Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

Kuna dini moja pale kati ya dini zote iliyoagizwa na kitabu chake kuua wasiofata dini hiyo ndo chanzo cha unrest eneo hilo.....
Kilaaniwe kitabu kinachofundisha chuki na kuua ili kwenda ahela.....
Bila kiko kitabu dunia ingekuwa mahali salama sn pa kuishi
Ni Qur'an hiyo.
 
Kimsingi wanaoupigania huo Mji Wa Jerusalem ni wayahudi ambao wanatambulika kama dini ya Ibrahim...Wayahudi ndio wenye kiu ya kuutwaa Mji huo kuliko waislam na wakristo sababu hata Yesu Kristo alipokuja aliikuta dini ya kiyahudi na alishiri ibada zao ktk sinagogi
Unaposema dini ya Ibrahim unazungumzia uislam na ukristo na wayahudi(abrahamic religion) na sio wayahudi peke yake. Wote watatu wana historia na mji huo.
 
Unaposema dini ya Ibrahim unazungumzia uislam na ukristo na wayahudi(abrahamic religion) na sio wayahudi peke yake. Wote watatu wana historia na mji huo.
hayo ni maneno yaliyo tungwa na watu kukidhi haja zao...!
 
Jaribu kujielimisha kidogo utagundua kwamba unachokiandika hakifai. Kwa uchache, Roman Catholic (RC) ni sehemu ya ukristo. Ni sawa na kusema kwamba Wakatoliki wote ni wakristo lakini si wakristo wote ni wakatoliki.
Hakuna kanisa linaloitwa ROMAN CATHOLIC bali kuna kanisa CATHOLIC
 
Si wanasema Quran iliteremshwa toka mbinguni? Sasa walijitungiaje?
waumini hawaja weka ushahidi huu [emoji117] imeshuka kwa chombo gani? dereva wa hicho chombo alikuwa nani? ilishuka wapi?! alipewa muhammad na nani!....[emoji15]
 
kinachogombewa si utukufu wahuo mji bali na wawatu wanagombea maeneo yao halali ya miji yao,pia lazima uelewe jerusalemu sio makumbusho ya wakristo tuu,pale kuna makaburi ya mitume wakubwa wanaoheshimiwa na waislam,kuna kaburi ya Maiam mama wa issa au yesu nk so ni uvivu wa kufikiria kuwa kinachofanyika jerusalem ni mgogoro kati ya waislam na wakristo
Wajinga wanafikiri wanaogombana pale ni waislam na wakrisito, sio kweli wanaongombana pake ni Wakristo na waislam upande mmoja na wayahudi upande wa pili ( Muslims+Christians) VS Jews
 
Makao makuu ya wakuu ya wakristo ni Roma. Huwa hawaelewi kazi yao ubishi.
Hayo ni makao makuu ya kanisa la catholic ,ambalo makanisa mengine yanalikataa kuwa la kikristo ,ni dola na ishawahi ongozwa na mashoga ,mmoja anaitwa pope paul II ALIFALIKI AKIINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE soma hapa:
Pope Paul II - Wikipedia soma pale kwenye final years
Je wajua kanisa katoliki liliwahi kuwa linauza nafasi za kuingia mbinguni ?
 
Mkuu hupajui vizuri Jerusalem ,pale asilimia kubwa ya watu ni waislamu na wayahudi ,wakristo ni wachache sana

There were 497,000 Jews in Jerusalem in 2011, 281,000 Muslims, 14,000 Christians and 9,000 with no stated religious affiliation.
SOURCE:Statistics: 64% of Jerusalem's Population is Jewish
Nimesali na hao wakristo wakoptic Israel, so ninajua ni wachache. Sasa fight ya pale huanzia nje pia, so usicount wale wa pale tu!
 
Hayo ni makao makuu ya kanisa la catholic ,ambalo makanisa mengine yanalikataa kuwa la kikristo ,ni dola na ishawahi ongozwa na mashoga ,mmoja anaitwa pope paul II ALIFALIKI AKIINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE soma hapa:
Pope Paul II - Wikipedia soma pale kwenye final years
Je wajua kanisa katoliki liliwahi kuwa linauza nafasi za kuingia mbinguni ?
Jitanue kwenye ufahamu, kanisa likiongozwa na mzinzi haimaanishi watu wote wamepotea. Mtume alioa binti wa miaka 8, haimaanishi wafuasi wake nao wabake vibinti vya chekechea! Kila nafsi itabeba dhambi zake yenyewe!
 
waumini hawaja weka ushahidi huu [emoji117] imeshuka kwa chombo gani? dereva wa hicho chombo alikuwa nani? ilishuka wapi?! alipewa muhammad na nani!....[emoji15]
Very doubtful hii makitu!
 
Jitanue kwenye ufahamu, kanisa likiongozwa na mzinzi haimaanishi watu wote wamepotea. Mtume alioa binti wa miaka 8, haimaanishi wafuasi wake nao wabake vibinti vya chekechea! Kila nafsi itabeba dhambi zake yenyewe!
KAKA MAPAPA MASHOGA NI WENGI COINCEDENSE INAELEWEKA IKITOKEA MARA CHACHE
 
Hayo ni makao makuu ya kanisa la catholic ,ambalo makanisa mengine yanalikataa kuwa la kikristo ,ni dola na ishawahi ongozwa na mashoga ,mmoja anaitwa pope paul II ALIFALIKI AKIINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE soma hapa:
Pope Paul II - Wikipedia soma pale kwenye final years
Je wajua kanisa katoliki liliwahi kuwa linauza nafasi za kuingia mbinguni ?
Hizo ni nadharia za sababu ya kifo chake na sio Sababu ya kifo chake.

Sababu ya kifo.
Paul died suddenly of a heart attack on 26 July 1471.

Nadharia.
Reports of the death varied.
-Some claimed he had collapsed from severe indigestion after eating melon in excess.
-Some (mainly the pontiff's detractors) say that he had died whilst being sodomized by a page boy."
 
Back
Top Bottom