Mzee inaonekana dini yako huijui; hivi uislamu ulikuwepo kabla ya (SAW)? Na sio, huo msikiti kabla yake ulitoka wapi
Msikiti sio wa mtumu MUHAMAD bali ni wa Nabii Issa A.W. ambaye anathaminiwa sana kama mtume na Waislam.
Pia huo ugomvi sisi viumbe wa sasa wenyewe tumeukuta. Na historia inaonesha wale ni watoto wa familia moja ndio wanaogombana na vizazi na vizazi vikawa hivyo...Ipo historia ndefu saana ya vizazi hivyo vilivyopita vya mitume hadi kukawa na ugomvi huu hadi leo...ila enzi hizo haikuwa ugomvi ni msikiti...wa sasa ndio wamegeuza kuwa ugomvi ni msikiti...ila enzi hizo ilikuwa kuna ardhi na vitu vingine...
NA ukichunguza kwa makini sisi ni watoto wa baba mmoja mama mmoja ila kuna vitu vimeingia hapo ndani...