Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

Roma ni kwa wakatoliki japo nao wamewekeza sana Jerusalem na wana percentage kubwa ya pesa hutoa kwa ajili ya kuulinda Jerusalemu
Wakatoliki ndiyo Ukristo wenyewe. Baadae Waamini(as opposed na Waumini ingawa ni neno moja) wakajiongeza kwa tafsiri zao na kupatikaja makundi mengine ya kidini. Lakini kiukweli unapozungumzia Ukristo ni Roman Empire,huo ndiyo ukweli.
 
Jamani naomba MTU andika kitu ambacho in cha kuelimisha NA si kudanganya watu au kuchonganisha. Historian in kitu cha msingi sana uwezi kusimulia historia ya kugesigesi. Maneno uliyopost in hatari sana ambavyo unaweza ukazulisha vita isiyomalizika.TAF. hakikisha unapata taarifa za kweli NA ndipo upost ukweli wako
Kwa hiyo wakristo hawana mji wao mtakatifu? Maana hapo muslims watadai yote

HAHAHAHA WANAKUAMBIA KUWA UISLAMU ULIKUWEPO KABLA YA MTUME MUHAMAD.HISTORIA NA VITABU VYA DINI VIKO WAZI.UISLAMU ULILETWA NA MUHAMAD.KABLA KULIKUWA HAKUNA KITU KINAITWA UISLAMU

Roma ni kwa wakatoliki japo nao wamewekeza sana Jerusalem na wana percentage kubwa ya pesa hutoa kwa ajili ya kuulinda Jerusalemu
 
Wakristo wanahaki na huo mji kivipi?Huo mji ni mali ya waislam na wayahudi ndo kipindo chote cha mgogoro huo hutaona wakristo wakiingilia.Huo mji wa Yerusalem au Baytul mukadas ni mji wenye msikiti mkubwa sana na una historia kubwa ya uislam enzi kabla ya mtume Mohammadi(saw)
Unaposema mji una historia ya uislamu kabla ya mtume muhamad unatuchanganya, maana vitabu vya kislamu vinasema mtume muhamad ndie aliyeleta uislamu, hebu toa mafafanuzi, ila mji wa yerusalem 100 ni haki ya wayahudi, maana kihistoria mji wa yerusalem ulikuwa mali ya wayahudi, ila walipokuwa wametawanyika duniani kutoka israel ndipo wapalestina wakaanza kuvamia na kuingia yerusalem kwa nguvu, thjs why Waisrael kwenye miaka ya 1943 au 1947 wakaamua kuanza kurudi kwao na kurudisha himaya ya israel hususani mji wa yerusalem, na wengi walirudi kutoka Marekani na Ujerumani baada ya kuona wanateseka na kubaguliwa kwenye hizo nchi kwa ajili ya uwezo wao kiuchumi na kiteknolojia maana ndio walikuwa vinara,, hapo ndipo mtifuano ulipoanzia mpaka sasa, vizazi vya palestina havitaki aidha kwa kujua au kutokujua kwamba mji wa yerusalem sio mali ya Palestina 100%
Hapo weka pembeni mambo ya Ukristo, Uyahudi na Uislamu, nimezungumzia uasilia wa miliki halisi ya Mji wa Yerusalem na maeneo mengine yenye mgogoro kati ya Israel na Palestina
 
Wakristo wanahaki na huo mji kivipi?Huo mji ni mali ya waislam na wayahudi ndo kipindo chote cha mgogoro huo hutaona wakristo wakiingilia.Huo mji wa Yerusalem au Baytul mukadas ni mji wenye msikiti mkubwa sana na una historia kubwa ya uislam enzi kabla ya mtume Mohammadi(saw)
Mzee inaonekana dini yako huijui; hivi uislamu ulikuwepo kabla ya (SAW)? Na sio, huo msikiti kabla yake ulitoka wapi
 
HAHAHAHA WANAKUAMBIA KUWA UISLAMU ULIKUWEPO KABLA YA MTUME MUHAMAD.HISTORIA NA VITABU VYA DINI VIKO WAZI.UISLAMU ULILETWA NA MUHAMAD.KABLA KULIKUWA HAKUNA KITU KINAITWA UISLAMU
kama haujui kitu uwe unanyamanza...
 
Wakristo wanahaki na huo mji kivipi?Huo mji ni mali ya waislam na wayahudi ndo kipindo chote cha mgogoro huo hutaona wakristo wakiingilia.Huo mji wa Yerusalem au Baytul mukadas ni mji wenye msikiti mkubwa sana na una historia kubwa ya uislam enzi kabla ya mtume Mohammadi(saw)
Kabla ya mtume kulikuwa na Uislam?
 
Kwanini mnasema wayahudi sio wakristo wakati wanawaamini mitume ambao wapo kwenye biblia tunayoitumia wakristo
 
Wakristo wanahaki na huo mji kivipi?Huo mji ni mali ya waislam na wayahudi ndo kipindo chote cha mgogoro huo hutaona wakristo wakiingilia.Huo mji wa Yerusalem au Baytul mukadas ni mji wenye msikiti mkubwa sana na una historia kubwa ya uislam enzi kabla ya mtume Mohammadi(saw)
Makao makuu ya nchi ni sawa na makao makuu ya dini fulani? Ninachokijua kule pale Jerusalem kuna Waislam, Wayahudi (Jews), Wakristo .... Je yakiwa makao makuu ya Israel inamaanisha ndiyo makao makuu ya dini ya kiyahudi?
 
HAHAHAHA WANAKUAMBIA KUWA UISLAMU ULIKUWEPO KABLA YA MTUME MUHAMAD.HISTORIA NA VITABU VYA DINI VIKO WAZI.UISLAMU ULILETWA NA MUHAMAD.KABLA KULIKUWA HAKUNA KITU KINAITWA UISLAMU
Huo ndio ukweli

na uhalisia

Uislam ni watangu na tangu
 
Wakatoliki ndiyo Ukristo wenyewe. Baadae Waamini(as opposed na Waumini ingawa ni neno moja) wakajiongeza kwa tafsiri zao na kupatikaja makundi mengine ya kidini. Lakini kiukweli unapozungumzia Ukristo ni Roman Empire,huo ndiyo ukweli.
Du; kwa muktadha wa mleta UZI kauweka mji wa Jerusalem kwasababu ya YEsu kuishi na kufia Jerusalem, sasa hebu nipe connection ya Roman na Yesu please!? Nijuavyo Yesu aliwahi kuja Africa but Ulaya wala hata kukanyaga hakuwahi.
 
Back
Top Bottom