevi kwa maslahi yao yakupasa ukiheshimu si kitabu kama vitabu vingine ni kitabu cha muongozo
 
yesu alizaliwa bethlehem ,alikualia nazareti.nadhani ndiyo inapaswa kuwa miji muhimu kwa wakristo kama ilivyo makka na madina kwa waislam
 
Hiyo Quaran iliyoandikwa na waliochanganyikiwa ilishushwa lini? Hebu tuweni logical. Hakuna kitabu kilichoshushwa toka mbinguni. Kurani iliandikwa na wapiga ramli tu kama masangoma wa upareni. Injili iliandikwa na Luka, Mathayo, Yohane na Marko, Zaburi part kubwa aliandika Daudi. Sasa hiyo injili iliyoshushwa ikoje? Nitumie PDF niione ili nijue mwandiko wa Mungu!
Hawa masangoma wa upareni Quran yao ipo wapi ?
 
Back
Top Bottom